kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Japo kwa Jinsia ni Mwanamke, Lakini kwa Mawazo, Maneno na Matendo, ni Mwanamume! Uamuzi Huu ni wa Kiume! Big Up Sana kwa Uamuzi Huu wa Kiume

    Wanabodi, Naomba kulianza bandiko hili kwa kutoa elimu kwa umma,kuhusu gender differences betwen ME na KE, sio vile viungo vya uzazi, ni uwezo wa kufikiri, thinking ability, na namna ya kufikia maamuzi, men thinks, women feels!. Kuna wanawake, japo ni wanawake kimaumbile, but they think like...
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji namba ya daktari wa afya ya uzazi kwa wanaume , nasumbuliwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Nahitaji daktari humu ndani niwasiliane nae naombeni msaada wenu tafadhali
  3. JamiiForums Tanzania KIJANA WA KIUME KUNYENYEKEA AJIRA NI UCHAWA.

    "Kijana wa kiume kulilia ajira, kulia unapofukuzwa kazi, halafu ukajinyenyekeza kuomba kurejeshewa ajira ambayo hujaitengeneza wewe wala baba yako, ni dalili ya utegemezi uliokithiri wenye kuzalisha uchawa. Taifa linahitaji vijana wanaotengeneza ajira, si wanaoziabudu." — Alloyce, P.R.
  4. JamiiForums Tanzania Madogo wa Kiume, Acheni Tabia ya Kuja Inbox Kuomba Hela

    Jamani madogo hasa new members acheni hii tabia ya kuingia inbox za watu kuanza na Bro naomba hela ya kula.Ukienda inbox za watu 100 ukitegemea mmoja atakutumia pesa hiyo siyo sawa. Pesa hutafutwa, siyo kuombwa ovyo. Kama kweli umekwama siku hiyo na una njaa anza kutafuta msaada mtaani kwenu...
  5. JamiiForums Tanzania Nauza mbegu za kiume narudi Tanzania mwezi august

    Narudi bongo mwezi august natoa HUDUMA ya kuuza mbegu za kiume Kwa wanawake hii nimeikuta USA nakuja nayo Tanzania mloganzila wanapandikiza wanawake mbegu kama sikosei. Ila kutokana na mazingira ya Tanzania kutokuwa salama kiutekaji hii inakuwa changamoto.
  6. JamiiForums Tanzania Msaada sina kabisa nguvu za kiume

    Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
  7. JamiiForums Tanzania Sendozi za mtumba za kiume nzuri na imara

    Karibu kwa mahitaji ya sendozi za mtumba za kiume zenye ubora wa hali ya juu. Duka letu lipo kimara, stop over. Karibu na sheli ya rupeez. Bei ni nafuu. Mawasiliano: whatsapp 0749343929
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume mnaokataa ndoa, fanyeni mapema Kuoa kabla hamjakutana na hiki ninachopitia

    Leo najisikia kuandika TU na kuwashauri vijana , ipo hivi mimi ni mwalimu na mfanyabiashara mzuri TU ( Mimi sio fala kwenye nchi hii) umri wangu ni 38, ni baba wa watoto watatu nawahudumia kwa kila kitu pamoja na hayo ni bachelor wa mda mrefu. Miaka kama kumi na mbili nyuma niliapa sitaoa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwanamke alinikataa kabisa baada ya Mimi kijitambulisha kwake ni mwalimu

    Nilikuwa nimemwelewa single mother flani yupo tunduma, so mara kazaa nilikuwa napita mtaani kwake karibu na ofisi yake anakojumlisha viazi . Ukizingatia umri wangu umeenda soon naikuta 40, umri niliopanga kuoa ,nilitokea kuvutiwa na yule Binti ambaye age yake 25, basi nikaomba mahusiano ...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Wakaka wa jf kutuma na yakutolea mmeshindwa mnajifanya wanaume haya hii challenge ya kiume mnaiweza

    Wanaume wa jf mmejaa majigambo tele haya mnameza kumjibu huyu mwenzenu kwa challenge hii: (kwa mtazamo wangu huyu ndio mwanaume huyu hashindwi kunibeba) https://vt.tiktok.com/ZSXrCKy7k/
  11. JamiiForums Tanzania Mpishi wa kiume anahiajika

    Mpishi wa kiume , awe mzoefu na msafi , kupikia wanafunzi, shule ni mpya , awe tayari kuhamia karibu na Eneo la kazi huko location Msata Pwani, call 0749234577 Bado hatujapata mdada anayejua kutumia computer vizuri, kufanya designing delivery note na invoice Mahali: kariakoo- Muhoro...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kizazi cha utandawazi 90s, 2000s most cant raise boys to be men, hatua za haraka zinahitajika kuokoa vizazi vijavyo

    Ni aina ya wanawake ambao wengi hawana hata mafundisho ya kitamaduni ya kuwa mama mlezi, at least hapo zamani yalikuwa yanasaidia kina mama kukuza watoto wa kiume, mfano siku hizi Mama anaoga na mtoto wake wa kiume mwenye miaka 8 wakiwa uchi bafuni, anabadili nguo za ndani mbele yake, kwake...
  13. JamiiForums Tanzania Kulea mtoto wa kiume ni ngumu kuliko wa kike,

    Tuwe makin sana Kwakuwa mmmm watoto wanaharibika sana hasa wa kiume wanaokulia pwani na dar
  14. JamiiForums Tanzania Aibu inaweza kuchelewesha kupona tatizo lako la Nguvu za kiume

    Aibu inaweza kuchelewesha kupona tatizo lako la Nguvu za kiume Nguvu za kiume kupungua ni changamoto ya kiafya, si kosa wala aibu. Mwanaume anayezungumza mapema ana nafasi kubwa ya kuelewa chanzo na kuchukua hatua sahihi.
  15. JamiiForums Tanzania Video: Jinsi Energy drinks zinavyo chakaza mwili na kuua nguvu za kiume mazima.

    salaam, Wakuu kizazi hiki tunaangamia huku tunachekelea. Nimekutana na video ticktock MADHARA YA HIZI ENERGY. Oya weka dhamira ya kuachana nazo. Tazama mwenyewe link hapo chini https://vt.tiktok.com/ZSQEygmWJ/
  16. JamiiForums Tanzania KAMA UNALEA MTOTO WA KIUME WA SINGLE MAZA ANZA KUJIKOKI

    Wadau ukweli usemwe tu bila kificho Kijana unapoingia kwenye ndoa na single maza mwenye mtoto wa kiume tambua umeingia kwenye vita. Huyo mtoto uliyemkuta usije ukajifanya ni baba yake otherwise atatunza kumbukumbu zote akija kujua ukweli umeisha. Ni bora wewe ukamwambia ukweli tu siyo baba yake...
  17. JamiiForums Tanzania Kukosa au kupungua nguvu za kiume

    AINA ZA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME Kwa bahati mbaya, wanaume wengi hukosa tiba sahihi za nguvu za kiume kwa kushindwa kutambua tatizo husika na dawa wanazopewa zinatibu tatizo gani. Zifuatazo ni baadhi ya matatizo yanayohusishwa na nguvu za kiume: Kukosa uwezo wa kuendelea baada ya bao la...
  18. JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar. Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume, yaangalie mahusiano kwa mtazamo wa kibiashara

    Wengi wenu humu ndani tayari mna ule uzoefu. Unaombwa kitu/msaada na mwanamke halafu unamkatalia labda sababu hautaki au hauwezi kumsadia kwa wakati huo. Baada ya hapa mwanamke anakughost na kukata mara moja ule urafiki/ukaribu wenu. Jaribu kuvuta kumbukumbu wanawake wote waliowahi kukuomba...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini pwani ya afrika mashariki ni ngome kuu ya vijana wa kiume wenye hurka za kishoga?

    Lamu Mombasa Znz Tanga Dsm Inasikitisha sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…