kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Hivi hili la bandari nalo likipita kwa ushwari uliolengwa na mamlaka, je ni kitu gani au jambo gani tena la kutuingiza barabarani kama nguvu ya umma?

    Kama kuna jambo ambalo limeamsha hisia na vuguvugu za kizalendo kwa kipindi kirefu kilichopita, na kupata sapoti ya wanazuoni wanaoheshimika ndani na nje ya nchi ni hili la bandari. Pamoja na kuwa wazi kabisa kwamba kuna kila dalili ya kuja kulilia huko mbele ya safari kuwa viongozi wetu...
  2. Nikiwa nafanya meditation napaswa kuwaza kitu gani?

    Wakuu habari za majukumu, Huwa ninafanya mazoezi, na kila baada ya mazoezi nakaa kitako, nafumba macho nikivuta hisia. Wakati huu napaswa kufikiria jambo gani? Update. Nashukuru nimepata link. Meditation: Maana, njia na faida zake
  3. MB DOG: Diamond Platnumz amenidhulumu wimbo wa Mapenzi Kitu Gani

    "Google wimbo huu wa Mapenzi Kitu gani au ingia YouTube halafu ataona. Nenda kwenye more Information utaona jina la Msanii aliyeimba wimbo huu imeandikwa jina la #DiamondPlatnumz. Ubunifu kama huo lakini nikitaka kuutumia napigwa stop. Unapotaka kuutumia kwa ajili ya maisha ya familia ili nipate...
  4. Giggy ana kitu, atafika mbali

    Giggy akipiga bonge la Own Goal (OG). Ana kitu
  5. Elibariki Kingu ni mtupu kichwani, hana kitu!

    Member type: Constituent Member Constituent : Sing in the West Political Party : CCM Phone : +255786570111 P.O Box : Email address: e.kingu@bunge.go.tz Date of Birth : 1979-08-05 The history of education: School Name/Location Course/Degree/Award From To Level The University of Macedonia...
  6. Wanaume, ni kitu gani unavutiwa nacho unapokutana na mwanamke kwa mara ya kwanza?

    Binafsi navutiwa na sauti nzuri laini.
  7. Kama kila kitu kinachotokea kwenye maisha ya binadamu ni mpango wa Mungu then kwanini Wakristo na Waislamu hufanya jambo hili?

    Waislamu na Wakristu uhubiri kwamba kila jambo analolifanya mwanadamu na kila jambo analo fanyiwa mwanadamu ni mipango ya Mungu. Kama hoja hii ndio msimamo wa mafundisho ya kikristo na kiislamu then kwanini wakristu na waislamu HUTUBU DHAMBI ZAO kwa Mungu pindi watendapo dhambi? Kwa sababu...
  8. Movie ya EONII hakuna kitu

    Nimeingalia movie ya EONII lakini haijanifurahisha kabisaaa. Advertisement waliyofanya AZAM ni kubwa sana lakini movie sifuri. Teknolojia iliyotumika ni kubwa kuliko movie yenyewe. Characters waliocheza movie wamemezeshwa maneno ya kuongea hata mzuka haupo. Angalau Azam wangetafuta professional...
  9. Kumbe vunja Bei kapigwa kitu kizito mno. Nimeona igenda amevaa jezi mpya ya Simba ikiwa na nembo ya VB akijitambulisha lkn inazibwazibwa

    Nimemuona huyo jamaa mkenya uko Simba app akiongea kavaa Uzi mpya juu ya nembo ya mo xtrer Kuna nembo ya VB inapaushwa kwenye video editing ili isisomeke. Kweli VB alifanya kosa kubwa kutoweka nembo za mo kwenye Uzi wa Simba wa kimataifa hata msahau Muhamedi Kamwe.
  10. Kitu pekee kitakachoitoa CCM madarakani ni mgawanyiko wa ndani ya chama na sio vinginevyo

    Nimekuwa nikisoma mashambulizi mbalimbali mitandaoni dhidi ya chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo wanaokiponda hasa CHADEMA na kujikuta wakati mwingine niwaze kitakachoitoa CCM madarakani. Ukisoma maandishi ya wapinzani unaweza ukatishika na kudhani mwisho wa CCM ndo...
  11. Kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Najuta

    Wanasema kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Nipo kwenye ndoa nae mwaka wa sita huu lakini sasa ni mtihani mtupu. Mke wangu ana kiburi cha asili, gubu na wivu wa kijinga sana na kwenye ndoa tuna watoto watatu. Hakuna anachokosa natimiza wajibu wangu kama mume, sijikwezi lakini ukweli mke...
  12. Serikali yasema haiwezi kubadilisha kila kitu kwenye Sheria ya Habari

    Naibu Waziri wa Habari na Teknolojia ya Mawasiliano, Kundo Mathew amewataka wadau wa habari kutosheka na maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari Sura ya 229 akisema ni hatua kubwa imepigwa. Ameyasema hayo leo Julai 6, 2023 alipokuwa akifunga mradi wa ‘Boresha Habari’ wa taasisi ya Internews...
  13. Hamad Masauni: Taasisi ya dini ya Mfalme Zumaridi haijasajiliwa

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema Serikali itazichukuliwa hatua taasisi zote za kidini ikiwemo taasisi inayoendeshwa na Diana Bundala maarufu ‘Zumaridi’ ambazo zinajiendesha kinyume na tamaduni za Kitanzania. Akizunguma katika kikao kati yake na viongozi wa mashirikisho na...
  14. Brother kuna kitu kakiona kwa huyu manzi, sisi wengine hatujui

  15. Muuguzi KCMC auawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali uchochoroni

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Muuguzi wa hospitali ya KCMC Moshi Khudheifa Changa (26) Akitoa taarifaa hiyo kwa vyombo vya habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro ACP Simoni Maigwa amesema kuwa walio kamatwa ni...
  16. Ukija Tanganyika kila kitu ni cha Muungano, ukienda Zanzibar kila kitu ni cha Wazanzibari peke yao

    Zanzibar wakitaka kufanya chochote wanakuta kwenye (bunge la Zanzibar) baraza la wawakilishi pale Chukwani wanatunga na kupitisha sheria taratibu kanuni kwa ajili ya Zanzibar peke yao na kuweka kwenye katiba yao kando kinachoitwa katiba ya muungano. Na ukiingia Zanzibar katiba inayotumika ni...
  17. Kocha Nabi yuko overated, Kaizer Chief wamemstukia, kuna watu nyuma yake ndio wanambeba bila hao hamna kitu

    Kaizer Chief wanajua sana. Wakati wa anafanyiwa usaili alijigamba kuwa anaweza kuleta maajabu kilabuni, akaambiwa njo uanze kazi akaanza mara nije na Mayele na benchi langi lote,janaa wakamstukia kuwa hamna kocha hapa. Amin amin nawaambia bila Mayele na njemba fukani pale Yanga Nabi...
  18. Kitu gani kinakukera ukienda kutibiwa hospitalini?

    Ukienda kupata matibabu Zahanati/Kituo cha Afya/Hospitali ya Wilaya/ Hospitali ya Rufaa au Mkoa/ Hospitali ya Kanda na Hospitali ya Taifa Muhimbili kitu gani kina kukera ili Wizara ichukue hatua kurekebisha tatizo hilo kwa kusaidia unaweza taja hata sehemu husika ili utatuzi ufanyike.
  19. Kufanya kila kitu kwa wakati ni kuwahi kufa

    Umesoma kwa wakati, umeoa/umeolewa kwa wakati, umepata watoto kwa wakati, umekuwa na kipato kwa wakati, umesomesha kwa wakati na kila kitu kimekaa sawa kwa wakati. Maana yake hata kufa utakufa kwa wakati/mapema baada ya kukamilisha mambo yako.
  20. Hii kitu haikubaliki, hii nchi udini umeota mizizi sasa

    SAKATA LA KUPOTEA RAJAB OMARI MTANA KIJIJI CHA LULAGO HANDENI 2013 NA HUKUMU YA KUNYONGWA MASHEIKH 10 TANGA 2013 Waislam 10 wamehukumiwa kunyongwa kwa tuhuma za kuua mlinzi mmoja. Kufikia hukumu hii kuna mengi na chanzo chake kilianzia katika biashara ya hiliki na malipo ya ushuru kijijini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…