Kipimo sahihi kwamba unapendwa na mpenzi wako au hupendwi ni pale unapokua huna kitu

Sensei Tai

Senior Member
May 26, 2022
126
359
Hiki ni kipimo sahihi cha kujua kama mpenzi wako anakupenda kweli au anapenda tu pesa zako na hapa naongelea zaidi kwasisi wanaume.

Unakuta mtu ana mpenzi wake wa kike na anajinadi kwa watu kwamba mimi mwanamke wangu ananipenda, umetumia kigezo gani kujiaminisha hayo unayotamka ?

Umeingia kwenye mahusiano na mwanamke na amekukuta tayari una ajira na umepiga ka hatua flani kwenye maisha, unadhani kwa hali hiyo kuna msichana gani atashindwa kukuektia kwamba anakupenda hata kama hakupendi ?

Wanawake ni mabingwa wa kuigiza upendo hasa hasa anapoona kuna maslahi flani.

Ukitaka kumpima mpenzi wako kama anakupenda kweli au anakuektia jaribu mara moja au mara mbili kumwambia huwezi tatua shida aliyokuomba mfano kakuomba kiasi cha pesa na kipo ndani ya uwezo wako mwambie siko vizuri halafu tazama reaction yake.

Jaribu hiyo mbinu kwa mtu ambae una malengo nae na una mpango siku moja aje kuwa mke wako wa ndoa mana kwenye ndoa kuna kupata na kukosa sasa kama mwanamke yupo after something hashindwi kupeleka mbususu kwa wahuni waichakate sababu tu ameona kwamba huna kitu.

Kama nia yako ni hit and run huna sababu ya kumjaribu mana shida yako inakua tu ni kuichakata mbususu and you pay as you go.

Mwenye masikio na asikie, usije sema hukuambiwa.
 
Mwanamke siku zote ni mtu wa kuigiza.
Unaweza kukutana na mwanamke kwao ni kijijini huko hata barabara ya magari hakuna. Kwao muda wote wanashinda shambani, wanalala kwenye ngozi na haina umeme. Sasa akifika mjini na yeye anakuwa wa mjini, hawezi kubeba maji kichwani wala hawezi kula makande.
* Unaishi na mwanamke kwasababu una uwezo wa kumhudumia si vinginevyo*
 
Nikiangalia kitabu changu kina Amehlo To yeye Aksha na wanawake wengine wamejaa tele
Sio kwa wanachokifanya kwa wanaume kutwa kututega na vigauni vifupi style za ajabu kwenye daladala wanakufuru kila sekunde inshort nyie ndio mnaoingiza dhambi duniani

Peeesaaapeeesa njooni nagawa pesa PM jinsi zote kwa masharti nafuu
 
Nikiangalia kitabu changu kina Amehlo To yeye Aksha na wanawake wengine wamejaa tele
Sio kwa wanachokifanya kwa wanaume kutwa kututega na vigauni vifupi style za ajabu kwenye daladala wanakufuru kila sekunde inshort nyie ndio mnaoingiza dhambi duniani

Peeesaaapeeesa njooni nagawa pesa PM jinsi zote kwa masharti nafuu
Nitoe hapo tafadhali....mie sivai vinguo vya mtego ....Afisa elimu alikataza๐Ÿค’๐Ÿคจ
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom