GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,571
- 108,912
A
Je, Mama akubali Kutenguliwa kwa Tozo ibaki ile ile ya mwanzo huku akimwangusha Waziri wake wa Fedha aliyemuamini?
B
Je, Mama akaze hivyo hivyo 'Tozo Umiza Komoa' ibaki ili amlinde Waziri wake wa Fedha, asiwaangushe Wabunge walioipitisha na asikiangushe Chama Tawala cha CCM kilichompa Dhamana ya Kikatiba kuwa hapo alipo?
C
Je, Mama akubali yaishe Kiungwana kabisa ajitokeze hadharani Kuomba Radhi na akiri kuwa mwenye Kulaumiwa ni Yeye kama Rais hivyo anabeba Lawama zote na kutuahidi kuwa Kosa kama hilo halitojirudia tena katika Awamu yake ya Deiwaka ( aliyokopeshwa ) Kikatiba na Mtangulizi wake Hayati Rais Dk. John Pombe Magufuli?