kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Download kitabu cha "Guidance and counselling in education institution" na ict and computer application for teachers(pdf)

    VITABU HIVI NI VIZURI KWA WALIMU, NA WANAFUNZI WANATAKA KUA WALIMU VITAWASAIDIA
  2. Mwenye kitabu Cha kunifanya niwe na mawazo chanya

    Wakuu nahisi Nina shida psychologically... Nashindwa kufanya Mambo mengi kwa sababu ya kuwaza hasi kila Mara, nahisi kama kitabu kitanisaidia zaidi kupambana na hali hii.... Kama Kuna mtu anaweza kunisaidia nitashukuru sana
  3. S

    Ni kwanini kitabu cha Henoko kilifichwa/ kiliondolewa kwenye Biblia? Je, ilikuwa ni mpango wa shetani??*

    Je, Ilikuwa ni mpango wa shetani?? 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms 0743781910 Ndugu mpendwa, watu wengi hawajui ya kuwa wakati Biblia inaandaliwa/ inakusanywa ili iwe mjumuiko wa vitabu vya pamoja, kuna vitabu vingine havikuingizwa. Na vingine viliingizwa halafu baadae vikatolewa tena...
  4. PATA KITABU CHA: KUZA UCHUMI WAKO SASA

    Hiki ndio kitabu kitakachokupa siri ya kukua kiuchumi,kibishara na mbinu za uwekezaji. Bei ya Ofa ya sasa ni Elfu Tatu(3000) badala ya Elfu kumi bei yake ya kawaida. Tunakutumia kwa njia ya WhatsApp au Email yako. YALIYOMO NDANI YA KITABU HIKI 👇👇 ✅Utangulizi ✅Yajue mambo 15 ili uanze...
  5. Kinachosubiriwa ni Kitabu cha Bibi Titi Mohamed

    https://www.facebook.com/share/r/Ddz2zfnNcBL6HWPw/?mibextid=Nif5oz
  6. B

    Wale Mliosoma Kitabu cha Poor Dady Rich Dady Miaka 10 iliyopita sasa hivi mna miliki Bilioni Ngapi ngapi?

    Si vibaya tukapeana mrejeshi ili kutoa hamasa mwa watu wengine, vijana na wenye mwelekeo wa kujikomboa kiuchumi. Miaka 10 hadi 15 iliyopita na pengine zaidi nikiwa Chuoni kulizuka utaratibu wa kujisomea vitabu ili kupata maarifa na kukuza ubongo. Pamoja na nia nzuri hiyo wasomaji wa vitabu...
  7. KITABU CHA ZABURI YA 1 - 10

    📚 KITABU CHA ZABURI YA 1 - 10 🗞Dondoo Muhimu unaposoma kitabu hiki chenye vitabu 5 ndani yake. (Kitabu cha kwanza Zaburi ya 1 - 41) 1. kipindi ukristo unapita kwenye marekebisho moja ya kitu kikubwa walichokitumia ni nyimbo Luther anasema reformation isingewezekana bila mambo mawili...
  8. Pitia hiki kitabu kisha ufanye uchambuzi kuhusu Makonda na wakuu wa dini pamoja na taasisi zao!

    Huyu mwandishi alikuwa ndani ya Vatican,kwa siri alizoziona ndani, akatoa kitabu kilichouza sana na kupata umaarufu mkubwa! Alitoa nukuu zifuatazo kama tahadhari kuhusu watu aina ya Makonda na wakuu wa dini pamoja na taasisi zao: "The most dangerous of men are those who appear very...
  9. Safari ya Miaka 60: Kitabu Cha Picha Historia ya Tanzania

    SAFARI YA MIAKA 60 NDANI YA CHAPISHO LA PICHA ZA HISTORIA YA TANZANIA Leo Maktaba imebahatika kutembelewa na mwandishi wa kujitegemea ambae ameandika na anaendelea kuandika sasa kwa miaka na magazeti maarufu ya Ulaya. Ally Sultan. Ally Sultan hakuja mikono mitupu amekuja na kitabu na jarida...
  10. Fanya haya kupata faida kwenye hisa

    Kunufaika na hisa (au uwekezaji katika soko la hisa) kunahitaji kuelewa jinsi zinavyofanya kazi na kuwekeza kwa busara. Hisa ni umiliki wa sehemu ndogo ya kampuni, na unaponunua hisa unakuwa mshirika wa kampuni hiyo. Hapa ni njia za kufaidika na hisa: 1. Faida Kutokana na Ongezeko la Thamani...
  11. Biblia kitabu cha Ajabu Sana

    Mwaka ujao nitajitahidi nifike pale Israel nikajionee jinsi Mji wa Daudi na Ushahidi wa Kihistoria na Kibiblia, gharama za kuingia kufanya ziara ni shekeli 45-60 sawa na 30,000-40,000 ya kitanzania . Hebu tuone kidogo kuhusu huu unaoitwa Mji wa Daudi Kiaikolojia na Kibiblia, Mji wa Daudi ni...
  12. G

    Chat gpt imenitimizia ndoto ya kuandika kitabu changu, sina haja ya kumlipa proof reader kusahisha makosa ya grammer / broken english

    Nilikuwa na ndoto ya muda mrefu sana ya kuandika kitabu changu cha taaluma niliyosomea, kuna somo nipo nondo vibaya mno !! Hofu yangu kubwa ilikuwa ni english kwenye mambo ya grammer, articles, prepositions, nk. Chat GPT imenipa confidence kubwa sana, nachofanya naandika kurasa moja au mbili...
  13. Waziri Aweso ashiriki Maulid ya Mtume Korogwe, nakusoma kitabu cha Maulid, Mlango wa Nne

    Waziri wa Maji na Mbunge wa Pangani, Jumaa Aweso, ameungana na waumini wa dini ya Kiislamu katika hafla ya Maulid ya Mtume iliyofanyika kijijini Kwa Mndolwa, wilayani Korogwe, mkoani Tanga. Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na Sheik Mkuu na Mufti wa Tanzania, Abubakar Zubeir, ambaye aliongoza waumini...
  14. Kitabu cha Mtu mweusi (Mwafrika)

    Habari wakuu natumai ni wazima leo nawaletea nakala hii msome ,mtafakari na mjitathmini kama waafrica wenzangu,kitabu cha BLACK BOOK OF ATUM,kinauzwa online ila nimewarahisishia ,ukiingia kwenye blog ya spevot.blogspot.com utakisoma kwa kiswahili na kingereza,na hicho ni BLACK BOOK OF ATUM II /...
  15. Nauza kitabu hiki kwa sailing 500,000/- tu soft copy!

    Kina uwezo mkubwa kupindukia hasa kwa wale watu wa treasury finder Siri nyingi duniani zimefichwa kwenye vitabu, tusome vitabu.
  16. Shetani atakapochapisha Kitabu chake, utapeli wa dini utakoma, kila lawama kwake, yeye kimya tu!

    Vitabu vya dini kubwa zote vinamtaja shetani. Na kumsema mabaya yake. Cha ajabu shetani yeye amekaa kimya tu. Nimeota muda si mrefu shetani na yeye anashusha kitabu chake mapangoni.. kama waislamu wanavyodai Quran ilivyoshushwa ama kama Musa alivyopewa amri kumi pale mlima sinai. Kitabu...
  17. Tashwishwi ya Biblia kweli ni kitabu cha Mungu?

    BAADHI YA MISTARI YA BIBLIA 2 samweli 1:18 (Kama ilivyoandikwa katika kitabu Cha YASHARI), akasema , wana wa Yuda wafundishwe haya. Yoshua 10:13 Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia, Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao. Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu...
  18. Nimepatwa na maajabu duniani baada ya kununua na kusoma kitabu fulani

    Jamani wapendwa nasumbuka usiku na mchana, mimi (naishi ulaya lakini mkenya) kuna kitabu moja nilinunua (amozon.com) nikafanya ilivyo andikwa, sio kitabu kibaya (nitapost mkione) lakini yanayo nikumba kwa sasa ni makubwa. Hio kitabu nilinunua mwezi 01. 2024. Baada ya kusoma na kufuata maagizo...
  19. Kitabu cha Enock (Henoko)

    Ukisoma kitabu cha Enoko, anasimulia kuanzia mwanzo mpaka mwisho, jinsi alivyotokewa na malaika wawili, na kama ilivyo kwa malaika wote wanapowatokea wanadamu huanza na neno “Usiogope”. Kwa nini? Ni kwa sababu malaika ana muonekano wa kutisha, kwa binadamu, huwezi kuwa kawaida tu unapomuona...
  20. U

    Ushahidi Mungu alimbariki Yakubu na kizazi chake kuwa miongoni mwa watu wema , waliokakabidhiwa ukuhani, kitabu , uongozi na neema kubwa

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeweka nukuu za aya mbili kwa lugha ya kiswahili na kiingereza kwa ajili ya rejea yenu. ✓Tulimbariki kwa Isaka kama mwana na Yakobo kama mjukuu, kama fadhila ya ziada, tukiwafanya wote kuwa waadilifu. Na tukawafanya viongozi kwa kuongoa kwa amri yetu, na tukawapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…