Tupo Oslo, Norway Hiki alichovaa huyu jamaa anayempa mkono Madam President ni kitu gani?

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
14,018
21,918
Pamoja na baridi kali hapa ila tunavumilia tu sababu ni kesho tu tunarudi zetu Dodoma kwenye hali yetu tuliyozoea.

Amasema alitaka kumuuliza ila kwa sababu za protocol akashindwa, ni kitu gani hicho?.

IMG_20240214_213858.jpg
 
hyo
Pamoja na baridi kali hapa ila tunavumilia tu sababu ni kesho tu tunarudi zetu Dodoma kwenye hali yetu tuliyozoea.

Amasema alitaka kumuuliza ila kwa sababu za protocol akashindwa, ni kitu gani hicho?.

View attachment 2904093
Hyo ni headset za maskioni znazotumiwa na usalama sema tu aliyevaa si mwana usalama au mzoefu wa kaxi hizo ndo maana unaona imezid hvyo
 
hyo

Hyo ni headset za maskioni znazotumiwa na usalama sema tu aliyevaa si mwana usalama au mzoefu wa kaxi hizo ndo maana unaona imezid hvyo

headset za maskioni? unamaanisha hearing aid? inaonekana kitu tofauti kabisa na siamini kama mvaaji wa hiyo garget hajui kuvaa vizuri?
By the way, Muulizaji alitaka kujua Inafanya kazi gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom