kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kitchener

    Ushauri: Waigizaji wa kiume wanaoigiza kama wanawake wapigwe marufuku

    Tukianza na Joti, na yale majamaa ya kwenye zekomed za Masanja, aje yule dogo anafaa dera anaigiza Juakali/not so sure ila tamthilia kule DSTV, wanaume wanavaa manguo ya kike na kuigiza kama wanawake, wapigwe marufuku kwasababu kidogo kidogo wanafanya jamii ione muonekano wa aina hiyo kwa...
  2. Uwa zuri

    Natafuta rafiki wa kiume

    Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume. SIFA NILIZO NAZO.👇 Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara. SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇. (1)Awe mrefu (2)Rangi yoyote. (3)Dini awe mkristo au mwislam. (4)Elimu form four kuendelea. (5)umri...
  3. Kipenzi Changu

    Vijana wengi wa kiume wamejiajiri kwenye boda, wa kike wamejiajiri kwenye nini?

    Lema ana hoja nzuri sana na nzito shida ni jinsi alivyowasilisha. Nami napenda kuizungumzia lakini katika namna tofauti. Vijana wengi wa kiume wameonekana kujiajiri kwenye boda na betting. Bila kujali viwango vyao vya elimu wapo kwenye boda au betting. Lakini Je, umejiuliza lile kundi kubwa la...
  4. Melki Wamatukio

    SI KWELI Vinywaji vya kuongeza nishati (Energy Drinks) husababisha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Hivi ni kweli kuwa vinywaji vya kutia mwili nishati (energy drinks) hupelekea upungufu wa nguvu za kiume?
  5. R

    Ulishawahi kuona Masikini mwenye tatizo la nguvu za kiume?

    Hii imekaaje wakuu. Mpaka leo nazeeka sijawahi kuona au kusikia mtu masikini yaani mwenye kipato duni na pengine mwenye elimu duni akihangaishwa na shida hizi za kukosa nguvu za kiume. Hawa wenzetu wanatumia mbinu gani au ndio vile Mungu hakunyimi vyote?
  6. Pascal Mayalla

    Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?

    Wanabodi, Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo. Japo kazi ni kazi tuu, hakuna kazi za kike wala za kiume, jee kuna ukweli kuwa kwenye baadhi ya kazi, wanawake wana uwezo nazo kuliko wanaume, ikiwemo ile...
  7. Mwizukulu mgikuru

    Mtoto wa kiume apewe support kubwa ya ari na mali tofauti na wa kike

    Katika kitu nilichojifunza katika mahangaiko ya dunia yangu ukweli ni kuwa mtoto wa kiume apewe support kubwa ukilinganisha na wa kike. Mtoto asome asisome apewe support asipewe support mwisho wa siku lazima atakuwa chini ya mamlaka ya mwanaume achana na hao wanaojiita single mothers mtoto wa...
  8. Hemedy Jr Junior

    Acha kulea watoto wenu wa kiume kama mayai, acha kuwa bize na harakati za kimaisha

    Sio wenye dini wala wasio na dini wote dhahama hii inakanyaga pote. Cha msingi hofu ya mungu ndo inabidi itawale kwenye ubongo wetu la sivo tunaenda kuwa na wanawake wengi wenye jinsia ya kiume nawambia. TAMAA vijana wengi tamaa zinawaponza kutaka UTAJIRI wa haraka au kutaka kazi yenye mshahara...
  9. Hemedy Jr Junior

    Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

    Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia macho masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa...
  10. M

    Kwanini kama Mzazi wa Kiume ukimkanya Binti yako Maneno ya Kisela anakutii, ila ukimkanya Kiustaarabu anakupuuza?

    Tokea nimkanye Binti yangu kwa Maneno ya Kisela ( Kimjini Mjini ) kama haya yafuatayo amebadilika, ananiogopa na ananitii ile mbaya. "Oya si unajiona umeshakua sawa Viziwa vimejitokeza na Makalio yako Kuvimba kama Maandazi ya Azam? Sasa Wewe neng'eneka tu hovyo na Wanaume Wakulale mpaka hizo...
  11. Frumence M Kyauke

    INAUZWA Raba Original za Kiume

    Raba Original za Kiume zinauzwa. Fuatilia uzi huu mara kwa mara ili kuona bidhaa mpya. 80,000 Tsh Gusa 👇 WHATSAPP
  12. heartbeats

    Kozi gani kijana wa kiume asomee VETA?

    Wakuu, nina mdogo angu age 18 kamaliza four mwaka huu, bila shaka hatoweza pata maksi za kwendelea. Sasa ni kozi gani ambayo itamsaidia mbeleni uko hata kwa kujiajiri. Ya kwanza napendekeza udereva, ila ningetaka kujua na nyingine ambayo haitopitwa na wakati maana maendeleo haya ya sayansi...
  13. Dalton elijah

    Sigara hupunguza nguvu za kiume

    SIGARA: Uchunguzi uliofanyika kwa wanaume 50,360 ulionesha uhusiano wa karibu kati ya idadi ya sigara & muda unaotumika kuvuta na hatari ya mwanaume kupungukiwa nguvu zake za kiume (Erectile Dysfunction) kwani sigara huzuia mzunguko wa damu kote mwilini, ikiwemo na sehemu za siri ... Sources ...
  14. Komeo Lachuma

    Kumbe nyie ndo Mnatumaliza Nguvu za Kiume kwa Makusudi. Nimeumia sana

    Dada anasema amezaa na mumewe mtoto mmoja. Akapata kakijana mchepuko aka-fall in love nako. Baadaye akapata wazo kuwa asababishe kuvunjika kwa ndoa ili abaki na kakijana mchepuko. Wakapanga wamwekee dawa ya kuua nguvu za kiume mumewe. Akafanya hivyo. Mume miaka 3 mashine haisimami. Si kwa ku...
  15. Double line

    Thread ya single boy na wanaume ambao hawajawahi kushiriki tendo la ndoa (bikra wa kiume)

    Kama uzi unavyosema, kwa wale wanaume masingle namaanisha hana mke na yupo katika kutafuta ubavu wake wa kushoto na wale wanaume waliotunza heshima kwa ajili ya mke mtarajiwa (bikra wa kiume) Tungependa mtugee mrejesho wa yale mnayopitia; namaanisha raha za kuwa katika mahusiano na changamoto...
  16. Natafuta Ajira

    Kwa wadogo zangu wa kike na wakina dada kwa ujumla, tabia ya kujiachia mbele ya ndugu wa kiume tuwaachie Wazungu

    Kama ilivyo kawaida ya wengi kurudi nyumbani na kujumuika na familia pamoja na ndugu wengine mwisho wa mwaka nami nilifanya ivyo maana miangaiko ya kimaisha ilininyima nafasi ya kurudi nyumbani kipindi kirefu kidogo. Nimekaa home takribani wiki mbili. Nimefurahi kuwaona ndugu ambao ni watoto wa...
  17. B

    Msaada tutani: Ndugu yangu Wa kiume ana tabia za kike, suluhisho la hili tatizo ni nini?

    Nilikuwa simfahamu huyu ndugu yangu, ni mtoto wa mama mdogo, nimemfahamu juzi kwenye family gathering event😭ni damu yangu kabisa halafu kijana, mara ya kwanza nlivomuona tabia zake, na jinsi anavotembea, Nilipata mashaka nikahisi kuna kitu kimempungukia kama mwanaume. Nlivyokuja kuongea naye...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

    Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume. Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza...
  19. NetMaster

    Kwenye kiitikio, ni msanii gani bora wa kiume na wa kike kwa muda wote kuwahi kutokea Bongo Flava?

    Kwangu mimi MFALME - Q chief Nikilala naota - jide Namtafuta aseme Kama unataka demu - Solo thang kazi ipo - wanaume Sintobadilika - Mie tee Malkia - Ray C Uko wapi Soge sogea Na wewe Milele Unanimaliza Umenikataa Nipe love - AY Ingewezekana - D knob
  20. February Makamba

    Jinsi ya kutofautisha mwandiko wa kike na wa kiume

    Wakuu kwema? Nataka nizame MUM niopoe jiko, lakini dunia imechangamka sikuizi watu wanafake ID mpaka fake jinsia. Matapeli wapo kazini kila sekta. Sasa kwa wale wazoefu wa haya mambo online, Ni trick gani naweza kutumia kutofautisha kati ya mwandiko wa kike na wa kiume?
Back
Top Bottom