kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Utoto ulikufanya uone kila kitu kinawezekana ulipokua umegundua sio rahisi?

    Mimi nikiwa mdogo nilikuwa najua baba na mama mzazi wao ni mmoja . Mimi nilijua baba alikuwa mzembe kutojenga ghorofa mbona wenzake wamejenga? Mimi nilikuwa najua baba hatupendi kwanini hanunui nyama kila siku? Nilikuwa nawalaumu baadhi ya NDUGU kwanini hawarutembelei? Nilikuwa nawaonea wivu...
  2. Hakuna kitu cha maana hapa duniani kama kutafuta amani na Furaha yako!

    Mengine mengi ni upuuzi mtupu, muda wetu hapa duniani ni mfupi sana, jipiganie upate amani, Furaha, na vichache kwa ajili ya vijana wako kwa hapo baadae ispokuwa wape vijana elimu kweli maana ndiyo msaada wao mkubwa sana, mali zitapita, majumba yatapita, magari yatapita lakini uzao bora wenye...
  3. Kwa anaye hitaji kitu chochote kutoka Dar kimfikie alipo

    Wapendwa Habarini!! Leo nipo mbele yenu kwa wote ambao mpo mikoani na mnauhitaji wa bidhaa au mzigo wowote kama (Sim, electronics parts eg tv/redio, spare parts za magari na n.k) chakufanya wasasiliana nami utapata gharama zote za mzigo unao uhitaji mbaka pale ulipo kwa uaminifu mkubwa...
  4. Sijafanya kitu chochote cha maana katika maisha yangu na nina umri wa miaka 32. Je, hii ni kawaida?

    Hakuna kitu katika maisha kitakachobadilika hadi tubadilike sisi wenyewe. Kulaumu hali, watu wengine, au hata bahati mbaya kunaweza kuonekana kuwa sawa kwa sasa, lakini huku kunatuacha bila nguvu. Unapoelekeza kidole chako kwa mtu mwingine kama sababu, unampa udhibiti wa maisha yako kwa nguvu...
  5. D

    Ewe Msamaria Mwema wa Kimakonde, nitafsirie hii kitu!

    Nitashukuru sana. Hiyo kitu itaendelea kubaki moyoni kwangu na akikini Hadi 20100
  6. Angalia maajabu tuliyofanya katika hii mansion ya mteja wetu. Tuli-design, then tukaingia site tukatoa kitu matata sana

    MANSION DESIGN AND BUILD SERVICES CALL/WHATSAP US +255624004650 INSTAGRAM mkuzibuilders TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  7. Maigizo ya kuigiza. Yani unatumia pesa nyingi kuigiza uongo. Kitu ambacho hakipo

    Nimemfuatilia huyu Kiduchu na bosi wake, nimegundua wanapoteza muda mwingii sana kufosi kuleta kitu mjini ambacho hakipo. Hakuna mahusiano kama haya kati ya Boss na House girl. Vitu vya kuigiza vipo vingi. Watafute Contents nyingine.
  8. Sema ukweli, ni kitu gani ukipewa hata sasa hivi huwezi kukataa

    Moja kwa moja bila kupoteza muda tuambie ni nini hicho ambacho pengine unakihitaji au hukihitaji ila ukipewa lazima ukichukue . ------------------------------ Binafsi nikipewa chai ya maziwa mahali popote pale lazima niinywe.
  9. R

    kitu gani kimeshusha brand ya vyuo na kozi za kilimo, watu wengi huenda kama mbadala baada ya kukosa nafasi kwengine.

    Hapo zamani nakumbuka watu wengi waliepnda kwenda vyuo vya kilimo au kusomea kozi za kilimo Hali ya sasa imebadilika, ile ari tuliyozoea kuiona imeshuka Sikuhizi ni herimtu aende chuo cha wanyama pori kuliko kilimo, mifano ya kozi Science in Wood Technologies Agricultural Engineering...
  10. Hakuna kitu kinachoitwa kipaji (kuzaliwa na uwezo wa kufanya kitu fulani)

    Habari ya muda Great Thinkers!! Wakuu nimegundua kuwa hakuna kitu kinachoitwa kipaji (talent) katika Dunia hii. Wazungu hupenda kutumia dhana au neno kipaji wakimaanisha mtu kuzaliwa akiwa tayari ana uwezo wa kufanya kitu fulani kwa mfano kucheza mpira, kuimba, kukimbia. Wamefanya na wanafanya...
  11. A

    Mapendekezo: Kwa Sababu ya Matokeo Mazuri Nchi Inayopata kila Kitu kipewe Jina Lake

    Kutokana na matokeo Mazuri Nchi iliyopata , ni vizuri kila kitu cha nchi hii Kipewe Jina lake kabla ya maneno Mengine Mbele yake. Mfano Yahaya Tanzanite, Yahaya Gold, Yahaya Katiba, Yahaya Ali Hassan Mwinyi Road, Yahaya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
  12. Hakuna kitu kinaitwa “mume wa mtu”

    Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa.. Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade). Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema...
  13. Kitu kimoja serikali ya CCM ilichoweza na kutamba nacho ni kuweka ugumu wa kumiliki silaha za moto

    Naweza kutoa mifano ambayo sio kazi rahisi kama ilivyokuwa kwetu unachukuliwa kizembe tena nyumbani kwako au mazingira yoyote wakiwa na mamlaka ya silaha ila wewe cha kujitetea huna. Siwezi kuwa mchochezi ila tunajifunza na wenzetu kwa nini walikomesha mambo kama haya hata kama watawala...
  14. M

    Nahisi kuna kitu hakipo sawa kwa sisi Watanzania

    1. Inawezekanaje watu wanatekwa na watekaji pengine tunawafahamu lakini tuna kigugumizi cha kuchukua ngumu na za haraka dhidi ya hao watekaji? 2. Inawezekanaje wakati mwingine mtu anatekwa hadharani mchana kweupe na mbele ya umati wa watu lakini waliopo hawachukui hatua kuwadhibiti na...
  15. Polisi hawawezi kusema wanachunguza kitu ambacho wananyooshewa vidole na zaidi ya nchi nzima kama wahusika lazima wananchi mbeya wajilinde

    Hatuwezi kusema na haiwezekani tuchunguze kitu ambacho watu zaidi ya maelfu wana tunyooshea videlo kama wahusika na utekaji wa mdude, alafu tuje na majibu mepesi kwamba tunachunguza hamuwezi kujichunguza. Wananchi wa mbeya wanayo haki ya kuchunguza tukio hilo na kujilinda dhidi ya wahalifu...
  16. D

    Ndo kusema hawa wanaohama CHADEMA wenyewe hawataki kabisa kusikia kitu kinaitwa "uchaguzi huru, wa haki na kuheshimu kura?" Au kuna kitu nyuma yake?

    Chadema chini ya Lisu wanatete maskini na kura zao kuheshimiwa pindi wanapopiga kura na mshindi aliyeshinda ndo atangazwe tofauti na sasa ambapo kura huwa zunapinduliwa aliyeshindwa na anatangazwa mshindi mfano Nape, gwajima, majaliwa nk walitangazwa bila kushinda Kwahiyo hao wanaohama wanataka...
  17. Magazeti ya Tanzania kuna kitu gani kinaendelea? Mmepewa nini mpaka mnajitoa akili?

    Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema. Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu, •Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania...
  18. Najua kuna ma-great thinkers humu ndani, mnisaidie kitu!

    Ninapokea boom 595000/=kila baada ya miezi miwili.nina lipwa Ada 225000/=.kwa mwaka. Ada ya Chouo NI 1330000/= kwa mwaka NAOMBENI USHAURI ninawezaje kumeneji hizi fedha ili ninapo maliza chuo niwe na chochote kitu ,nawasikiliza tafadhari!!
  19. Harufu ya kitu gani unaipenda zaidi?

    Kwema wakuu, natumaini siku imekuwa poa kwenu. Alright, tiririka ni harufu (scent/smell) ya kitu gani unaipenda zaidi? Copy to: secretarybird | Binti Sayuni03 To yeye | Joanah | dosho12 Lax | Chica Gee | Mshangazi dot com | Poor Brain | mshamba_hachekwi | Tajiri Sina BAYA | and 100 others
  20. Ratiba ni kitu sahihi katika maisha

    Habari.. Katika maisha yetu ya kila siku ni vyema kuwa na RATIBA yoyote inayoongoza maisha yetu kama ni kwa Wiki,Mwezi, Miezi au hata Mwaka...Almuradi tuu tusiache kuwa na RATIBA inayotoa kipaumbele katika Maisha yetu.. Mfano nkiwa mdogo kuna familia pale street ilikuwa na ratiba ya diko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…