Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,775
- 37,962
Huwezi kumuelewa Padri Kitima kama bado hujakutana na Changamoto ya wasiojulikana mbali na mengine yote huyu Mzee ni hazina ya Taifa alindwe kwa wivu Mkubwa,, Japo ni mwiba kwa watawala ila ni alama ya msimamo juu ya uanaume na maamuzi magumu huitaji kutumia nguvu kubwa kama unafungua bolt za semi trela ila unahitaji jicho linaloona mbali kutafsiri kile anachokifanya kwangu mimi Padri Kitima ni 'Man of The match kwa siku hizi mbili'
Anayebisha na abishe
Shalom.Baba
Anayebisha na abishe
Shalom.Baba