Mfanyabiashara uliyeamua kuendesha biashara yako kwa kuzingatia misingi ya kisheria ili kufanikisha ukuaji endelevu bila vikwazo, kuanzia sasa usijitese. Wasiliana na kampuni yetu yenye wataalamu waliobobea na wenye uzoefu wa kutosha katika Sheria na mifumo ya kodi.
Kumbuka kuwa kuanzia tarehe...
Kitendo cha CCM kutangaza kuwa kitawalipa watakaokwenda kutoa ushahidi kwenye tume ya Chande hiyo ni rushwa ya wazi, na kumshawishi shahidi kwa njia yeyote bila ridhaa yake ni sawa na kumlazimisa.
Haikubaliki iwe mahakamani au kwenye tume ni kosa kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Takukuru...
prof. Abdallah Safari ambae ni Profesa wa sheria na muandishi nguli wa vitabu ambae amewahi kuandika vitabu kama vile riwaya ya Joka la Mdimu katika mahojiano yake ameeleza kuwa lugha ya kiswahili sio lugha ya taifa bali tunaitumia tu kimazoea akirejelea kuwa katiba haina kifungu kinachobainisha...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Ofisi ya Mkoa kwa kushirikiana na TANESCO haitabaki kimya kufuatia kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Padri Charles Kitima, kuhusu tukio la uvamizi alilodai lilihusisha kuzimwa kwa umeme na Shirika hilo...
Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama kwenye mimbari inoonyesha ngao ya Uhuru na Umoja lakini ikiwa imeondolewa imebadilishwa na kuondoa historia yake.
Hii ngao ina historia kubwa sana kwa taifa letu kuanzia wakati wa ukoloni hadi mwaka 1971 ilipokubalika iwe ni ngao inoonyesha mamlaka ilosimama...
Yaan nyinyi kama mlimteka Polepole mkadhani ndio mmezima Jinsi zenu, kimewalamba !!!!.
Jiandaeni !! Sisi tumeamua kuisafisha Nchi hii kuanzia Mizizi yake !!.
Inaonekana maridadi. Inaonekana salama. Lakini pindi unapofanya lamination ya nyaraka halisi, kisheria unaweza kuonekana umeziathiri au kuzibadilisha bila kujua.
Watu wengi hulaminate vyeti, hati za kiapo, risiti na nyaraka nyingine wakidhani wanazihifadhi. Ukweli ni kwamba, unapozifunika kwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jonh Heche, amedai kuwa tangu aachiwe huru na Jeshi la Polisi amekuwa akifuatilia pasipoti yake ya kusafiria bila mafanikio.
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Heche amesema pasipoti hiyo ni muhimu kwa ajili...
Wanabodi,
Tanzania tuna changamoto kubwa sana ya kutafsiri sheria, kuna tofauti kubwa kati ya uhalali wa kisheria na haki ni vitu viwili tofauti.
Mimi japo ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, ila sio wakili wa...
Watanzania!.
Nimeona uzi wa britanicca kuhusu kwenda kwa lissu na wengine wamechangia kwenda huko.
Mkienda na mkajaribu kumtoa mnaweza kumuweka kwenye hatari kubwa sana ya usalama wake. Wapo watu wahovu wanaweza kujipenyeza na kumdhuru.
Kwa sasa yupo sehemu salama. Uhakika wa yeye kutoka...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekiel Wenje, amesema suala la kwenda kupiga kura si la vyama vya siasa, bali ni la Mtanzania mmoja mmoja kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Nchi.
Wenje ameyasema hayo leo, Oktoba 28, 2025, katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, wakati...
Ina maana ukiwa mwanajeshi haki zako za kiraia zinaondoka? Unakuwa hauna uhuru wa kumchagua kiongozi unayemuona anafaa kwa utashi wako binafsi!
Lets say kweli wamefanya kosa, ya nini kuanza kuwasimulia mapolisi wenzio kwamba mmekamata wanajeshi, takukuru, madaktari nk!
Kwa jicho la 3, mimi...
chama
chama tawala
gani
kampeni
kampeni za uchaguzi
kisheria
kosa
kosa kisheria
kuchagua
lini
maana
mabango
mwanajeshi
sababu
sheria
uchaguzi
wanajeshi
Nawakumbusha tu kuwa huyu Tundu Lissu ni legal intellect ya kiwango cha juu! anayechanganya constitutional reasoning, evidence doctrines, na human-rights jurisprudence kwa ustadi wa kipekee. Uelewa wake wa ICCPR, African Charter, na Katiba ya Tanzania humuwezesha ku-dismantle kesi hata zilizo...
Baada ya majaji wa High court kukataa mapingamizi yote ya Tundu Lissu juu ya uhalali wa mahakama kuu kuendelea kusikiliza shauri hili, hatimaye amesomewa shitaka lake la uhaini leo 15/9/2025...
Baada ya kusomewa shitaka, swali kwa mshitakiwa kikawaida huwa ni KWELI au SIO KWELI. Kwa kimatengo...
https://youtu.be/lXYcasdnW3g?si=j-3229TRJTlB6ORF
1. Mahakama ni chombo cha kisheria, kinachoamua na kutoa haki za watu kwa kutafsiri kwa usahihi hizo sheria ili kumpa kila mtu haki yake kwa kadiri ya ustahili wake kisheria..
2. Haina shaka kuwa mchakato (process) yote ya mashitaka ya Tundu...
Disclaimer:
Uzi huu umeandaliwa kwa madhumuni ya kutoa elimu na kuibua mjadala wa kitaalamu na kiraia kuhusu uamuzi wa TCRA dhidi ya JamiiForums. Yalichopishwa hapa hayapaswi kutafsiriwa kama ushauri rasmi wa kisheria, bali ni uchambuzi wa kisheria na kikatiba kwa lengo la kuelimisha na kujadili...
UCHAWI ni matumizi ya nguvu zisizo za kawaida zinazotumika kuwadhuru wengine kwa namna isiyo ya kawaida.
Uchawi unajumuisha mazingaombwe, kuloga, matumizi ya vifaa vya uchawi, matendo ya nguvu za giza au umiliki wa maarifa ya siri yasiyo ya kawaida.
Uchawi sio dhana mpya katika jamii zetu bali...
Salaam wana jamvi,
Nahitaji msaada wa kisheria ama taratibu gani nifuate ili kuweza kupata haki ya kulea watoto wangu!
Story kwa ufupi iko hivi:
Mimi na mwanamke (34) nimeolewa ndoa ya kanisani, nimebahatika kupata watoto wawili (mkubwa miaka 4.7, mdogo miaka 2.5). Mimi na Mr tumekuwa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.