kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Samia anasema Ajira si jukumu la Serikali. So msitegemee kitu

  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Sanaa ni kila kitu

  3. M

    JamiiForums Tanzania Msikilize vizuri Lukuvi hapa, kuna kitu utagundua.

    https://youtu.be/pmlrlWpEpKI?si=l_PDJuGUWLNtTOHF
  4. Mr Beast

    JamiiForums Tanzania Tetesi: PICHA: Huyu Kumrithi Dkt Emmanuel Nchimbi Ukatibu Mkuu wakati wowote

    || Habari zilizozagaa huku mtaani kwa wananchi na makada wa CCM walio wengi na baadhi ya Viongozi wa CCM Tanzania ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka kutoka Upande wowote wa Muungano baada ya kazi nzuri ya Dkt Emmanuel Nchimbi ni lazima awe na sifa hizi zifuatazo au...
  5. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Mtu kama Liberata Mulamula ambaye amekuzidi kila kitu kuanzia Elimu ,umri , uzoefu na Exposure , halafu utegemee aje kukusifu kama Chawa haiwezekani !

    Mtu kama Liberata Mulamula ambaye amekuzidi kila kitu kuanzia Elimu ,umri , uzoefu na Exposure , halafu utegemee aje kukusifu kama Chawa haiwezekani . Utalalamika Sana na nakuona upo katika Panic Mode . MTU unajua kabisa ametumia zaidi ya nusu ya maisha yake kufanya siasa za kutumia akili na...
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Honda N-Box: Wajapan huwaambii kitu kwenye hii gari!

    Beauty is in the eye of the beholder! Honda N-Box ni moja ya best selling car Japan, na kuna miaka inampita hadi mkali wa miaka yote Toyota Corolla. Ni kagari flani ata kukaelezea ni ngumu labda ukaone tu mwenyewe. Engine yake ndogo balaa, cc 650, CVT transmission na power output ya 62 hp...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kitu cha kushangaza mnafungia mtandao wa X ila bado mnatumia serikali kutangaza habari zenu kutumia VPN

    Hii mada sitaki kuunganishwa mods wa JF. Mnapenda kuhamisha mada ili kukosa nguvu ya ukweli. Wanayofanya serikali ya Tanzania kupitia CCM ni kama akili za watu wenye upeo mdogo sana. Wanafanya hivi ni kwamba mtandao wa X una nguvu kubwa ili mambo yao ya wasiojulikana ili wasijulikane. Mbona...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Imani ndio kila kitu...

    Lakini pia kuna wakati wa kupata💪🏿👌🏿
  9. VERIFY

    JamiiForums Tanzania Nani huwa inamkuta hii?

    Kuna mda ukikaa unajikuta kama umepoteza mwelekeo,, unapoteza interest ya vitu alafu unajikuta huelewi maisha ako yanaendaje 😞
  10. Tman900

    JamiiForums Tanzania Uwezi Kua na Kila Kitu

    Katika Maisha uwezi kua na Kila Kitu, Kile una choona Mungu Amekujaria mshukuru Mungu kwa Hicho ulichopata.
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Mjue mmoja wa wanaojiita wanaharakati waliozuiliwa na kesi ya uhaini -Utaanza kunusa kitu

    Atuhaire was born in Sheema District in about 1988. Her childhood was difficult as her father spent too much money on alcohol. She completed high school due to a scholarship at Alliance School Mbarara. Lack of money meant that she could not fulfil her ambition to take law so she studied...
  12. KENZY

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vilikufanya ubadilishe mtazamo wako juu ya kitu ama jambo fulani..?

    Sisi kama binadamu kuna vitu vingi tunapitia nakuwa na uzoefu katika vitu hivyo!, Navyo hutupelekea kubadilisha njia ama mtazamo juu ya kitu fulani je, wewe ni vitu gani hivyo vilikufanya ubadili mtazamo juu ya kitu fulani..? Binafsi ni kazi. Nina hulka ya introvert, ila kazi niifanyayo...
  13. ABILITY_INK

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuamini kama huyu ni Mtanzania mpaka afanye kitu gani.?

    Huwezi kuamini kama huyu ni Mtanzania mpaka afanye kitu gani.?
  14. tamu 3

    JamiiForums Tanzania Utoto ulikufanya uone kila kitu kinawezekana ulipokua umegundua sio rahisi?

    Mimi nikiwa mdogo nilikuwa najua baba na mama mzazi wao ni mmoja . Mimi nilijua baba alikuwa mzembe kutojenga ghorofa mbona wenzake wamejenga? Mimi nilikuwa najua baba hatupendi kwanini hanunui nyama kila siku? Nilikuwa nawalaumu baadhi ya NDUGU kwanini hawarutembelei? Nilikuwa nawaonea wivu...
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu cha maana hapa duniani kama kutafuta amani na Furaha yako!

    Mengine mengi ni upuuzi mtupu, muda wetu hapa duniani ni mfupi sana, jipiganie upate amani, Furaha, na vichache kwa ajili ya vijana wako kwa hapo baadae ispokuwa wape vijana elimu kweli maana ndiyo msaada wao mkubwa sana, mali zitapita, majumba yatapita, magari yatapita lakini uzao bora wenye...
  16. James 25th

    JamiiForums Tanzania Kwa anaye hitaji kitu chochote kutoka Dar kimfikie alipo

    Wapendwa Habarini!! Leo nipo mbele yenu kwa wote ambao mpo mikoani na mnauhitaji wa bidhaa au mzigo wowote kama (Sim, electronics parts eg tv/redio, spare parts za magari na n.k) chakufanya wasasiliana nami utapata gharama zote za mzigo unao uhitaji mbaka pale ulipo kwa uaminifu mkubwa...
  17. Dr Chi

    JamiiForums Tanzania Sijafanya kitu chochote cha maana katika maisha yangu na nina umri wa miaka 32. Je, hii ni kawaida?

    Hakuna kitu katika maisha kitakachobadilika hadi tubadilike sisi wenyewe. Kulaumu hali, watu wengine, au hata bahati mbaya kunaweza kuonekana kuwa sawa kwa sasa, lakini huku kunatuacha bila nguvu. Unapoelekeza kidole chako kwa mtu mwingine kama sababu, unampa udhibiti wa maisha yako kwa nguvu...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Ewe Msamaria Mwema wa Kimakonde, nitafsirie hii kitu!

    Nitashukuru sana. Hiyo kitu itaendelea kubaki moyoni kwangu na akikini Hadi 20100
  19. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Angalia maajabu tuliyofanya katika hii mansion ya mteja wetu. Tuli-design, then tukaingia site tukatoa kitu matata sana

    MANSION DESIGN AND BUILD SERVICES CALL/WHATSAP US +255624004650 INSTAGRAM mkuzibuilders TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  20. blogger

    JamiiForums Tanzania Maigizo ya kuigiza. Yani unatumia pesa nyingi kuigiza uongo. Kitu ambacho hakipo

    Nimemfuatilia huyu Kiduchu na bosi wake, nimegundua wanapoteza muda mwingii sana kufosi kuleta kitu mjini ambacho hakipo. Hakuna mahusiano kama haya kati ya Boss na House girl. Vitu vya kuigiza vipo vingi. Watafute Contents nyingine.
Back
Top Bottom