kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mdude Chadema amtembelea Mbatia. Ampatia kitabu chake Miaka mitano ya mateso katika harakati. Ampomgeza kupangua mapinduzi

    Huyu Mdude yupo kiharakati kila mara. Mbatia nae anasema Aluta continua. Hapa ni harakati tupu
  2. JamiiForums Tanzania Kitabu gani bora cha kimataifa/kitaifa unachosoma kwa sasa au ulichowahi kusoma?

    - Kwangu mimi kitabu Cha kimataifa ninachosoma kwa Sasa kinahusu MAGEUZI YA KISIASA NA KIUCHUMI CHINA CHINI YA DENG XIAOPING. “CHINA UNDER DENG XIAOPING POLITICAL AND ECONOMIC REFORM”.picha[emoji116] - Je wewe unasoma kitabu gani kwa Sasa au ushawahi kusoma kitabu gani.andika hapa chini pia...
  3. JamiiForums Tanzania KITABU #2.02; Successful Real Estate Investing (Kuwekeza Kwenye Majengo Kwa Mafanikio Na Robert Shemin)

    Kwenye uchambuzi unaofuata nitakuwa nakushirikisha makosa matatu (3) au zaidi kila siku. Kitabu hiki hakina sura, hivyo nitakushirikisha namba za makosa hadi kufikie kosa la 75 kwenye kitabu hiki. KOSA #01; Kutokuanza Kuwekeza Mapema Kwenye Ardhi Na Majengo. Hili ni kosa kubwa sana ambalo...
  4. JamiiForums Tanzania Kitabu cha lawama kwenda kwa Mwendazake Kifungwe sasa. Kiongozi yeyote atakayelaumu tena afunguliwe mashitaka

    Wana JF Kumekuwa na lundo la viongozi wakitoa lawama nyingi kuzielekeza kwa mwendambinguni ikiwa ni sehemu ya kukwepea majukumu waliopewa wakashindwa kuyatimiza kwa wakati. Kwa sasa kila kukicha tunapata lawama mpya , jambo baya sana tangu JPM aondoke duniani yapata mwaka na miezi, hawa jamaa...
  5. JamiiForums Tanzania Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

    Wakuu 'The clinic' walikutana wakiwa wanne. Recrato, Logasto na Financo walikuwa ndio wajumbe. Upande wa pili alikuwa amekaa Director akiongoza. Alianza kuwaambia majukumu yao, "miaka miwili ijayo sitaendelea tena, mnatakiwa kusimamia ogani." Ingawa haipo, itahakikisha kwamba hakuna...
  6. JamiiForums Tanzania Muungano na Kitabu cha Watoto Kuhusu Zanzibar: The School Trip to Zanzibar

  7. M

    JamiiForums Tanzania Huku Kwetu Tanzania tuna Maprofesa Vyuo Vikuu hata Kuandika tu Kitabu cha Kurasa 10 wameshindwa, ila wanachojua ni Kujimwambafai tu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, amezungumza na kusaini kitabu cha Mtoto wa Kitanzania Ada Marie Kemilembe (9) mkazi wa Columbia, Maryland, alipokutana nae Jijini Washington DC Nchini Marekani. Taarifa: Ikulu Tanzania Asikudanganye Mtu ukizaliwa au kuishi...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Muungano

    Leo Serikali ya JMT imezindua kitabu chenye historia mpya ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kitabu hicho pia kimeeleza chimbuko la vuguvugu la kudai Uhuru wa nchi hizo tangu miaka ya 1920s Bila shaka Mzee wetu Mohamed Said ameshiriki ipasavyo. Hatutegemei kusikia malalamiko ya kupindishwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kama utahitaji hardcopy ya tafsiri ya kitabu The richest man in Babylon nicheki

    Ni Pm au mcheki huyu jamaa whatsapp. 0759522257 Pia kuna hizi softcopies. Kwa Tsh 2,000 hadi 4,000 utapata softcopies za vitabu hivi. Whatsapp namba 0759522257. Pia kuna bonasi ya vitabu kama nane. Hardcopy ipo ya Tajiri wa Babeli(12,000). List ya vitabu vyote. ORODHA YA VITABU NA BEI...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kitabu kinachoitwa "Why has Nobody Told me this Before"

    Habarini wanajukwaa, nina imani kila mtu ni buheri wa afya. Ninaomba kama kuna mtu anaeweza kuwa na pdf file ya kitabu cha "WHY HAS NOBODY TOLD ME THIS BEFORE - Dr. Julie Smith" anisaidie. Hata kama ni link ya kuweza kukidownload pia ni sawa. Natanguliza shukrani. Mbarikiwe sana.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye Nakala za Vitabu Cha Historia alivyo andaa Magufuli na Ndalichako!

    Waungwana niwatakie jumapiki njema! Mimi ni mojawapo ya waliokuwa wanasubiri Kwa shaukukubwa Vitabu vioya vya Historian alivyoekeza Mh.MAgufuli viandikwe...! Najua vilikuwa kwenye hatua ya mwishi! Naomba mwenye nacho hata kimoja yuone hiyo Historia moya ilikuwaje!
  12. JamiiForums Tanzania Kitabu cha Khamis Abdulla Ameir kipo tayari

    KITABU CHA KHAMIS ABDULLA AMEIR KIPO TAYARI Rafiki yangu mmoja katika uongozi wa juu Zanzibar na aliyeshuhudia yote yaliyotokea kabla na baada ya mapinduzi alipata kuniambia kuwa ili kuielewa historia ya Zanzibar inataka mtu apinde mgongo kuisoma. Akaendelea kusema na ubongo wako ufungue uwe...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja Na Samia: Tumuombee andike kitabu chake

    "Rais Mwinyi aliwahi kusema, kila zama na kitabu chake. Tumuombee Rais Samia Suluhu aandike kitabu chake, kurasa 365 amezimaliza, tunaamini ataendelea vizuri", - Nape Nnauye, Waziri wa Habari #MamaYukoKazini #mwakammojawamama
  14. JamiiForums Tanzania Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

    Leo ni Maadhimisho ya Mwaka mmoja tangu Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli atukote. Maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Geita katika wilaya ya Chato. Maadhimisho hayo yatahudhuriwa na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia suluhu, Makamu wa Rais Dkt. Isdori Mpango...
  15. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za Balozi Mwapachu: Kitabu Kipya

    KUMBUKUMBU ZA BALOZI JUMA MWAPACHU Balozi Juma V. Mwapachu amechapa kumbukumbu zake.
  16. JamiiForums Tanzania Kitabu cha ''wanawake wa nguvu'' kimezinduliwa

    KITABU CHA ''WANAWAKE WA NGUVU'' KIMEZINDULIWA ''KATIKA kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, wakurugenzi mbalimbali wanawake nchini wameungana na kuzindua Jukwaa la Pamoja la Wakurugenzi Wanawake wa Asasi za Kiraia. Jukwaa hilo linalenga kuwa na sauti za pamoja katika kusimamia haki za...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Mfahamu kwa Picha Ndyanabo Balidisya mtunzi wa kitabu Cha Shida na Dadake na Mwanamuziki Patrick Balidisya

    Mungu azidi kumrehemu yeye na kakake Alikuwa mtunzi na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaamf
  18. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali atunga kitabu kuhusu Mateso na unyama aliofanyiwa kwenye Utawala wa Awamu ya 5, kuzinduliwa Machi 5, 2022

    Kama ungependa kufahamu namna awamu ya 5 ilivyosigina HAKI ZA BINADAMU nchini Tanzania, basi hutakiwi kukosa nakala ya kitabu kilichotungwa na Mhanga namba 5 wa Utawala ule aitwaye Mdude Nyagali, ndani ya kitabu hicho mmefunuliwa kila unyama na uchafu wote uliofanywa katika kusigina katiba ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Alfu Lela Ulela au Siku Elfu na Moja - Kitabu cha Pili

    Baada ya kitabu cha nne, sasa tuone kitabu cha pili. Fuatana nami hadi kitakapoisha, pia hivi vyote na vingine vingi unaweza kuvisoma bure ndani ya maktaba app. MAZUNGUMZO YA ALFU LELA ULELA AU SIKU ELFU NA MOJA KIMEFASIRIWA KWA KISWAHILI NA EDWIN W. BRENN KITABU CHA PILI YALIYOMO...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba utushirikishe mbinu wanazoweza kutumia waliojiriwa kumiliki nyumba ya kwanza

    Habari, Naitwa Aliko Musa. Ninaishi mkoani Mbeya. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi kuhusu uwekezaji katika ardhi na majengo. Mejesho kutoka kwa wasomaji wa makala zangu kwenye mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG umeonyesha wengi hushindwa kumiliki ya kwanza kutokana na sababu mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…