kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wapi nitaipata hii kitu Kawasaki Z1000

    Nahitaji hiki chombo used.Naomba nipewe location zilipo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kilichompaisha jamaa ni kelele nyingi na kuminya vyombo vya habari tu la sivyo hamna kitu alichofanya

    Aliyepita alisaidiwa na kelele nyingi kila anapoenda anawapiga fix wananchi kwa mbwembwe nyingi wakabaki wanamuomba yeye tu. Si unajua wananchi wanavyopenda kuongopewa mbaya zaidi ukienda na strategy ya kutumbua tena hadharani hivyo wananchi wanapenda ili tu kumkomoa mwingine afanane nao kwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Je, kitu gani ni hatari lakini watu wengi wanakichukulia poa?

    Kuna vitu vingi katika maisha yetu ambavyo vina hatari kubwa, lakini tunavichukulia poa tu na maisha yanasonga bila kufikiria athari zake. Ukija kushtuka huwezi kurudi kunyuma, na ukibahatika kunyanyuka basi unakuwa umepoteza pakubwa. Mfano kula vitu ovyo ovyo, tunajua tunajaza sumu kibao...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu mtalaka wangu kanifanyia, haiwezekani mpaka wanaojiuza wananikataa!

    Miezi kadhaa sasa tangu niachane na aliyekuwa mke wangu, nahaha kutafuta mbadala bila mafanikio. Kila ninayemsiamamisha haishii kunikataa tu bali kunicheka kabisa; tena wengine kwa kunionyesha vidole kabisa nikipita wakiwa na mashostito wao. Juzi upwiru ulizidi kiwango, nikaona nachotaka...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri mwenye kauli chafu na hata akiambiwa kitu na wananchi anapuuzia na ndo huyu kafanya Starlink wasifanye kazi Tanzania

    Je, ni sahihi kwa waziri kutukana hovyo hivi
  6. JamiiForums Tanzania Msanii Lina Sanga asikilize kwa umakini wimbo mpya wa Lady Jaydee "Mambo Matano" kuna kitu atahisi na kuchefukwa

    Niende kwenye mada Lady Jaydee katoa wimbo mpya unaitwa "Mambo Matano". Kwa anaemjua Lina Sanga na nyimbo zake, kama anaujua mziki hasa melodies, na mengineyo nadhani itakuwa topic of the town. Kuna wimbo fulani wa Lina Sanga, Lady Jaydee kapita na desa la melody by 90+% kama sio💯% Ukiujua...
  7. JamiiForums Tanzania Siasa na Sheria ni kitu kimoja?

    Kuna rafiki yangu mmoja tulipokuwa kwenye mazungumzo fulani ya kimaendeleo aliniambia kauli kuwa Siasa na Sheria na kitu kimoja kwa kuwa vyote vimejikita kwa kucheza na maneno tu.
  8. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani cha ajabu ambacho bila kufanya hauwezi concentrate au kuwa comfortable kwenye mambo ya msingi?

    Huu ni uzi maalumu kuelezea tuvitu twa ajabu ajabu ambavyo kila mmoja asipo vifanya vinamnyima uhuru wa kuwa comfortable kwenye mambo yake ya msingi. Bwana bwana mimi binafasi nina kaugonjwa kangu ninako kaita"Toothpicks disease". Kutokana na tabia yangu ya muda mrefu ya kupenda kusoma vitabu...
  9. JamiiForums Tanzania Kitu chochote ili kiwe bora kinahitaji kitu hiki

    Kivyovyote vile kwenye kila jambo ambalo unalifanya kumbuka huwezi kuwa bora zaidi ya wengine, ila unaweza kuwa na nidhamu zaidi ya wengine wote kwenye kila jambo fulani unalolifanya. Kila kitu kinahitaji nidhamu ya hali ya juu katika kutekeleza jambo fulani. Huwezi kusema unataka kufanikiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hata kama hujazoea hiki kitu katika mahusiano, chukua hatua bado mapema sana

    Kwa mara ya kwanza unapoingia kwenye mahusiano na mtu, unakuwa hujisikii huru sana kuwa naye, lakini baada ya muda una mzoea mtu huyo na kuanza kuona kila kitu kipo sawa kwako. Kwa mara ya kwanza unapoingia kwenye biashara, unakuwa pia hauko huru sana na biashara hiyo, lakini inafika muda...
  11. JamiiForums Tanzania Soma kisa hiki cha utapeli, ujifunze kitu

    Aisee Kuna kisa kimoja Cha utapeli nikikumbuka huwa nacheka sana, japo sio changu kilimtokea mshkaji wangu mmoja. Jamaa anadai walikuwa na kijiwe Chao wanakutana washkaji wengi tu, kulikuwa na pool table na vile vimashine vya kubet, anadai kijiwe kilikuwa na vijana wengi matozi tu na smart...
  12. JamiiForums Tanzania Moja ya kitu ambacho siwezi thubutu kukifanya ni Kumnunulia Mwanamke Chupi

    Ukihitaji salamu nenda kwa waswahili wenzio,kwangu utaambulia chuya tu!. Kuna mambo mawili ambayo siwezi katakata na sitothubutu kuyafanya kwa kiumbe anayeitwa "MWANAMKE" Mambo hayo ni :- 1.KUMSOMESHA 2.KUMNUNULIA NGUO YA NDANI (Waswahili huita "CHUPI") Mambo mengine yote naweza kuyafanya...
  13. JamiiForums Tanzania Ukija Duniani kama ulivyokuta watu wamepambana kuleta mambo mazuri na wewe kabla haujafa tafuta kitu Cha kuoachaia Dunia Kama zawadi

    Waafrica we are too selfish just imagine unazaliwa Hadi unakufa bila kuacha Jambo lolote la maana hapa Duniani . MTU Kama Mama Teresa Hawa watu wamekufa ni Muda mrefu lakini majina Yao yanaishi kama wapo hai. Tupambane tuwaze Sana kitu Cha kuiachia hii Dunia Mtu Kama Robert Heriel Mtibeli na...
  14. JamiiForums Tanzania Hapa Kuna Siri gani kuhusu ukiwa na hela unapoteza shauku ya Kupata kitu mfano swala la kuoa Mtu ukipata hela unalisahau kama huwa lipo.?

    Nilichogundua Binadamu huwa anakuaga na mipango Mingi akiwa Hana hela. Mfano back the days Mimi na classmates zangu tuliwahi kupanga Mambo ya kuoa nk but now hao classmates wapo Sehemu nzuri wengine katika Taasisi kubwa na wengine wafanyabiashara so Hakuna hata mmoja kaoa na hawataki kusikia...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna wadada wakija ghetto wanachukua kitu chochote cha kwenda kuturogea. Nimefunga camera wameanza kuumbuka vibaya kabla hawajaondoka najisanua

    Wasalaam, Nawakumbusha tena camera ambazo ni ngumu mtu kujua zimejaa tele , kuondokana na hii vita ya wadada ama wanawake kuwa na mpango wa kuturogea kimapenzi. Mimi najisanua kila mara nawaumbua, mpaka sasa wengi wanashangaa maana hakuna dalili za kuona camera popote pale, kamanda nimefunga...
  16. JamiiForums Tanzania Kua uyaone, weka mkasa wako hapa ulipogundua pesa si kila kitu

    Yes, Pesa sio kila kitu, ni mpaka ikosekane kabisa ndio kila kitu ila ukiwa nayo hata kiasi sio kila kitu. Najua kuna msemo siku hizi kila mara "Tafuta Pesa" ila ukichunguza ni athari za watu walioishi katika umaskini tangu wadogo hivyo kisaikolojia wanaamini pesa ni kila kitu, siwezi kuwalaumu...
  17. JamiiForums Tanzania Kama sio Maaskofu wa Kanisa Katoliki, Watanzania tulikuwa tunapigwa na kitu kizito sana na DP World

    Ndugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW. Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo...
  18. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

    Katika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k. Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k. Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Wahariri wa magazeti wapigwa na kitu kizito vichwani kuhusu DP World

    Ndugu zangu, Sasa ni dhahiri kuwa sakata la 'Port Selling" inachukua mkondo mpya. Kauli ya kibabe na kiburi ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu ubavu na misuli imeanza kutafsiriwa na "ofisi nyeti" kwa vitendo. Kutoka kuwa mjadala Sasa sakata hili linaanza kuelekezwa kwenye mkono wa chuma. Ni...
  20. JamiiForums Tanzania Thamani ya kitu hutengenezwa katika akili ya mtu. Unaweza kumfanyia mtu mambo makubwa lakini akaona hayana thamani kwake

    Katika MAISHA thamani ya kitu inatengenezwa katika Akili ya mtu. Hivyo kabla ujamfanyia MTU Jambo lolote hakikisha analipa thamani katika Akili Yake . Mfano Kuna watu wanahitaji tu MUDA wako na sio Jambo lolote ila pia Kuna wengine wanahitaji pesa zako hivyo inahitaji utulivu wa kifikra kujua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…