kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mali ya serikali na kisheria kuanzia kikatiba,polisi mpaka mahakamani.

    1.Uhai. 2.Kinyeo. 3.Sehemu za jinsia KE au Me. 4.Viungo vya pilau vya mwanadamu. 5 .Haki 6. Basic needs 7.Rasilimali za nchi na mali.
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kisheria ni watu wangapi wanatakiwa kushiriki uchaguzi mkuu ili uwe halali kisheria?

    Hamjambo! Tume ya uchaguzi ilitangaza Mgombea wa CCM, Mhe Rasi, Samia Suluhu kushinda uchaguzi kwa kura zaidi ya 30M huku ikisema ni zaidi ya asilimia 97 na pointi huko. Mimi ni mmoja ya watu wanaoamini matokeo ya tume yanamakosa. Watu 30M kwangu naona ni uongo. Kutokana na kilichokuwa...
  3. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Hatua za kuanzisha biashara kisheria nchini Tanzania

    Elimu ya sheria: Kuhusu namna ya kufanya biashara yako iwe rasmi na inayoaminika kwa kufuata taratibu za kisheria. Kama unataka biashara yako iwe rasmi na ilindwe kisheria nchini Tanzania, fuata hatua hizi: 1: Chagua wazo la biashara. Tambua unataka kuuza nini au kutoa huduma gani. 2: Chagua...
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Wakili Manyota: Wanaoishi pamoja zaidi ya miaka miwili wanaweza kutambulika kisheria kama wanandoa

    Wakili Richard Manyota amesema kuwa kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, watu wanaoishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili na kutambulika na jamii kama wanandoa wanaweza kutambuliwa kisheria kuwa ni wanandoa hata kama hawajafunga ndoa rasmi. Amesema sheria inatambua aina tatu za ndoa ambazo...
  5. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania KUFUNGA JAMIIFORUMS NI UPALALALAA WA KISHERIA: Why Gagging the Digital Public Square is a Monumental Failure of Public Policy

    Inakuwaje wazee wa udhibiti? Hebu tuongee uhalisia bila kuficha makucha hapa. Hivi mnafikiria kwa kutumia akili au mmeamua tu kufuata bureaucratic reflexes ambazo hazina mashiko kwenye karne hii ya 21? Kufungia JamiiForums sio tu kwamba ni ushamba wa kidijitali, bali ni constitutional overreach...
  6. bless on

    JamiiForums Tanzania Siri 3 za Mabilionea Kukwepa Kodi Kisheria

    Kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuwa maskini, kuwa mtu wa kipato cha kati, na kuwa billionaire. Mfanyakazi wa kawaida wa kila siku anayeamka asubuhi kwenda kupambana chini ya jua akipata mshahara au faida ya duka, serikali inakata kodi yake kabla hata hajaigusa. Lakini matajiri wakubwa duniani...
  7. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Ni Wakati Sasa JF Kuanzisha Mfumo wa Kuwalipa "Content Creators" Wetu. Huu Ndio Ukweli wa Kisheria na Kiuchumi.

    Wakuu salama, Mimi ni mwanachama wa muda mrefu hapa JamiiForums (JF). Leo nimekaa na kutafakari kwa kina sana kuhusu mchango wetu sisi watumiaji katika kuuendesha, kuukuza, na kuuongezea thamani mtandao huu unaopendwa zaidi nchini. Nimekuja na hoja moja ya msingi: Ni wakati sasa kwa uongozi wa...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wekeni usia au mirathi na itambulike kisheria .Sio umekufa ndio inatumika kama ushaidi

    Leo na umri wetu huu wengine tuna wazazi wana mali japo tumezikuta na sisi tuna zetu. Ila leo mzazi mmoja au wote wakafariki ndio utaona ile nyimbo ya "kwa mali za baba" Kesi ni nyingi za mali na utapeli au wanyetaama utumia njia hiyo hiyo kujipatia mali. Kama hapa JF nilipata wazo ambalo kwa...
  9. M12

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria. Nilivamiwa, nikajeruhi

    Nilivamiwa na watu wawili wakanikaba nikatumia kitu chenye ncha kali kumjerui mmoja, niliwahi polisi kutoa taarifa ya kuvamiwa, siku ya pili naambiwa kesi imegeuka upande wangu kwa sababu aliyenivamia ndiye aliyeumia sana, kesi sahivi ipo mahakamani, nafanyaje kutoka kwenye hii kesi.
  10. haszu

    JamiiForums Tanzania Japo kisheria hairuhusiwi ila naomba niulize, Kwanini sasa hivi hakuna video za ngono za kawaida za wabongo?

    Nilipita twitter nikakuta mtu ame tweet kwa ku list account zinazotuma mauthui ya ngono, nikasema ngoja niangalie kidogo. Sasa cha ajabu, account zaidi ya nne, video ni nyingi sana na ni za watanzania ila zote, wanacheza mapenzi kinyume na maumbile, yani zote. na sio kua ni madangulo, wengine...
  11. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Afghanistan kuruhusu watoto wa miaka 9 kuolewa ni jambo linalozua maswali makubwa katika dunia ya leo

    “Afghanistan kuruhusu watoto wa miaka 9 kuolewa ni jambo linalozua maswali makubwa katika dunia ya leo. Wengi wanaona kuwa katika karne ya 21 mtoto wa umri huo bado ni mdogo sana na anapaswa kuwa shule, si kuingia kwenye ndoa. Soma Pia: Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa...
  12. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Usijenge nyumba kwenye mpaka ni kosa kisheria

    MAANA YA SETBACK KWA LUGHA RAHISI Setback ni nafasi ya wazi ambayo lazima uache bila kujenga kati ya nyumba yako na mpaka wa kiwanja chako. Mfano rahisi kama hauna elimu ya ujenzi: Fikiria kiwanja chako ni karatasi. Halmashauri inakuchorea mstari ndani ya karatasi hiyo. Inakuambia: "Jenga...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Je, ikitokea tukaachana na mwanamke mali tutagawana hali tuliwa hatukufunga ndoa?

    Mimi ni nimeishi na mke wangu kwa miaka 8 I mean hatukufunga ndoa na tumefanikiwa *kujenga nyumba *kuwa na biashara ndogo ya uwakala *Kupata watoto watatu Ishu iko hivi mwaka mmoja uliopita nilianza kuhisi mahusiano kupoteza mwelekeo, hadi sasa mwanamke anadai tuachane akafanye maisha yake...
  14. Zogoo da khama

    JamiiForums Tanzania Msaada kisheria kero ya mkopo

    Salaam! Naomba kupata ufafanuzi nini nifanye kwenye hili; Nilichukua mkopo wa Tzs. 5m hati ya dhamana. Nimefanikiwa kurejesha Tzs. 4.3m hadi sasa. Deni lililobaki ni Tzs. 700,000 ambayo deni halisi ni 500,000 na 200,000 ni interest kwa kuchelewa kukamilisha rejesho, mpaka muda huu nipo nje ya...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania CAG: Baadhi ya Taasisi za Umma zilisaini mikataba bila mapitio ya Kisheria, ikiwemo TANESCO (Tsh. Bilioni 12) na UDOM (Tsh. Bilioni 4)

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles Kichere amesema baadhi ya taasisi hazikuzingatia mapitio ya kisheria wala ushauri wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika kusaini mikataba yenye thamani ya Tsh. Bilioni 56. Ameeleza hayo Machi 30, 2026 wakati akisoma Ripoti ya...
  16. dmketo

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ushauri wa kisheria juu ya mgogoro huu wa ardhi

    Habari ndugu zangu. Kuna ndugu yangu ana nyumba huko Mbezi Msakuzi. Leo wameitwa na mwenyekiti wa mtaa na kuelezwa kuna mtu amekwenda ofisini kwake akamueleza anaomba ampatie barua ya kufufua mipaka ya eneo lake. Kwa maelezo ya mwenyekiti, mama huyo anadai mumewe alinunua eneo mwaka 1989 na ana...
  17. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kisheria unayotakiwa kuyajua kabla haujaamua kumuoa Single Mother

    Kwenye sheria hazitumiki hisia, kinachoangaliwa ni kile kilichoandikwa kwenye vitabu. Hivyo maamuzi yoyote utakayofanya hata kama ni kwa nia nzuri lazima ujue kuna consequences zake. Kumbuka kwenye sheria hauwezi kujitetea kwa kusema "nilikua sijui" Yafuatayo ni mambo ya muhimu kuyajua...
  18. U

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uongozi unaweza kuwa halali Kisheria, lakini ukakosa uhalali wa kijamii

    Historia inaonesha uongozi unaweza kuwa halali Kisheria lakini ukakosa uhalali wa kijamii Takribani miezi minne baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tanzania inakabiliana na kipimo halisi cha demokrasia yake na uwezo wa upinzani kuwakilisha sauti za wananchi. Kwa mujibu wa utafiti wa...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Idu nacheka ninapofuatilia kesi ya Lissu. Kwamba mtuhumiwa anawafundisha waendesha mashitaka nini cha kufuata kisheria!

    Nakunywa zangu balimi huku nachanganya na Konyagi ndogo. Mtuhumiwa wa kosa la uhaini anatoa shule kwa mawakili wa serikali. Kwamba ushaidi mpya ni tofauti na ushahidi wa nyongeza. Hawa mawakili wa serikali wanalipwa mshahara kwa kodi za mkulima kama Idugunde
  20. SangaMiliki

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, usipite bila kusoma.

    Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, kuanzia sasa usijitese. Wasiliana na kampuni yetu yenye wataalamu waliobobea na wenye uzoefu wa kutosha katika Sheria na mifumo ya kodi. Kumbuka kuwa kuanzia tarehe...
Back
Top Bottom