kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hamad Masauni: Taasisi ya dini ya Mfalme Zumaridi haijasajiliwa

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema Serikali itazichukuliwa hatua taasisi zote za kidini ikiwemo taasisi inayoendeshwa na Diana Bundala maarufu ‘Zumaridi’ ambazo zinajiendesha kinyume na tamaduni za Kitanzania. Akizunguma katika kikao kati yake na viongozi wa mashirikisho na...
  2. JamiiForums Tanzania Brother kuna kitu kakiona kwa huyu manzi, sisi wengine hatujui

  3. JamiiForums Tanzania Muuguzi KCMC auawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali uchochoroni

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Muuguzi wa hospitali ya KCMC Moshi Khudheifa Changa (26) Akitoa taarifaa hiyo kwa vyombo vya habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro ACP Simoni Maigwa amesema kuwa walio kamatwa ni...
  4. JamiiForums Tanzania Ukija Tanganyika kila kitu ni cha Muungano, ukienda Zanzibar kila kitu ni cha Wazanzibari peke yao

    Zanzibar wakitaka kufanya chochote wanakuta kwenye (bunge la Zanzibar) baraza la wawakilishi pale Chukwani wanatunga na kupitisha sheria taratibu kanuni kwa ajili ya Zanzibar peke yao na kuweka kwenye katiba yao kando kinachoitwa katiba ya muungano. Na ukiingia Zanzibar katiba inayotumika ni...
  5. JamiiForums Tanzania Kocha Nabi yuko overated, Kaizer Chief wamemstukia, kuna watu nyuma yake ndio wanambeba bila hao hamna kitu

    Kaizer Chief wanajua sana. Wakati wa anafanyiwa usaili alijigamba kuwa anaweza kuleta maajabu kilabuni, akaambiwa njo uanze kazi akaanza mara nije na Mayele na benchi langi lote,janaa wakamstukia kuwa hamna kocha hapa. Amin amin nawaambia bila Mayele na njemba fukani pale Yanga Nabi...
  6. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinakukera ukienda kutibiwa hospitalini?

    Ukienda kupata matibabu Zahanati/Kituo cha Afya/Hospitali ya Wilaya/ Hospitali ya Rufaa au Mkoa/ Hospitali ya Kanda na Hospitali ya Taifa Muhimbili kitu gani kina kukera ili Wizara ichukue hatua kurekebisha tatizo hilo kwa kusaidia unaweza taja hata sehemu husika ili utatuzi ufanyike.
  7. JamiiForums Tanzania Kufanya kila kitu kwa wakati ni kuwahi kufa

    Umesoma kwa wakati, umeoa/umeolewa kwa wakati, umepata watoto kwa wakati, umekuwa na kipato kwa wakati, umesomesha kwa wakati na kila kitu kimekaa sawa kwa wakati. Maana yake hata kufa utakufa kwa wakati/mapema baada ya kukamilisha mambo yako.
  8. JamiiForums Tanzania Hii kitu haikubaliki, hii nchi udini umeota mizizi sasa

    SAKATA LA KUPOTEA RAJAB OMARI MTANA KIJIJI CHA LULAGO HANDENI 2013 NA HUKUMU YA KUNYONGWA MASHEIKH 10 TANGA 2013 Waislam 10 wamehukumiwa kunyongwa kwa tuhuma za kuua mlinzi mmoja. Kufikia hukumu hii kuna mengi na chanzo chake kilianzia katika biashara ya hiliki na malipo ya ushuru kijijini...
  9. JamiiForums Tanzania Kitu rahisi kuliko vyote dunia ni kulalamika

    Habari wakuu, nimefanya utafiti mdogo nimegundua kitu rahisi kuliko vyote dunia ni kulalamika. Asilimia kubwa ya watu wanaopenda kulalamika huishia kuwa masikini, na ndio maana umasikini ni synonym ya kulalamika. Na pia nimegundua kitu kigumu zaidi duniani ni kuwajibika. Kuwajibika na kutimiza...
  10. JamiiForums Tanzania Kama ni kweli hawa wasanii wanapelekwa Dubai kwa mission maalum Dubai Port, hakika inafikirisha!

    Watanzania wenzangu hatima ya ustawi wa Taifa letu upo mikononi mwetu. Ni wajibu wetu kama Watanzania tujizuie kwa namna yeyote ima kununuliwa ama kushawishiwa kwa namna yeyote ile ilmradi tuligawe Taifa na rasilimali zetu. Safari za namna hiyo za watu maarufu na wasanii wetu kwenda huko Dubai...
  11. JamiiForums Tanzania Kila kitu hapa duniani ni mahesabu ty

    Nakupa salamu sasa,je mnzima wewe?? Mangi shangali.. HESABU ndo kila kitu duniani, chochote kili chopo duniani kipo kimahesabu. Kipindi tukiwa shule ya msingi walimu walitusisitizia sana hesabu,tena tulichapwa fimbo nyingi sana sababu ni hesabu.. Ebu tuingie deep sana...
  12. JamiiForums Tanzania Usifagilie mtu, Mungu ndio kila kitu

    Nikupe salamu za kazi gani kwanza sikujui.. Aisee usije ukamshobokea mtu katika haya maisha: Hata kama wewe ni masikini, kuwa masikini jeuri. Sisi sote pua zetu zimeangalia chini, sote tuna share hii pumzi inamaana kwamba sio yetu.. Asikupande raia kichwani ukamtukuza kisa ana...
  13. JamiiForums Tanzania Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

    Mwenzenu huu usinglemom ulinikuta chap Kwa haraka. Yaani bila kutarajia mtu niliyemwamini na niliyekuwa na malengo nae alinigeuka. Nikisema iliingia kwa bahati mbaya nitakuwa nadanganya tulipanga nami nilijiaminisha kwa sababu kuna hatua tulipitia ambazo nikajua yessss, nimelipata bwana! We...
  14. JamiiForums Tanzania Huwa unampongezaje mtoto wako akifanya kitu cha kukufurahisha?

    Hello Africa, Kwangu mimi huwa namuita na kumpongeza kwa maneno mazuri sana, zaidi huwa namfanyia kile kitu ambacho anakipenda sana, mwisho wa siku my son anakuwa mtoto mwema sana nampenda sana mwanangu.
  15. JamiiForums Tanzania Je ni katika hali gani ulikosa kitu unachokipena , halafu ukapata kingine kikawa bora zaidi kweny maisha yako.

    Amani iwe na nanyi! Kama kichwa cha mada hapo ,je ilishawahi kukutokea kukosa au kupoteza kitu ulichokipenda iwe kazi ,masoma ,mpenzi, ajira halafu ukapata kingine kikawa bora zaidi. Kama baadhi yetu tunavyoaamini "kama kitu sio riziki yao au halali kwako basi huwezi kukipata ". Niongezee...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
  17. JamiiForums Tanzania Mbinu za Kisaikolojia zinazoweza kukusaidia kushawishi na kukufanya ukafanikiwa katika kitu chochote

    Nilipokuwa napitapita zangu kwenye kitabu kinachoitwa Dark Psychology nikakutana na mambo ya kuvutia sana. Do you know kwamba watu wanatumia hiyo skill kukufanya ufanye maamuzi nje ya tabia yako ya kawaida? Ukiwa unatangaziwa kitu alafu unaambiwa "offer hii ni ya wiki moja pekee" au unaambiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

    Mie nilijiapiza sitopenda tena toka moyoni nitapenda juujuu tu, we bhana weee☹️ ndo nimejikuta nimependa toppest. Yaani nimepitiliza kama ni temperature basi imekuwa 45 C. NB: Najua tutaachana🙄 maana hamkawii🤒
  19. JamiiForums Tanzania Lofa hawezi kumiliki kitu cha thamani, Ukitaka kujua kuwa wewe si lofa tazama miliki zako utapata majibu.

    Hii ndio nature ya ulimwengu kwamba lofa au mpumbavu asimiliki kitu chenye thamani. Hata kama uvunguni mwako kuna lulu nyingi za aina tofauti, dunia ikijua tu kuwa wewe ni lofa itatumia gharama yoyote ili tu kukunyang'anya ile lulu. Ni wakati sasa tuache kuomba utajiri kwa Mungu badala yake...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Mijadala yote inayofanyika haitasaidia kitu. Hakuna chochote kitakachobadilishwa katika suala DP World na Bandari zetu

    Mijadala yote inayofanyika haitasaidia kitu. Hakuna chochote kitakachobadilishwa katika issue DP world na Bandari zetu. Ukweli ni mchungu, huo ndio ukweli, hakuna lolote litakalobadilika. bunge limesharidhia, Mkuu wa Nchi ameshaweka sahihi yake, hivyo chochote kinachoendelea ni janja janja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…