kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Is there any political instability in Tanzania? Kuna mgogoro wa kisiasa au hakuna?

    Straightly forward, kuna mgogoro wa kisiasa nchini au hakuna? Kama kuna migogoro ya kisiasa tinajengaje uchumi wa nchi? Umewahi kuona wapi inawezekana hiyo? Kama hakuna mgogoro wa kisiasa ni kwanini kiongozi wa Chama kikuu cha upinzani nchini yupo ndani hadi sasa? Ni kwanini wanachama wake...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni dhahiri mmeumia kisiasa ila hakuna budi mnatakiwa kuunga juhudi. Mkijitenga mtaumia zaidi

    Mtafanya nini zaidi ya kuacha mafarakano? Maana taifa lina hitaji amani na mshikamano. Sheria imefuata mkondo, mwamba yupo mahabusu. Hapa ni kusubiri sheria ifuate mkondo. Hakuna haja ya kuwa na vinyongo, ungeni juhudi ili taifa lipate maendeleo. Hii ina maanisha kuwa mkubali matokeo na kuacha...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe Askofu Gwajima anaweza kuanzisha chama cha siasa na kikawa na nguvu kuliko CHADEMA

    Askofu Gwajima siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwaaminishia watanzania kuwa yeye si mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na wachumia tumbo hata kama yupo chama cha CCM , ana uwezo wa kumpinga Mwenyekiti wake pamoja na viongozi wote wa CCM kama sehemu ya misimamo yake pamoja na imani yake. Nguvu hii...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, wale wenye dhamana za Kisiasa na Kiutawala mmeshajiuliza ni kwanini baadhi yenu mkipata ajali na kunusurika watu hufurahi na hata kutaka mfe tu?

    Kwa lugha nyepesi tu au kwa maana nyingine hapa nasema kuwa tujitahidi mno kabla hatujateuliwa nafasi yoyote au hata tukiteuliwa tu tuache Kuwatendea mabaya Watu kwani Mungu aliyekuumba Wewe ndiyo huyo huyo kawaumba na Wao. Kuna mahala fulani hivi nimemuona Israeli kama vile anataka Kuondoka na...
  5. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Rais Samia kuhusu demokrasia ya kisiasa, fujo za kisiasa na fujo za kidini: Tutaelewana tu!

    Msimamo wa Rais Samia kuhusu demokrasia ya kisiasa, fujo za kisiasa na fujo za kidini ni wa kujadiliwa kwa kina kusudi watu wengi wauelewe na kuukubali. Tayari kuna maoni kadhaa yametolewa tangu alipofanya mahojiano yake na BBC, na kuuweka bayana. Kuna maoni ya Askofu Bagonza, Kauli za...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Fujo za kisiasa ni zipi?

    Watanzania wengi wanachanganywa sana na wanasiasa wanatumia maneno bila kuyaelezea vizuri au kutoa ushahidi. Polisi, CCM na Rais wa Tanzania kwa wao mkutano wa aina yeyote kama wa katiba au kuita Watanzania kujadili kitu chochote kama sio CCM wanaita fujo! au uvunjaji wa amani!. Yaani umeita...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha Kiongozi kisiasa ni midahalo

    Kama tutakuwa na mifumo yakuwapitisha Viongozi wa ngazi za juu kutuongoza bila kuwa na mifumo ya kuwandaa kiuongozi ni kurudisha taifa nyuma. Kumekuwa na kasumba ya vyama vya siasa kupachikana kwenye vyeo nyeti na muhimu kwa kutumia bidii ya ushiriki kwenye kampeni. Katiba mpya iweke vipengele...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ingilia kati suala la Mbowe ukubalike zaidi kisiasa; kesi ikitupwa au akishinda itakuharibia taswira yako na ya CCM

    Mtu yeyote mwenye kujua sheria anapoona tu kichwa cha thread hii, atasema sio sahihi, Rais Samia hapaswi kuingilia kati suala la mashitaka ya Mbowe ya Ugaidi kwa kuwa hapaswi kuingilia kati mhimili wa Mahakama. Ni kweli. Lakini pia, Watanzania wengi sana wanaamini kwa dhati kwamba kesi ya...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunajua taifa letu halina mpasuko wa kisiasa, hakuna haja CCM kukaa meza moja na wapinzani wasio na uzalendo

    Wembe ni uleule, CCM ipo kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo wananchi. Habari kuwa kuna wanasiasa walibaguliwa na kutengwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli ni kuleta porojo ambazo hazina mashiko. Ni Mtanzania gani anataka umoja na wanasiasa ambao hawalitaki mema taifa lao kwa...
  10. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: CHADEMA imeishiwa ubunifu kufikia malengo yake ya kisiasa

    Kwa wanasiasa wazuri kila kitu kinachomkumba mtu ni mtaji wa kisiasa kiwe cha heli au Shari. Mfano Zitto umaarufu wake ulikuwa Sana baada ya kufukuzwa bungeni. Tisheti zikachapwa, Kanga na Mabango Mengi kuelewesha umma nini hasa alichopigania. Nyimbo zikaimbwa za kutoa ELIMU na kumsifu. Hata...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Maoni: Freeman Mbowe akiachiliwa atafute hifadhi ya kisiasa ng'ambo

    Huyu mzee ametoka kuzika ndugu zake wawili wa damu ndani ya mda mfupi. Anapitia nyakati ngumu mno pengne kuliko mpinzani yeyote ndani ya nchi hii. Anakabiliwa na kesi lukuki, uchumi wake binafsi umeporomoka, usalama wake u shakani.nk Ana miaka 60. endapo mwelekeo utakuwa ni huu sijui tu. Kwa...
  12. technically

    JamiiForums Tanzania Naachana na harakati za kisiasa Tanzania, hazina faida yoyote

    Ndugu zangu nimekuwa na nyie hapa kwa zaidi ya miaka 7 sasa. Kulingana na mwenendo wa siasa za nchi hii naomba niachane kabisa na siasa, ni kujipa presha na usumbufu usio na faida. Mwanzo nilifikiri tatizo ni Marais wanaotawala hii nchi kumbe tatizo sio Marais wanaotawala hii nchi bali ni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania CCM na CHADEMA katika kubadilisha msimamo kijamii, kisiasa na kiuchumi - nani zaidi kati yao?

    Nimetafakari sana kuwa ni nani zaidi kati ya CCM na Chadema katika kubadilisha msimamo kijamii, kisiasa na kiuchumi? Kwa mfano CCM walikuwa na msimamo kuhusu katiba mpya haki kuanzisha mchakati uliopelekea kukusanya maoni ya wananchi. Pia ilikuwa na msimamo kuwa Corona haipo Tanzania kwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania #COVID19 NIMR: Chanjo zitakazotolewa Nchini ziko salama kwa asilimia 99.9

    Baada ya ufafanuzi mzuri wa kisayansi uliotolewa na Mkurugenzi mkuu wa NIMR Profesa Yunus Mgaya kupitia Clouds tv sitashangaa kumuona Askofu Gwajima akibadili mawazo na kutimba Ikulu kupata chanjo hapo kesho. Prof Yunus Mgaya amesema chanjo ya Johnson & Johson inaweza kuwaathiri watu 4 tu...
  15. beijing_07

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Watanzania wawasikilize wataalamu, chanjo za COVID-19 zinahakikiwa na TMDA na Mkemia Mkuu

    Mtangazaji: Tuanze na suala la chanjo, tumepata taarifa kesho Rais Samia Suluhu atazindua utaratibu wa chanjo na yeye atachanjwa. Utaratibu utakuwaje kama umeshawekwa na Serikali? Msigwa: Baada ya kuwasili dozi za chanjo zaidi ya milioni 1, kesho asubuhi mheshimiwa Rais atazindua zoezi la...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania COVID-19 inaua, isitumike kisiasa dhidi ya wapinzani

    Tanzania sio kisiwa, kila tunachokifanya kwenye mapambano dhidi ya Covid 19 kinavuka mipaka na kuonekana duniani kote. Ni wazi kuwa sasa tumekubaliana kuwa maambukizi ya COVID-19 yapo hata Tanzania, na kuna wenzetu wameugua, wanaugua na waliokufa na wanaokufa kwa ugonjwa huu. Katika hali hiyo...
  17. Benaya-

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro anajisikiaje Jeshi la Polisi kutumika kisiasa?

    Nimeanza kwa swali: Hivi mzee wetu Simoni Sirro ambaye kwa asili ni mtu makini, anajisikiaje kwa jeshi la polisi analiongoza kutumika kisiasa? Miezi iliyopita tumeshuhudia baadhi ya watu waliokuwa wanasiasa kuachiwa huru na mahakama kutoa hukumu kuwa hao watu walishitakiwa kimakosa ambayo...
  18. Ngamanya Kitangalala

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu kwa viongozi wetu wa kisiasa kuchagua maneno sahihi ya kujibu hoja za wananchi

    Nakumbuka awamu ya tatu wakati serikali ikitaka kununua ndege ya Rais aina ya Gulfstream G550 kwa thamani ya bilioni 46 Watanzania walio wengi, walionyesha kupinga hatua hiyo, kwa kuzingatia hali ya uchumi ya nchi yetu kwa wakati huo Lakini, aliyekuwa waziri wa fedha wa wakati huo, mzee...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kilio Cha tozo za miamala ni ushahidi kuwa wananchi wanakaribia kuzisahau tofauti zao za kisiasa dhidi ya maisha Yao.

    Wanasiasa someni alama za nyakati, kaeni chonjo saa mbaya. Tozo kubwa kwenye miamala ya simu imekwenda kufuta mstari muhimu sana kwa wanasiasa unaowatenganisha watanzania kwenye itikadi za vyama vyao vya siasa. Hakuna wanaCCM wala wapinzani kwenye tozo za miamala ya simu. Hii sio ishara njema...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakati tukingojea kwa hamu 'Tamko' lao , unadhani kwa haya Matatu lipi litakuwa Jema Kisiasa na Kiustawi?

    A Je, Mama akubali Kutenguliwa kwa Tozo ibaki ile ile ya mwanzo huku akimwangusha Waziri wake wa Fedha aliyemuamini? B Je, Mama akaze hivyo hivyo 'Tozo Umiza Komoa' ibaki ili amlinde Waziri wake wa Fedha, asiwaangushe Wabunge walioipitisha na asikiangushe Chama Tawala cha CCM kilichompa...
Back
Top Bottom