NAHITAJI FUNDI PROFESSIONAL WA SUIT ZA KIUME – DAR ES SALAAM

NAHITAJI FUNDI PROFESSIONAL WA SUIT ZA KIUME – DAR ES SALAAM

Aggrey sallah

Member
Joined
Sep 15, 2022
Posts
32
Reaction score
46
Natafuta fundi professional mwenye uzoefu na uwezo mkubwa katika ushonaji wa suit za kiume, kwa ajili ya kufanya naye kazi kwa muda mrefu.

Workshop ipo Mbezi Beach, Dar es Salaam, ikiwa na mashine za kisasa, nzuri na za kutosha pamoja na mazingira mazuri ya kazi.

Awe na uwezo wa:
• Cutting na kushona Suit za kiume
• Excellent fitting na proper measurements
• Modern & classic suit designs
• Finishing ya kiwango cha juu
• Kufanya kazi kwa usahihi, ubunifu na attention to detail
• Kufanya kazi kwa professionalism na commitment

Kama wewe ni fundi mwenye uwezo huo au unamfahamu fundi anayefaa, tafadhali niandikie PM au Whatsapp namba 0623501929, ukiambatanisha picha ya baadhi ya kazi zako.
 
Back
Top Bottom