Ulitaka akupe na nini,ndo iwe Kila kitu?Hii kauli inayotumiwa na wadada nilimpa kila jitu still akaniacha haiko sawa, unakuta hio kila kitu ni papuchi tu 😁.
Zuchu aliimba hata umpe mku... hakumalizia wimbo ukapigwa ban.Ulitaka akupe na nini,ndo iwe Kila kitu?
Kale nako kana akili kama za kuku!Zuchu aliimba hata umpe mku... hakumalizia wimbo ukapigwa ban.
Na mwanaume kauli zake ni kukosa Mimi yule asingekua vile, kukosa Mimi angekufa, kukosa Mimi angekua zake shamba huko...Hii kauli inayotumiwa na wadada "nilimpa kila kitu still akaniacha"haiko sawa, unakuta hio kila kitu ni mapenzi(papuchi) tu 😁.
MmmhNa mwanaume kauli zake ni kukosa Mimi yule asingekua vile, kukosa Mimi angekufa, kukosa Mimi angekua zake shamba huko...
Ukichukia hizo kauli yaani hiyo ya wanawake na hizo za wanaume utagundua kuna kauli imekaa kiprovider na kuna kauli imekaa kiprotector.
So ni asili yaani by default wadada wengi hujikuta wanaongea hiyo kauli hata kama hakuna chochote cha maana alichowahi kukupa kwakua kiasili wao wako hivyo na wanaume nao by default huwa wanatoa kauli za namna hiyo kwakua kiasili wao wako hivyo.
🤔🤔🤔🤔Wanawake hakuna wanacho kitoa kwenye mahusiano zaidi ya ngono!
Kataa blaza🤔🤔🤔🤔