Haya mashirika inatakiwa yaendeshwe na mtu mwenye taaluma hata ya Utawala upande wa IT na sio mwana siasa. Sasa TTCL kwanini nyie kila Jpili mnazima Internet mpaka Jtatu mchana ?
Hii huduma raia na walipa kodi wanalipia hamkupaswa kuzima au kupangia mtu atumieje maana ni pesa zake mwenyewe...
Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu?
Jibu sahihi ni 𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗟𝗶𝗺𝗶𝘁𝗲𝗱 (𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗖𝗹𝗲𝗮𝗻𝗶𝗻𝗴 𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲𝘀) — kampuni iliyosajiliwa kisheria chini ya Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Karibu ujipatie huduma bora na zinazotegemewa.
Pata Website yako ndani ya SIKU 3 TU!
Natoa huduma ya Website Design kwa bei nafuu na ya uhakika:
GHARAMA: Tsh 300,000 TU
Bei hii inajumuisha:
Kutengeneza website kamili
Hosting (Kuweka website online)
Usajili wa Domain Name (Jina la website yako)
Professional Emails 5 zinazoendana na...
Je, unahitaji Huduma ya Usafi wa Kitaalamu?
Je, unajua kuwa wadudu waliyojificha nyumbani na madoa sugu kwenye tiles zako zinasafishika kabisa kwa njia za kitaalamu?
🏠✨ Tunatoa Professional Cleaning ya kiwango cha juu
✔ Kuondoa uchafu sugu na madoa ya tiles
✔ Kudhibiti na kuondoa wadudu
✔...
Je, unahitaji Huduma ya Usafi wa Kitaalamu?
Je, unajua kuwa wadudu waliyojificha nyumbani na madoa sugu kwenye tiles zako zinasafishika kabisa kwa njia za kitaalamu?
🏠✨ Tunatoa Professional Cleaning ya kiwango cha juu
✔ Kuondoa uchafu sugu na madoa ya tiles
✔ Kudhibiti na kuondoa wadudu
✔...
Je, unahitaji Huduma ya Usafi wa Kitaalamu?
Je, unajua kuwa wadudu waliyojificha nyumbani na madoa sugu kwenye tiles zako zinasafishika kabisa kwa njia za kitaalamu?
🏠✨ Tunatoa Professional Cleaning ya kiwango cha juu
✔ Kuondoa uchafu sugu na madoa ya tiles
✔ Kudhibiti na kuondoa wadudu
✔...
Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu?
Jibu sahihi ni 𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗟𝗶𝗺𝗶𝘁𝗲𝗱 (𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗖𝗹𝗲𝗮𝗻𝗶𝗻𝗴 𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲𝘀) — kampuni iliyosajiliwa kisheria chini ya Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Karibu ujipatie huduma bora na zinazotegemewa.
Tanzania ilipitia kipindi ambapo internet haikuweza kufunguka vizuri, jambo lililochangia kuchanganyikiwa kwa watumiaji wengi.
Utafiti na uchambuzi wangu wa kitaalamu kabla na baada ya kufungwa na kurudishwa kwa mtandao nimebaini kwamba tatizo halikuhusiana na kuzimwa kabisa kwa mtandao, bali...
Mko poa?
Iko hivi . Huwa najisikia amani sana nikikabeba katoto kachanga. Au nisikie kile kisauti cha kulia cha mtoto mchanga. Huwa najisikia raha na amani fulani hivi moyoni. Hii wadau mmewahi ku experience au ndio dalili za kuitwa baba?..
Na Dem hata sina .
Kwa ufupi sana.
Simba wamemkosa Feisal pendekezo la kocha Fadlu, lakini pia uwezekano wa kumpata Allan Okello ni mgumu.
Fadlu ameonesha bado anahitaji mchezji wa kuamua mechi kubwa na kutengeneza nafasi ndani ya 18.
Clatous Chota Chama bado anao uwezo wa kufanya mambo makubwa pale simba...
Nacheka kwa uchungu
Embu wanaume tuongee hapa, una kitu umekiona umekitaman na unaona kabisa kitakufaa ama kitaifaa familia yako, na zaidi una shida nacho sana na pengine unamudu garama kabisa kukipata
Ila unamshirikisha mkeo/mwanamke wako /songea tuishi wote, anakataa, na wewe unakubali...
Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza. Sababu mara 4 nshawahi chuja nafaka of course nlivaa mpira maana nliona imenijia nafasi siwezi iacha nikala mzigo hivyo hivyo. Je kwa imani ya dini zetu na kiafya imekaaje?
Mkumbuke zamani walikuwa hawana condoms.
Kwa uwezo wa kijeshi na teknolojia ya kisasa, ndege ya kivita ya Marekani aina ya B-2 Spirit (stealth bomber) inaweza kuharibu kituo cha nyuklia cha Iran cha Fordow (au Fordo Fuel Enrichment Plant – FFEP) KIUWEZO, lakini utekelezaji wake ungehitaji maandalizi ya hali ya juu na ungeambatana na...
WanaJF nawasalimu kwa heshima na taadhima.
Katika zama hizi za biashara ya kidigitali na mitandao, wengi wetu tumekuwa tukivutiwa na fursa ya kuagiza bidhaa moja kwa moja kutoka nje ya nchi ili kupanua biashara au kuanzisha miradi mipya ya kiuchumi. Mojawapo ya majukwaa maarufu duniani...
Kati ya feature phone na smartphone, smartphone ndiyo rahisi zaidi kuhackiwa, na hii ni kwa sababu zifuatazo:
1. Muunganiko na intaneti
Smartphone inaunganishwa mara kwa mara na intaneti (Wi-Fi, data), na hivyo kuifanya iwe rahisi kushambuliwa kwa njia ya mtandao.
Feature phone nyingi hazina...
Habari zenu wanajukwaa wenzangu,
Natumaini wote mko salama kabisa. Nawasalimu kwa heshima kuu kutoka kwa mtu wa taaluma ya afya – warm medical greetings to you all from a health-conscious professional.
Leo nimeona nilete mjadala wa kina kuhusu magonjwa hatari ambayo huathiri mfumo wa mwili...
Mfano, sasa hivi mvua zinanyesha almost mkoa mzima wa Tanga
Lakini Tanga Jiji mvua ni za kubabia, ie ndogo sana kulinganisha na maeneo yanayozunguka Jiji. Kitaalamu inasababishwa na nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.