Hata wakiandamana wachache kesho, hii kitu imepenya

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,688
Reaction score
17,960
Sikutarajia kwamba maandamano yatazungumzwa had na watoto mitaani, yani mtaani maandamano yamekua maarufu kuliko uchaguzi,

ama hakika walioanzisha hii kitu mpaka hapa wamefanikiwa sana yani.

Hili bomu hata lisipolipuka kesho ipo siku, vichwani watu washajazwa sumu sana.
 
Kwanini hausemi "kama tukiandamana ..." badala yake unasema "kama wakiandamana ..." Ukiwalenga kina nani hasa?

Haka kaungonjwa kakuwasubiria wale yaani kusubiri kutendewa, katatutoka lini?
 
Back
Top Bottom