kitaalamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Je kuna madhara gani kufanya mapenzi na mtu aliye hedhi/period? Je Kitaalamu na Kiimani

    Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza. Sababu mara 4 nshawahi chuja nafaka of course nlivaa mpira maana nliona imenijia nafasi siwezi iacha nikala mzigo hivyo hivyo. Je kwa imani ya dini zetu na kiafya imekaaje? Mkumbuke zamani walikuwa hawana condoms.
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Jinsi B-2 Spirit (Stealth Bomber) kitaalamu inavyoweza ipasua Fordow ya Iran

    Kwa uwezo wa kijeshi na teknolojia ya kisasa, ndege ya kivita ya Marekani aina ya B-2 Spirit (stealth bomber) inaweza kuharibu kituo cha nyuklia cha Iran cha Fordow (au Fordo Fuel Enrichment Plant – FFEP) KIUWEZO, lakini utekelezaji wake ungehitaji maandalizi ya hali ya juu na ungeambatana na...
  3. Principle girl

    JamiiForums Tanzania Kitaalamu hii inaitwaje?

    Unamdai mtu pesa yako ulimkopesha mwezi umepita hajalipa anatoa tu ahadi cha ajabu anakuja tena kujieleza shida anataka umkope tena pesa.
  4. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Kitaalamu: Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kuagiza Bidhaa Kutoka China Kupitia Alibaba

    WanaJF nawasalimu kwa heshima na taadhima. Katika zama hizi za biashara ya kidigitali na mitandao, wengi wetu tumekuwa tukivutiwa na fursa ya kuagiza bidhaa moja kwa moja kutoka nje ya nchi ili kupanua biashara au kuanzisha miradi mipya ya kiuchumi. Mojawapo ya majukwaa maarufu duniani...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kati ya Smartphone na Featurephone ile ni rahisi kuhack zaidi. Huu ndo ukweli kitaalamu

    Kati ya feature phone na smartphone, smartphone ndiyo rahisi zaidi kuhackiwa, na hii ni kwa sababu zifuatazo: 1. Muunganiko na intaneti Smartphone inaunganishwa mara kwa mara na intaneti (Wi-Fi, data), na hivyo kuifanya iwe rahisi kushambuliwa kwa njia ya mtandao. Feature phone nyingi hazina...
  6. Mind stone

    JamiiForums Tanzania UZI WA TIBA: Magonjwa Yanayodhoofisha Mwili na Akili – Tishio la Kimya Tunalopaswa Kulielewa Kitaalamu

    Habari zenu wanajukwaa wenzangu, Natumaini wote mko salama kabisa. Nawasalimu kwa heshima kuu kutoka kwa mtu wa taaluma ya afya – warm medical greetings to you all from a health-conscious professional. Leo nimeona nilete mjadala wa kina kuhusu magonjwa hatari ambayo huathiri mfumo wa mwili...
  7. R

    JamiiForums Tanzania TMA kitaalamu hii mnaielezeaje

    Mfano, sasa hivi mvua zinanyesha almost mkoa mzima wa Tanga Lakini Tanga Jiji mvua ni za kubabia, ie ndogo sana kulinganisha na maeneo yanayozunguka Jiji. Kitaalamu inasababishwa na nini?
  8. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania HUDUMA ZA BILA MIPAKA-TUNAKUFIKIA POPOTE ULIPO TANZANIA

    Tuanze kwa kuwashukuru makampuni(Companies), Ubia (Partnerships), Biashara binafsi(Sole proprietors) na Taasisi zisizo za kiabishara (Not for profit entities) kwa kutupa fursa na ushirikiano wa kufanya kazi, tunawahakishia siku zote tutafanya kazi kwa uaminifu na kitaalamu ili kuhakisha ustawi...
  9. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania Je, unatafuta ushauri wa biashara? Moms consulting iko tayari kukuhudumia

    Moms consulting, tunafurahi kuwahudumia na kuwakaribisha kwa huduma zetu za Uhasibu(Accountancy), Kodi(Tax), Ukaguzi(Audit), Uwezeshaji wa Biashara (Business facilitation), ufuataji wa sheria za Biashara(Business compliance), Kuanzisha Biashara na taasisi zisizo za kifaida (Business and Not for...
  10. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania Ofa kwa wanaotaka kufungua kampuni na wanaomiliki kampuni au biashara ya aina yoyote

    Kampuni ya Moms Consulting imeamua kurudisha kwenye jamii kwa kutoa ofa eneo la usajili wa makampuni na biashara(Company and Business name registration) na Ushauri wa kodi(Tax consultancy),kuanzia 22-02-2025 hadi 31-03-2025 kwa kuzingatia vigezo na mashariti ya ofa kama ifutavyo: 1.Kwa wateja...
  11. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania Anza Safari Yako ya Mafanikio– Pata Ushauri wa Kitaalamu Sasa!

    Karibu kwenye huduma zetu za kitaalamu kwenye nyanja mbalimbali za biashara, ambapo tunakupa mwongozo kamili na urahisi wa kufanikisha mahitaji yako ya kibiashara. Kwa njia ya haraka na ya kuaminika, tunakusudia kukuwezesha kufanya biashara rasmi kwa kuzingatia taratibu, sheria na miongozo...
  12. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania Anza Safari Yako ya Mafanikio– Pata Ushauri wa Kitaalamu Sasa!

    Karibu kwenye huduma zetu za kitaalamu kwenye nyanja mbalimbali za biashara, ambapo tunakupa mwongozo kamili na urahisi wa kufanikisha mahitaji yako ya kibiashara. Kwa njia ya haraka na ya kuaminika, tunakusudia kukuwezesha kufanya biashara rasmi kwa kuzingatia taratibu, sheria na miongozo...
  13. aise

    JamiiForums Tanzania Yamekosekana maelezo ya kitaalamu na uhakika kuhusu hiki Chuma ambacho kimedondoka huko Kenya?

    Habari zenu wakuu. Kuna hiki Chuma kimedondoka kaunti ya Makueni huko Kenya. Mashuhuda wanasema kilikuwa na mshindo mithili ya Radi. Kuna maelezo yoyote ya kitaalamu yametolewa?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kimhemko na kisiasa Makonda yupo sahihi; kitaalamu Mchengerwa Yuko sahihi zaidi!

    Usahihi wa Makonda; Inaweza ikaamsha watendaji kuwahi majukumu yao kwa haraka na kwa wakati.........si mbaya. Usahihi wa Mchengerwa; Desturi hii ikiingia katika akili na damu za watu wetu, ambao wengi wao uelewa wao ni mdogo sana na ambao huchagizwa na mihemko ya kisiasa au kikanda na kikabila...
  15. X

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

    Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume. Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single...
  16. DLc

    JamiiForums Tanzania FIBROIDS (uvimbe kwenye kizazi)

    Epuka kutumia mitishamba yenye athari kali bila ushauri wa kitaalamu. Tumia kwa kiwango kilichopendekezwa, kwani matumizi kupita kiasi yanaweza kusababisha madhara mengine. Hakikisha kupata ushauri wa daktari kwa sababu baadhi ya mitishamba inaweza kuathiri dawa unazotumia au hali yako ya...
  17. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania Mwambie mwenzio: Nina toa uduma za Kitaalamu kwa Mafanikio ya Miradi ya Ufugaji Samaki

    Habari Wakuu! Ufugaji wa samaki ni utamaduni/maarifa mapya hivyo watu wengi wanastruggle sana kupata taarifa sahihi juu ya njia bora ya kufanya ufugaji wa samaki kibiashara Mimi ni mtaalamu wa ufugaji wa samaki ninatoa huduma zifuatazo ambazo ili kusaidia jamii kukuza uelewa na mwisho kufikia...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri katika miradi ni kama ushauri katika maeneo mengine ya kitaalamu

    Kuna wakati inatupasa kuendelea kujifunza na kuhimizana kuhusu USHAURI KITAALAMU. Katika jamii ya Watanzania na duniani kote, kuna watu wamejikita katika weledi na pia wenye vipaji fulani. Wengine wana elimu ndogo, za kati, na za juu. Ni wachache wasio na elimu rasmi, ila wana ujuzi na uzoefu...
  19. Magical power

    JamiiForums Tanzania Hii inaitwaje kitaalamu 😁

    Hii inaitwaje kitaalamu 😁
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Weka hapa uchambuzi wa kitaalamu kuhusu ligi yetu.

    Nimeona Kuna haja wakati mwingine kuweka ushabiki pembeni na tuichambue ligi yetu kiweledi na kitaalam. Kwa mfano mara nyingi ni watu wachache sana hutueleza ni Kwa nini wanasema timu Fulani ni dhaifu ama imara. Wachambuzi kama Ramadhani mbwaduke huleta ladha ya uchambuzi Kwa kuwa hutumia...
Back
Top Bottom