kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Kituo kikuu cha media cha Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Walemavu chafunguliwa rasmi Februari 28

    Februari 28, 2022, kituo kikuu cha wanahabari cha Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Walemavu ya Beijing kilianza kazi rasmi baada ya kukamilisha mabadiliko kutoka Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi. Takriban vyombo vya habari vya uchapishaji na watangazaji 3,300 kutoka sehemu...
  2. JamiiForums Tanzania Mtoto aliyeibwa wodini baada ya kuzaliwa apatikana, akutwa amelala kwa anayetuhumiwa kumuiba

    Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga amelipongeza Jeshi la Polisi Wilaya ya Kipolisi Msalala Mkoani Shinyanga na wananchi kwa kazi kubwa waliyoifanya kufanikiwa kupatikana kwa mtoto mchanga aliyeibiwa wodini katika Kituo cha Afya Lunguya Halmashauri ya...
  3. JamiiForums Tanzania Je, wanaanga waliopo kwenye kituo cha anga cha kimataifa, International Space Station wanapata usiku na mchana?

    Mimi nauliza kwenye kituo cha anga huko juu na wao pia wana usiku na mchana na wanatumia saa kama huku duniani? Maana wanakua wametoka kwenye mfumo wa dunia wa kuzunguruka kupata usiku na mchana. Nasubiri maarifa yenu wana jamvi kuu, JamiiForums, kisima cha maarifa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tunauza Kuku aina ya Kuroiler tupo Bunju "A" Kituo kwa Baharia

    Tunauza kuku aina ya Kuroiler F1, tunapatikana Bunju A, kituo "kwa Baharia", jirani na Kituo cha Mafuta cha GUDAL. Bei ni kuanzia 14,500-18,000..kutokana na uzito wa kuku. Bei ya jumla kuanzia kuku 10 tunafanya 15,000. Weka oda yako mapema na karibu tukuhudumie kwa uaminifu kabisa...
  5. JamiiForums Tanzania Kimara Suka, Dar: Watu wawili wamefariki na nane kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha magari matatu

    Picha: Sehemu ambayo ajali imetokea Watu kadhaa wahofiwa kufa na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali ya lori lililovamia kituo cha daladala cha Kimara Suca jijini Dar es Salaam leo Januari 28, 2022. Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Usalama wa Barabarani Taifa, ACP Abdi Isango ndiye aliyefika...
  6. JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi walia na kituo cha mabasi makubwa ya abiria ya kwenda mikoani

    Wananchi jijini Arusha pamoja na abiria wanaotumia stand kubwa ya mabasi wamailalamikia uongozi wa jiji la Arusha kuwa wameshindwa kuwaletea mabadiliko kwa kuwajengea stand nyingine mpya ya kisasa tofauti na iliyopo sasa ambayo ipo tangu kabla ya uhuru hadi sasa. Kutokana na udogo wa kituo...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia, baada ya madarasa kituo kinachofuata kiwe vifaa tiba vya msingi kama mashine za Ultrasound, Haematology, Analyserachine na X-ray

    Kukosekana kwa vifaa hivi kwenye vituo vya afya vingi imekuwa changamoto kubwa kwa matibabu Ushauri baada ya kufanya vizur kwenye madarasa sasa nguvu ihamishie huko pia kuna vituo vingi vikubwa vya afya vyenye hadhi ya kuwa na vipimo hivyo lakini havina hali inayo pelekea wangonjwa kusafiri 20...
  8. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kubadilisha kituo cha kazi kutoka Sekondari kwenda TTC

    Heri ya mwaka mpya. Wakuu naomba msaada kwa wenye ufahamu nilisoma BED wakati ule ulikua wanapangiwa kwemda kufundisha vyuo vya ualimu lakini sikupangwa nilienda sekondari. Sasa hivi nataka nibadilishe, je ni utaratibu gani natakiwa kuufuata? Asante sana Mwl Wenyele
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Ndugulile aipongeza TFF kwa kujenga Kituo cha Maendeleo ya mpira wa miguu Kigamboni

    DKT NDUGULILE AWAPONGEZA TFF KWA KUJENGA KITUO CHA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU KIGAMBONI Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) amekipongeza Chama Cha Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kujenga kijiji cha maendeleo ya mchezo mpira wa miguu katika Kata ya Kisarawe II, Wilaya ya...
  10. JamiiForums Tanzania Uchina itaiomba Tanzania (kama bado haijafanya hivyo) iwapatie kituo cha kijeshi (military base)

    Habari zinazotembea hivi sasa ni kuwa punde hivi Uchina itaiomba Tanzania (kama bado haijafanya hivyo) iwapatie kituo cha kijeshi (military base). Kama ilivyoomba nchi kadhaa ikiwemo UAE, Pakistan, Tajikistan (UAE imekwishawapa). Najua ombi hilo likifika Tanzania kuna wale watakaosema 'lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Wajua Kuna Watu Wenye Bahati na Wasio na Bahati? - Kajaze Mafuta Kituo cha TotalEnergies Wiki Hii, Upime Bahati Yako Kwa "The Wheel of Fortune".

    Wanabodi, Haya ninayoandika ni kama utani vile lakini ndio ukweli wenyewe!, Jee wajua ya kuwa, kuna watu wenye bahati na na wengine hawana bahati?. Wenye bahati, mambo yao yanakwenda vizuri na kusema ni bahati tuu, na wasio na bahati, mambo yao yanakwenda vibaya, na kuishia kusema ni bahati...
  12. JamiiForums Tanzania Jiji la Arusha limekosa vituo vya daladala, pembeni ya barabara kuu ndio mwisho wa kituo

    Hili jiji kwa miundombinu bado kabisa, ni zaidi ya miaka kumi (10) sasa tangu litangazwe jiji, lakini cha kushangaza na kusikitisha hakuna vituo maalumu vya kushusha na kupakia abiria. Vile vituo vya njiani hakuna alama yoyote inayoonyesha kuwa hapa ni sehemu ya kushusha na kupakia abiria, kwa...
  13. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Milipuko Miwili ya Mabomu yatokea Jijini Kampala

    Salaam Wakuu, Leo Milipuko Miwili ya mabomu imetokea jijini Kampala. Wabunge watawanyia kuokoa maisha. Wabunge wa bunge la Uganda wakiwa nje ya jengo baada ya Mlipuko kutokea Jijini Kampala. Kila mtu anaokoa maisha yake
  14. N

    JamiiForums Tanzania This is too much! Unyanyasaji huu wa kituo cha Polisi Murieti

    Ndugu wanajamvi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Mida ya saa 10 jioni hii katika eneo la Uswahilini hapa Arusha (Mjini), maaskari wa kituo cha Murieti wamemkamata mke wangu nakumpeleka kituoni kisa nyumba tunayoishi haina matundu yakutosha ya vyoo. Ukweli uliopo: 1. Nyumba hii huyu...
  15. JamiiForums Tanzania Jengo hili liko Moscow lilijengwa 2009 mbunifu akiwa Oleg Carlson

  16. JamiiForums Tanzania Fungueni kituo cha kupima COVID-19 Ndutu/ Ngorongoro

    Ni mwezi mmoja tu umebakia Nyumbu waende huko Ndutu na Serengeti kusini ilA hadi sasa hakuna tarehe tajwa ya kuweka kituo cha kupima corona maeneo hayo. Hivi makampuni yatauzaje wageni kama hawana hakika kuwepo kwa kituo kwa muda stahiki? Au ni mpaka private sector ambayo ipo taabani kwa korona...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19 Jijini Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akizindua kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo 10 Oktoba 2021. Fuatilia matangazo hapa Dondoo ujio wa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Mpambano mkali kituo cha Polisi Nzega stendi kati ya Abiria na Polisi

    Wanabodi Natumai mungu ni mwema kwa kila mmoja kwa kupata zawadi ya uhai. Muhtasari wa habari. Moja kwa moja kwenye mada. Mnamo tarehe 5/10/2021 nikiwa natoka Arusha kuelekea mwanza na basi la kiazi kitamu ulizuka msuguano mkali kituoni cha polisi Nzega stendi. Polisi walimshusha dereva...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia apongeza kuanzishwa kwa kituo jumuishi mahususi kwa kushugulukia mashauri ya kifamilia

    RAIS SAMIA APONGEZA KUANZISHWA KWA KITUO JUMUISHI MAHUSUSI KWA KUSHUGULUKIA MASHAURI YA KIFAMILIA Na Mwandishi Wetu 06/10/2021 🇹🇿🇹🇿 Mhe Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pongezi hizo leo Jijini Dodoma wakati akizindua vituo jumuishi vya utoaji haki. Mahakama Kuu imeanzisha kituo jumuishi...
  20. JamiiForums Tanzania Mwandishi William Ngazija wa ITV akamatwa na Polisi mkoani Tanga

    Taarifa zinaeleza kwamba Mwandishi huyo anayeripotia ITV kutokea Mkoa wa Tanga , amekamatwa na Polisi wa Korogwe na kulundikwa Sero kwa Amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo , Ambaye pia ni Mlimbwende wa Tanzania wa miaka iliyopita Mtukufu Basila Mwanukuzi . Bado haijafahamika kosa lake Chanzo : Kitenge TV
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…