Mo Dewji: Simba inanipa hasara, ningenunua hata Ndege

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,701
24,122
MO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA, KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE.

“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia"

“Nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana ni Bil. 20 lakini tukifanya mahesabu imefika labda Bil. 50 ambazo nimewekeza, kama nngependa raha au kitu kingine Bil 50 ningenunua hata ndege,”

“Ukiniambia Simba ni Biashara kwangu Hapana, Simba ni Hasara kwangu ndiyo, Simba kifedha inanipa hasara, Kuna wafadhili wengi sana ambao wamekuja na wamepita wengi wao wamefilisika Kutokana na kuwekeza au kufadhili Simba

RAIS wa Heshima na Mwekezaji wa Simba, MOHAMMED DEWJI.

Source @futbalplanet_

NB acheni kumwingiza hasara Mo

1676748094625.jpg
 
MO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA,KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE.

NB acheni kumwingiza hasara mudiView attachment 2562675
Tajiri kwa kulalamika huyu
 
Huu ni ukweli.

Kuna mtu alikuwa ameajiriwa na Mo siku hizi amamuita "Mudi" kama njia ya mzunguko ya kumshusha hadhi yake. Lakini ukweli unabaki kuwa ukweli kwamba Mo anao uwezo wa kuiajiri familia yao yote na kuwalipa mshahara mpaka mwisho wa maisha yao!!
 
MO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA,KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE.

“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia"

“Nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana ni Bil. 20 lakini tukifanya mahesabu imefika labda Bil. 50 ambazo nimewekeza, kama nngependa raha au kitu kingine Bil 50 ningenunua hata ndege,”

“Ukiniambia Simba ni Biashara kwangu Hapana, Simba ni Hasara kwangu ndiyo, Simba kifedha inanipa hasara, Kuna wafadhili wengi sana ambao wamekuja na wamepita wengi wao wamefilisika Kutokana na kuwekeza au kufadhili Simba

RAIS wa Heshima na Mwekezaji wa Simba, MOHAMMED DEWJI.

Source @futbalplanet_

NB acheni kumwingiza hasara mudiView attachment 2562675
Asitoe la moyoni
 
Japo najua sio rahisi kuendesha Simba na Yanga na ni kweli wanajitoa sana ila haya maneno sio mazuri kuyatamka
Ye alichukua Simba aiendeshe kibiashara apate faida kama hapati asianze kusimanga poor Mudi biriani
Huwa nawaambia kila siku humu kuwa pesa za (Muhindi) Kanje Bai ni ngumu sana ila Watu hukaza mafuvu, haya sasa mwenye mali kafunguka.
 
Moja ya interview ya hivyo kabisa, sio yeye alikuwa analilia mchakato umalizike? hebu atuambie ni wapi walikubaliana na Simba kuwa Bil-20 italipwa kwa mafungu kwa miaka 6? baya zaidi mwandishi habari ni wazi kapewa maswali ya kuuliza maana alijuaje kuhusu 1.5 B iliyotolewa na yeye. Kila kitu kilikuwa set up hii inanikumbusha kuna Rais alikuwa anasema hii kazi ngumu sana silali usiku lakini akimaliza awamu yake yuko mbio kugombania kazi ngumu. Mo umekosea heshima wana Simba
 
Kuwekeza Simba unapata hasara kwann unendelee kuwekeza sehemu unayoendelea kupataa hasaraaa ukafanyaa mambo Yako ya kukupaa faidaaa mo..

Kabla ya ww mbona Simba ilikuwepo na baadaa ya ww Simba itaendelea kuwepooo..

TUPUMZISHEEE...
 
MO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA, KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE.

“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia"

“Nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana ni Bil. 20 lakini tukifanya mahesabu imefika labda Bil. 50 ambazo nimewekeza, kama nngependa raha au kitu kingine Bil 50 ningenunua hata ndege,”

“Ukiniambia Simba ni Biashara kwangu Hapana, Simba ni Hasara kwangu ndiyo, Simba kifedha inanipa hasara, Kuna wafadhili wengi sana ambao wamekuja na wamepita wengi wao wamefilisika Kutokana na kuwekeza au kufadhili Simba

RAIS wa Heshima na Mwekezaji wa Simba, MOHAMMED DEWJI.

Source @futbalplanet_

NB acheni kumwingiza hasara Mo

View attachment 2562675
kanjibai mzigo umeingia analeta zengwe
 
Hivi huyo Mo, yale mabango ya kwenye jezi hadi makalioni huwa ni kwa ajili ya Simba eti?. Mimi siwaelewi Hawa matajiri wanazitumia hizi timu kutangaza biashara zao hilo hawalisemi, halafu baadae wanakuja kulalamika. Kama hailipi ondoka.
 
Back
Top Bottom