kitaifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania VIDEO: Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, likiwa tayari kwa vita kamili.

    Wanaukumbi. Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii. Kumbuka Iran ndiyo nchi pekee iliyotengeneza makombora ya kilomita 2,000 pia wana makombora kila aina kama Shahab...
  2. JamiiForums Tanzania Mitume na manabii wa kisasa wasipodhibitiwa wanaweza kusababisha uchonganishi wa kitaifa.

    Wasalaam. Mahubiri mengi kwa hawa mitume na manabii wa kisasa yamejaa uchonganishi, manipulation, saikolojia na neno kidogo. Mengine yote sinashida nayo shida ni hii ambayo pia hata waganga huwa wanafanya. Uchonganishi. Yaani mtu anaenda kuombewa, muombewaji anaaminishwa kalogwa, mlogwaji...
  3. JamiiForums Tanzania Ajali za mabasi ni janga la kitaifa, serikali yapeni umuhimu stahiki maisha ya wasafiri

    Hizi ajali za barabarani za mfululizo za mabasi zinazomaliza maisha ya watu na kuwafanya maelfu kuwa walemavu ni kama zimekuwa jambo la kawaida sasa na kuzoelekana. Inasikitisha sana kuona Waafrika hatuyapi maisha thamini na hadhi inayostahili. Ajali mfululizo za mabasi za aina hii zinazotokea...
  4. JamiiForums Tanzania Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na ubunifu 2024

    Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia inapenda kuwataarifu kuwa dirisha la MAKISATU 2024 liko wazi. Tunawakaribisha wabunifu wote kuwasilisha maombi yao kupitia link hapo chini. https://makisatu.costech.or.tz/costech/makisatu Mwisho wa kutuma...
  5. JamiiForums Tanzania Wanazuoni wa Tanzania, Janga la KiTaifa

    Neno la Kuhuzunisha la Wanazuoni wa Tanzania: Janga la Kitaifa (Imetafsiriwa kwa kutumia Akili Tarakilishi) Baada ya kupata uhuru wake, Tanzania iliweka njia kubwa kuelekea mageuzi ya elimu ya kina, yaliyotokana na dhana za kuvutia za Rais wake wa kwanza. Aliirithi taifa lenye uhaba wa...
  6. JamiiForums Tanzania Al-Ahly inamaanisha "Taifa", hivyo unaweza kuita 'Club ya kitaifa' Hizi hapa Timu za kiarabu na maana zake

    (1) Jina la 'Al-Ahly SC' Jina lilipendekezwa na Amin Samy Amin, ambaye alipendekeza kuwa jina hilo ni sawa na neno "taifa" katika Kiarabu cha Misri. Lengo la jina ni kuwahudumia wanafunzi na wahitimu wa shule ambao walikuwa mhimili mkuu wa mapinduzi dhidi ya uvamizi wa Uingereza nchini Misri...
  7. JamiiForums Tanzania Watu kuingia Uwanjani bure ni kuhamasisha uvivu wa kitaifa

    Tabia ya watu kuingia uwanjani bure kuangalia Match ambayo walipaswa kulipia ni kuhamasisha uvivu wa kitaifa. Mentality za ubure ni mentality za kuhamasisha umasikini. Watu wazoezwe kuwajibikia na kughalimikia burudani zao. Ni hilo tu
  8. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo watangaza nia ya kujitoa SUK

    Hii ndio gia mpya waliyoamua kuja nayo baada ya Chaguzi zao kumalizika Zaidi soma hapa -- Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 8 Machi 2024 jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema viongozi wa chama hicho watakutana na Rais wa Jamhuri wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini asisifiwe Mwananchi anayelipa kodi inayotekeleza miradi ya kitaifa?

    Umejengwa utamaduni wa ajabu kwa kutoa Sifa kwa viongozi wa kisiasa wanaposimamia utekelezwaji wa miradi ya kitaifa, na kusahaulika Mwananchi ambaye ndiye aliyemwaga jasho kutafuta pesa na kuipa kodi kwa ajili ya kutekeleza miradi hiyo. Sifa hizo kwa sasa zimeenda mbali zaidi kusifia hata pale...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki Akagua Mabanda ya Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) leo Machi 20, 2024 amekagua mabanda ya Maonesho yatakayotumika katika Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa yanayotarajiwa kufanyika Machi 21 ambapo Mgeni Rasmi katika Kilele hicho anatarajiwa kuwa Makamu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ni kigezo gani hutumika na viongozi wa kitaifa kutoa pole kwa familia iliyoondokewa na mpendwa wao?

    Pale unapotokea msiba wapo ambao viongozi utoa pole kupitia mitandao ya kijamii, ipo misiba Mhe Rais utumia barua ya Ikulu nk Napenda kufahamu ili Mhe Rais atoe pole kwa kupitia akaunti yake ya kijamii anapaswa kuzingatia vigezo gani? Je, anapotumia barua rasmi ya Ikulu kutoa pole utumia...
  12. JamiiForums Tanzania Siku 3 kabla ya kucheza na Yanga, wachezaji 7 wa Mamelodi Sundowns watakuwa Algeria kwenye majukumu ya kitaifa

    Kuna mambo Watanzania inabidi tupevuke kwenye masuala haya ya mpira. Kumekuwa na hii kasumba ya kuwachukulia wachezaji kama mayai hivi. Yaani tunataka wacheze mechi moja kwa wiki, kabla ya mechi yoyote ya kimataifa hamtaki wagusweguswe hata kwa wiki mbili mkiogopa eti watachoka au kuumia...
  13. JamiiForums Tanzania Shirika la kitaifa la ndege la Sri Lanka limelaumu uwepo wa panya kwenye ndege kwa kusitisha safari za ndege kwa siku tatu

    Shirika la kitaifa la ndege la Sri Lanka limelaumu uwepo wa panya kwenye ndege kwa kusitisha safari za ndege kwa siku tatu. Panya huyo aliyejificha bila kupatikana kwa siku tatu, alionekana kufurahia safari ya ndege ya Srilankan Airlines Airbus A330 kutoka mji wa Lahore, nchini Pakistan siku ya...
  14. JamiiForums Tanzania Baadhi ya vituo vya Luninga hawapo kwenye maombolezo ya Kitaifa

    Watanzania tuelewane hili jambo. Msiba wa mzee Mwinyi ni wa Kitaifa kama tulivyoyangaziwa na CIC SSH. Tuliona kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu tuliona Vituo vya Televisheni wakiboleza kwa siku zile 5 za msiba. Nimepita kwenye channel ya DSTV 388 hakuna dalili wala kiashiria kwamba wapo...
  15. JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia ashiriki mazishi ya kitaifa ya Dkt. Hage Geingob

    Habari picha zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alipohudhuria mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Namibia Hayati Dkt. Hage Geingob yaliyofanyika leo, Jumamosi Februari 24.2024 kwenye uwanja wa michezo wa Uhuru uliopo jijini Windhoek...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali itangaze Umeme kuwa janga la Kitaifa

    Hi GreatThinkers Hakuna namna naweza kuelezea hili tatizo. Naitaka serikali itangaze hadharani kwamba umeme umewashi.nda. Inachukiza na kukasirisha sana kazi za billions of money zinasimama kisa umeme. Mgao wa umeme unatishia ajira za maelfu ya watanzania huku bidhaa nazo zikipanda bei...
  17. JamiiForums Tanzania Tunahitaji mjadala wa kitaifa kuhusu umri sahihi wa mtu kuitwa kijana

    Binafsi mimi ni kijana mdogo wa miaka 38 na mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi. Huu uzi umeandikwa na kijana. Pamoja na kujitambulisha ila kama kichwa cha habari kinavyosomeka imefika sehemu kama taifa tunahitaji mjadala kuhusu upi ni umri sahihi wa mtu kuendelea kuitwa kijana tofauti na hali...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Makonda anaeneza ukabila? Ni nini kinamfanya aongee kisukuma huko usukumani?

    Hii tabia ya kuongea kisukuma akiwa mikoa ya wasukuma ni hatari, ni kueneza ukabila. Kwani watanzania wengine hawana lugha yao? Kwanini wasikitumie? Samia unatengeneza bomu. Hilo jamaa halifai anapsua nchi. Kisukuma kilivyo kibaya mi ningeona aibu kukitumia tena karne hii.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan atafanya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia kuanzia tarehe 24 – 26 Januari 2024

    21 January 2024 Dkt. Samia Suluhu Hassan atafanya ziara nchini Indonesia kuanzia tarehe 24 – 26 Januari 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan atafanya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia kuanzia tarehe 24 – 26 Januari 2024, kufuatia mwaliko wa Rais wa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pamoja na UCCM wangu, CHADEMA wana hoja ya kitaifa waachwe waseme kupitia maandamano

    Hizi ni hesabu za kijinga sana kuwazuia CHADEMA kuandamana. Kwanza watazuia nini? Ni nchi ipi duniani watu hawaandamani? WanaCCM wenzangu tutambue kuwa kama Kuna jambo CHADEMA ya Mbowe imefanikiwa ni kukubalika katika jumuiya za Kimataifa. Tutakosea sana kuzuia maandamano yake tena kwa kutumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…