kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Tujifunze kitu kikubwa hapa

    Pichani:Muanzilishi wa KFC(Kentury Fried Chicken) HISTORIA YAKE.. Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake... Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule. Akiwa na miaka 17 tayari alikua kapoteza ajira 4. Akiwa na miaka 18 aliamua kuoa. Akiwa na miaka 19, alifanikiwa kuwa Baba. Akiwa na miaka 20...
  2. A

    DOKEZO Serikali ikague ubora wa Ujenzi wa Reli ya SGR Lot 3. Tunaandaliwa kupigwa na kitu kizito siku za usoni!

    Nimelazimika kuandika hiki ninachokiandika kwa kuwa nimeona ukimya wangu unaweza kuja "kuli-cost" Taifa baadaye na mimi nikaonekana kama sikukitendea vema kizazi changu. Naweza kusema nimesoma andiko hili nikashawishika nami kuandike kile ambacho kipo kichwani kwangu na ndio ukweli halisi...
  3. Huu Wimbo ni moja ya nyimbo zenye kitu. Na hizi nyingine zenye kujaa Roho ndani yake

    Sikumbuki jina la choir. Ila wanaimba "Mimi ni kitu gani Bwana uniokoe Ninapojitazama mimi sistahili Ninazo dhambi tele Shetani kanisonga Yesu uniokoe Unishike mkono bwana Ni moja ya choir za zamani sana. Kama sikoei ni kutokea Kilimanjaro au Arusha. Pia natafuta na choir ya Moravian...
  4. Hivi huwaga unafanyaje; Pesa ya kodi inakaribia na hauna kitu daaah!

    Kuna mazingira kama haya, umekopa pesa kwa mtu uizungushe ikaferi, matarajio ulipe Kodi, mama mwenye nyumba ulishamuahidi MWEZI WA 10 tarehe 18 unampatia pesa yake leo tarehe 2. Aiseeee na ingebidi MWEZI uliopota umalize deni. Maokoto zero kula kwenyewe kumekuwa kwa tabu saaana, kulala njaa...
  5. Msaada Simu inajufuta kila kitu after every 2 hours

    Wakuu nimepata changamoto katika Google pixel 6 yangu kama ifuatavyo; simu yangu baada ya kuifayia factory reset imeleta hio error. Nimejaribu kuwa contact google kwenye email yao kama nilivyoelekezwa kwenye picha hapo chini lakini nimeshindwa. Hii simu ni simu yangu wakuu na neitumia miezi...
  6. Nimeona kitu pale JKNI. Je, inawezekana hilo?

    Pale kwenye njia ya reli kuelekea Gongo la mboto na kuendelea wamejenga tuta kuelekea upande wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa JKNI. Ujenzi unaendelea sijajua wataishia wapi au ndio wanaelekea uwanjani moja kwa moja? Nimeuliza hivyo kwani natamani nione uwanja wa ndege wetu unaunganishwa na...
  7. Kuna kitu hakipo sawa katika hii Mitanadao... Ni kama wote tunalazimiswa tuwe 5G..

    Sijui kama hili naliona mimi peke angu.. Ila kuna upumbavu mkubwa unaendelea.. Uzi.
  8. Kila kitu kipo shaghalabaghara. Nchi imefikia pabaya. Ziara za Waziri Mkuu Majaliwa zinatoa picha kamili

    Kukatika umeme imekuwa janga la kitaifa. Na hapa ndipo amefeli kabisa. Kudhibiti nidhamu ya watumishi na ubadhirifu ndio amekwama kabisa. Kila anapopita Kassimu ni zaidi ya madudu na hii ni Sampuli tu ya uozo. Nchi imefikia pabaya sana tofauti na alipokuwepo mtangulizi wake
  9. Wewe unatumia njia gani kupata ujasiri wa kuzungumza mbele ya watu wanaokuzidi kila kitu?

    Habari wana JF, Baadhi yetu tumewahi kupata bahati ya kukaa na wakubwa au kutoa speech mbele ya watu wenye vyeo vikubwa kutuzidi, au kwenye interview nk. Confidence na utulivu ni jambo muhimu sana wakati huo. Binafsi huwa nawadharau watu wote wanaonitazama ili kupata confidence. Wewe...
  10. R

    Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

    Habari za asubuhi ndugu zanguni, Nimefanya kazi ya ualimu katika shule x mkoani Dodoma kwa miaka 3 sasa nikifundisha masomo ya A level kwenye shule moja ya private. Lakini naona kama hii kazi inakuwa ngumu sana kwangu kuendelea nayo sababu na experience vitu vifuatavyo vinavyoniumiza na...
  11. Tatizo la Tanzania kila kitu ni siasa. Hatuna useroius kwenye kutengeneza na kusimamia mipango madhubuti

    Kwa miezi sasa nchi imekuwa ikisumbuliwa na mgao wa umeme Leo nimeamka na taarifa za DG wa Tanesco kuondolewa Tanesco Wiki iliyopita ilitrend taarifa ya kampuni kubwa ya Starlink kuanza kazi Kenya huku hapa Tanzania ikiwa ilipigwa danadana za kutosha Sasa wameenda na Zimbabwe. Kwa uzoefu...
  12. Mambo ya Tano ya Jide ni kitu gani?

    Ni kwaya ama ni nini? Jide my sista are u serious? Kwaya? Mwaka 2023? It is high time now wakongwe wa bongo fleva waambiwe ukweli. 2023 is not 2003. Mambo yamebadilika. Something which was good in 2003 may not be good in 2023. Jide unahitaji kufanya upya research yako. It is high time now...
  13. Wapi nitaipata hii kitu Kawasaki Z1000

    Nahitaji hiki chombo used.Naomba nipewe location zilipo
  14. M

    Kilichompaisha jamaa ni kelele nyingi na kuminya vyombo vya habari tu la sivyo hamna kitu alichofanya

    Aliyepita alisaidiwa na kelele nyingi kila anapoenda anawapiga fix wananchi kwa mbwembwe nyingi wakabaki wanamuomba yeye tu. Si unajua wananchi wanavyopenda kuongopewa mbaya zaidi ukienda na strategy ya kutumbua tena hadharani hivyo wananchi wanapenda ili tu kumkomoa mwingine afanane nao kwa...
  15. R

    Je, kitu gani ni hatari lakini watu wengi wanakichukulia poa?

    Kuna vitu vingi katika maisha yetu ambavyo vina hatari kubwa, lakini tunavichukulia poa tu na maisha yanasonga bila kufikiria athari zake. Ukija kushtuka huwezi kurudi kunyuma, na ukibahatika kunyanyuka basi unakuwa umepoteza pakubwa. Mfano kula vitu ovyo ovyo, tunajua tunajaza sumu kibao...
  16. W

    Kuna kitu mtalaka wangu kanifanyia, haiwezekani mpaka wanaojiuza wananikataa!

    Miezi kadhaa sasa tangu niachane na aliyekuwa mke wangu, nahaha kutafuta mbadala bila mafanikio. Kila ninayemsiamamisha haishii kunikataa tu bali kunicheka kabisa; tena wengine kwa kunionyesha vidole kabisa nikipita wakiwa na mashostito wao. Juzi upwiru ulizidi kiwango, nikaona nachotaka...
  17. Waziri mwenye kauli chafu na hata akiambiwa kitu na wananchi anapuuzia na ndo huyu kafanya Starlink wasifanye kazi Tanzania

    Je, ni sahihi kwa waziri kutukana hovyo hivi
  18. Msanii Lina Sanga asikilize kwa umakini wimbo mpya wa Lady Jaydee "Mambo Matano" kuna kitu atahisi na kuchefukwa

    Niende kwenye mada Lady Jaydee katoa wimbo mpya unaitwa "Mambo Matano". Kwa anaemjua Lina Sanga na nyimbo zake, kama anaujua mziki hasa melodies, na mengineyo nadhani itakuwa topic of the town. Kuna wimbo fulani wa Lina Sanga, Lady Jaydee kapita na desa la melody by 90+% kama sio💯% Ukiujua...
  19. Siasa na Sheria ni kitu kimoja?

    Kuna rafiki yangu mmoja tulipokuwa kwenye mazungumzo fulani ya kimaendeleo aliniambia kauli kuwa Siasa na Sheria na kitu kimoja kwa kuwa vyote vimejikita kwa kucheza na maneno tu.
  20. Ni kitu gani cha ajabu ambacho bila kufanya hauwezi concentrate au kuwa comfortable kwenye mambo ya msingi?

    Huu ni uzi maalumu kuelezea tuvitu twa ajabu ajabu ambavyo kila mmoja asipo vifanya vinamnyima uhuru wa kuwa comfortable kwenye mambo yake ya msingi. Bwana bwana mimi binafasi nina kaugonjwa kangu ninako kaita"Toothpicks disease". Kutokana na tabia yangu ya muda mrefu ya kupenda kusoma vitabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…