kitaalamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume ingia kwenye mahusiano kitaalamu

    Kabla mwanamke hajakukubalia tambua ya kwamba ashapiga hesabu zake na kujua atanufaika vipi kupitia wewe iwe kwa sasa au uko mbeleni. Ni wanaume wajinga ndio huwa wanaingia katika mahusiano bila malengo. Ndio maana wanaume hawa huwa wanaishia kutumika na wanawake kwa malengo binafsi, kwa...
  2. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Ndugu wa mke kuja nyumbani kwangu bila mimi kujulishwa imekaa kitaalamu kweli hii kitu?

    Habari zenu watu wa mapenzi. Iko hivi,kwanza naomba kudiclea interest mimi sio mchoyo wala sina chembe za uchoyo kama ambavyo wengi wenu mngeweza kudhani. Naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi,so tarehe za mwisho wa mwezi kama hizi huwa natoroka kuja kuwasalimia siku kadhaa then...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Yanga SC jana waliingia uwanjani na wachezaji wa nne kwenye basi lao lakini timu nzima ikaingia na coaster, kitaalamu imekaaje?

    Katika mchezo wa jana wa ngao ya jamii kati ya Yanga SC na Simba SC wakati timu zote zina wasili uwanjani. Yanga waliwasili na Wachezaji wa nne pekee kwenye basi lao kubwa na wachezaji wengine na benchi la ufundi waliwasili na costa. Wanasoka kitaalamu imekaaje hii?
  4. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Baada ya Simba Day na Yanga Day Kutamatika, Ni Zamu ya Watani Kukutana – Uchambuzi wa Kitaalamu na Utabili wa Matokeo

    Baada ya Simba Day na Yanga Day kutamatika, sasa ni zamu ya watani wa jadi kukutana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 8 Agosti 2024. Mechi hii itakuwa ya kuvutia sana kwa sababu ya historia na ushindani mkali baina ya timu hizi mbili kubwa za Tanzania. Chanzo: Mitandaoni Timu ya Simba SC...
  5. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Wasomali wameungana dunia nzima kupinga Ethiopia wasipewe bandari walini Rasi wao kawapa uturuki pwani nzima ya somali??Hiii Kitaalamu ni akili gani??

    Coast ya Somalia kwasasa inamilikiwa na uturuki!! Lakini huwezi wakutaka wakiongea. Ila nguvu zote wameelekeza kwa somaliland ambayo imempa kipisi tu Ethiopia ijenge Bandari!! Ni chuki au Akili ya kufirikir ndo tatizo
  6. Ketoka

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anaachika kutoka kwa mume wake kisa mchepuko halafu anaenda kuambukizwa HIV kitaalamu tunaitaje?

    Baada ya mwanamke kujua/ kufahamu mume wake anachepuka na kidada fulani jirani,mwanamke anaachika huku akidai hawezi kuvumilia mwanaume amletee magonjwa ya zinaa na UKIMWI Akiwa huko anakutana na mwanaume mwingine na kukubali kuolewa naye na kupachikwa ujauzito na siku ya clinic anaambiwa ana...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hili suala la vocha kupanda bei limekaaje kitaalamu?

    Habari wanajamvi, Nisiuchoshe mkono kuandika mengi ilihali mnajua Hali halisi, hivi juzi nmetoka makambako vocha zmepanda bei kutoka mia tano hadi mia 6 yaani kimahesabu vocha zimepanda bei kwa asilimia 20, This is daylight robbery and no one care. Nikahisi labda Umakambako unansumbua aka...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Hivi kitaalamu ipo vipi kuhusu madalali kuchukua pesa ya mwezi mmoja ya kodi

    Hivi kitaalamu ipo vipi kuhusu madalali kuchukua pesa ya mwezi mmoja ya kodi
  9. 100 others

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna maelezo yeyote ya kitaalamu yaliyotolewa na mamlaka husika juu ya changamoto ya mtandao

    Ni takribani siku kadhaa sasa tangu internet nchini imekuwa na changamoto. Hadi sasa tunachofahamishwa ni kwamba kuna nyaya huko baharini zimeleta hitilafu, hilo ndilo kila mmoja nchini utasikia akisema, sasa najiuliza na huu mtandao ulivyo chini ina maana kuna nyaya zilibaki ndizo zinaleta...
  10. Bueno

    JamiiForums Tanzania Kitaalamu hii tunaitaje?

    Hii tunaitaje kitaalamu zaidi?
  11. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa mawazo kitaalamu

    Wandugu naomba msaada wenu nifanyeje. Kuna mtu nilikuwa na mahusiano naye awali lakini nimeyakata kwa sababu binafsi kutokana na tabia yake hanidai chochote na wala sijawahi kumtegemea kwa chochote maana najiweza vizuri tu ila kiukweli yeye ndio ananitegemea zaidi. Sasa amekuwa akininyima raha...
  12. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kitaalamu

    Wandugu naomba msaada wenu nifanyeje. Kuna mtu nilikuwa na mahusiano naye awali lakini nimeyakata kwa sababu binafsi kutokana na tabia yake hanidai chochote na wala sijawahi kumtegemea kwa chochote maana najiweza vizuri tu ila kiukweli yeye ndio ananitegemea zaidi. Sasa amekuwa akininyima raha...
  13. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Tumekuwekea hapa namna magonjwa mbalimbali yanavyo ibuka kitaalamu kutokana na Obesity

    Mafuta ya ziada kwenye tumbo (Obesity) husababisha mshipa unaoleta damu ndani ya ini (Portal vein) kujaa mafuta ya asidi yasiyo na kazi (free fatty acids), na kuongeza mkusanyiko wa mafuta kwenye ini. Mafuta pia hujilimbikiza kwenye seli za misuli. Ambapo sasa kunaanzishwa ukinzani dhidi ya...
  14. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania KWELI Déjà Vu inaweza kutengenezwa kwa njia za kitaalam

    Hivi ni kweli kuwa teknolojia ya electroneurone inaweza kupangiliwa kwa vifaa maalumu ili kumfanya mtu kuhisi amewahi kuwa sehemu hiyo kabla, na watu wale wale huku akizungumza maneno yaleyale? (Déjà vu)
  15. Koffi Annan

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kitaalamu: Alimeza P2 ila kashika mimba

    Nilitembea na girlfriend wangu siku ya 14 akameza dawa baada ya masaa 24 means jioni ya siku iliyofuata baada ya kulala nae na baada ya kumeza dawa that night nililala nae tena nikijua ile dawa bado inafanya kazi ila ameshika mimba. Sasa kwa upande wangu iyo mimba sio tatizo ila nawaza huenda...
  16. PAGAN

    JamiiForums Tanzania Bus zuri lakini barabara chafu

  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Haya mabehewa TRC Wamezitolea ufafanuzi wa Kitaalamu kabisa

    Ukiangalia haya ni kama yale ambayo huwa yanauzwa kupatana.com au zoomtanzania. Sijui lakini. Au kikuu.com Naamini ukiwa mzoefu wa ku tafuta tafuta vitu kwenye mtandao utayakuta used hapa bongo au nchi za wenzetu. Haya mabehewa utaambiwa hayajawahi pata ajali na pia aliyekuwa anayatumia ni...
  18. balimar

    JamiiForums Tanzania Mjadala Kama wa Kitaalamu lakini hauna Utaalamu

    Ukisikiliza hoja hapa unaweza ukachoka mwenyewe Yaan hoja hapa ni "wastani" na uhalali wale wa kutumika kwenye data zote (generalisation) Maana yake uchukue wastani wa JUMLA iliyogawanya kwa idadi ya items kadhaa halafu huo wastani unautaja kwa kila item inahitaji akili za kihisabati tu...
  19. Singasinga

    JamiiForums Tanzania Hii kitaalamu imekaaje?

    Habari wakuu, Hivi mwanamke akishakiri wazi yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine hata kama unahisia za upendo juu yake na bado akaendelea kukuganda na kukulaumu kwamba haumtafuti au unachelewa kujibu msg zake whatsapp na anakuona online. Kipi sahihi cha kufanya? Ingawa mimi ndo nilimshawishi...
  20. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Kitaalamu ( kiafya ) inaweza kuwa na shida?

    Tunafahamu undugu wa watu huunganishwa kwa dam ( genetics ). Je ikitokea mtu kachangiwa damu na watu ambao sio familia moja na ikitokea wakapendana tuseme aliyechangiwa damu ( me ) na mtoto wa mchanga damu (ke) na wakafanya mapenzi, je kunaweza kuwa na shida juu ya mtoto atakayezaliwa na kiimani...
Back
Top Bottom