kitaalamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kufanya na mazoezi ya kupunguza tumbo immediately baada ya kumaliza zoezi la kifua?

    Habari zenu wana jf, Nilikuwa nahitaji nipatiwe elimu kidogo juu ya suala hili., Kama unafanya mazoezi ya kifua ukiwa nyumbani yan home workout, je unaweza kufanya na mazoezi ya kupunguza tumbo immediately baada ya kumaliza zoezi la kifua au utakuwa unaharibu utaratibu. Naomba kuwasilisha
  2. Counterbook

    JamiiForums Tanzania Unapiga 'gym' na usiku unakojoa kwenye kopo kitaalamu hii tunaitaje?

    Salama, upo au ndio ivo tena umeme huu bora kibatari. Sasa ni hivi kama ilivyo nadra kwa kanali kuogopa kinyonga, una kitambi unaogopa mende, una Nissan Murano, range halafu umepanga kirahisi tu hakuna usawa hapa kama si mizimu basi bombonya fulani by default. Kijana gym sana, kifua kikubwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Kitaalamu kuhusu solar

    Habarini, Nimenunua solar watt 40 sasa nataka kununua betri na chager controller. Naomba ushauri wa kitaalamu kwa anaefahamu hapo natakiwa kununua betri yenye ukubwa gani na hiyo chager controller yenye ukubwa gani ambavyo vitaendana na ukubwa wa hyo solar watt40?
  4. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtandao maarufu wa WhatsApp GB hii kitu kitaalamu inakaaje

    Habari za Xmas niende Moja kwa Moja kwenye mada. Majuzi nilijiunga na mtandao huu. Hapo nyuma nikiwa natumia WhatsApp ya kawaida sikuona hizi mambo....kwa namna WhatsApp GB ilivyo ukiwa online nakuona na ninaambiwa kabisa XY is online. Na mengine mengi.
  5. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Ijue pombe na Hangover kitaalamu

    By: Pharm Michael Y. Bajile Kwa lugha za kikemikali pombe ni organic compound iliyo na mchanganyiko wa kemikali za Carbon, hydrogen na oxygen (ROH). Pia ipo kwenye familia moja kikemikali na mafuta (Cholestrol) na wanga (Carbohydrates). NINI HUTOKEA MWILINI MTU ANAPOKUNYWA POMBE? Asilimia 10...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huu mgawanyo wa Kimajukumu wa hawa Viongozi Waandamizi wa Yanga SC Kitaalamu unaitwaje?

    Yanga SC ikiwa inafanya vyema Wazungumzaji Wakuu ni 1. Injinia Hersi Said 2. Haji Manara 3. Mshindo Msolla Yanga SC ikiwa inafanya vibaya Wazungumzaji Wakuu ni 1. Haji Mfikirwa 2. Hassan Bumbuli 3. Haji Mfikirwa Nitashukuru mkinijibu ili nijifunze zaidi.
  7. Ritchy Breezy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kitaalamu imekaaje?

    Habari wana JF Nina changamoto moja katika via vyangu vya uzazi, uume wangu ni mdogo sana unakua ka wa mtoto hasa kukiwa na baridi au nkitoka kuoga ila ukisimama unakuwa vizuri tu nilishaga wahi kuupima siku 1 nikapata inchi 6.2 urefu. Changamoto inakuja pale napokua na bibie halafu aombe...
  8. Kamakabuzi

    JamiiForums Tanzania Jedwali la kodi za PAYE 2022 si la kitaalam

    Nimedownload hilo jedwali (INCOME TAX TABLES 2122) kwa link hii Tanzania Revenue Authority - Tax Tables na nimegundua lina mapungufu kadhaa, Kuna mahali ukiweka mshahara kodi inakuja hasi (negative). Na hii imesababishwa na mtengeneza jedwali kutotumia formula inayojumuisha kila tax bracket...
  9. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania CWT kupinga uanzishwaji wa bodi ya kitaalamu ya walimu.

    Bila shaka mpo salama wanajukwaa. Hivi karibuni katibu wa Chama cha Walimu wilayani kwetu amezunguka kwenye shule za hapa wilayani.amekuwa akipinga uanzishwaji wa bodi ya walimu, nijuavyo mimi CWT ndio inaongoza kumnyonya mwalimu. Kuna lipi la muhimu kwa mwalimu hadi cwt ijifanye inamtetea...
  10. Bwana Fulani

    JamiiForums Tanzania Hii tunaiitaje kitaalamu?

    Karibuni
  11. K

    JamiiForums Tanzania Yajue maajabu ya tende mwezi mtukufu wa Ramadhan

    Kitaalamu chakula unachokula leo ndio kinaamua hali ya afya yako kwa siku za usoni. Na ni muhimu sana kuzingatia ulaji bora wa chakula na si kula ilimradi umekula. Wataalamu wa lishe wanatuambia kuwa ulaji unaofaa hutokana na kula chakula mchanganyiko kulingana na wakati. Lakini hata ulaji huo...
Back
Top Bottom