kisaikolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi watakiwa kuwapa msaada wa kisaikolojia Watoto wahanga wa vitendo vya ukatili

    Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto wa Jeshi la Polisi Tanzania, Naibu Kamishna, Mary Nzuki amewataka Askari Polisi wanaofanyakazi Dawati la Usalama Wetu kwanza kuwapa elimu ya afya ya akili na msaada wa kisaikolojia Watoto wahanga wa vitendo vya ukatili. Akifungua mafunzo ya siku saba ya...
  2. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania TANESCO wameanza kutuandaa Kisaikolojia. Unakuja Mgao wa Umeme siku zijazo na Watu wanaanza kuingiza Nchini Majenereta

    Huu ni mwanzo... Tuanze kujiandaa na yale yajayo siku za usoni. Maji yameanza kupungua tena kwenye mabwawa. Tulicheleweshwa sana kimaendeleo. Sasa tutaweza kuifungua nchi vizuri na kurudisha uchumi uliokwama.
  3. mama D

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Ommy Dimpoz na Babake wee uliye biological mother/father ukimkataa/kumtelekeza mtoto wako ujue umemuumiza sana kisaikolojia na makuzi yake

    Mwenyewe Ommy anmeweka wazi kwamba anamheshimu baba yake lakini hana ukaribu nae Ila wanaume buana, yaani alijua kabisa amezaa, kwa hiari yake akamtelekeza mtoto, ila sasa kafanikiwa anamuombea asaidie wengine👀👀👀👀 Sijui kama Ommy angekua maskini, teja, mgonjwa asiyejiweza, au mlemavu huyu...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Wakristo wa Somalia na Zanzibar hupata changamoto kubwa ya kisaikolojia ukanda huu wa Afrika Mashariki

    Ukifuatilia wakrsto wachache wanaoishi somalia ni kama wapo kifungoni hawana amani wameathirika kisaikolojia kutokana na uchache wao ambao ni chini ya asilimia 5 wengi wao wanasali nyumbani kuepusha kulipuliwa wakiwa kwenye nyumba za ibada wanalazimishwa kwa makusudi na dola na umma kuwa...
  5. Determinantor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ushindi wa Ruto ni pigo kwa CCM, wajiandae kisaikolojia

    Najua ninachoandika wale wa low IQ hawataelewa, Ruto alisimama, akamwamini Mungu, wakajaribu kufanya waliyotaka kuyafanya, hatimae haki imeshinda dhidi ya udhalimu. CCM next time msiingilie mambo ya watu
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania 'On a Serious Note' Haji Manara asaidiwe upesi 'Kisaikolojia' kwani anaanza 'Kuwehuka' na Kujidhalilisha hadi Kuwadhalilisha Waliomuajiri

    Jana katika tabia yake Ile ile ya Kujipendekeza kwa Serikali ( hasa Watawala ) na kutafuta Huruma ili ifanye Ushawishi na awe Huru kafanya Jambo la Kujichoresha zaidi na linaloonyesha kuwa huenda Majibu ya Mabaya aliyowafanyia Watu sasa Laana zao zinaanza Kumpata. Ni kwamba Mfungwa na Mdaiwa...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haji Manara natumai umeshajiandaa Kisaikolojia kwa Kifungo utakachokipata Leo na Kamati ya Maadili

    Ulionywa Punguza Nyodo na Ujeuri hukusikia. Na ulichokosea ni Kuongozana na Injinia Hersi Said kwenda kwa Boss wa Mpira wakati Logically uliyemkosea si Yeye bali ni Taasisi yake nzima ya TFF ambayo mara kwa mara umekuwa Ukiidhalilisha kwakuwa unabebwa na kupewa Jeuri na Mstaafu wa Msoga mwenye...
  8. Asalamaleko

    JamiiForums Tanzania Utake usitake huu ndio ukweli, jiandae kisaikolojia

    Tuendelee kuwekana wazi Wazazi walezi na vijana. Miaka michache nyuma ilikuwa kwenda kusoma chuo ni kama "Geti" la mwisho kuingia ktk ajira za serikali. Ilikuwa ukimaliza Certificate Diploma au Degree haizidi miaka 2 unapata ajira serikalini na hata ktk taasisi na makampuni binafsi. Nakumbuka...
  9. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wanasimba mjiandae kisaikolojia hakuna usajili wa maana msimu unaofuaya

    Wanasimba niwaibie tu Siri licha ya Mo kutapa kuwa anataka ubingwa wa Africa ili jamaa ni bahili balaa. Misimu uliopita alileta ubahili akaleta wachezaji wa bei chee tukachemka, msimu huu yatajirudia yaleyale, ukiwatizama viongozi wetu unawaona kama wapo serious vile kumbe hawana lolote. Kwa...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania UNICEF: Vita inayoendelea Ukraine ina athari mbaya za Kisaikolojia kwa Watoto

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limeripoti kuwa vita inayoendelea Nchini Ukraine imekuwa na madhara makubwa kwa watoto, ambapo wengi wao wanahitaji msaada wa kisaikolojia. Watoto zaidi ya milioni moja wa Ukraine kwa muda wa miezi miwili wamekuwa katika mateso kutokana...
  11. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kumshauri aliyeathirika kisaikolojia kwa ku-abort

    Nasalimia kwa adabu zote stahiki. Bahati mbaya kiswahili chetu hakijawa na salama "universal" na mjadala wa "shikamoo" hatujawai kuufunga! Ila bado napigia chapuo...salaam aleikhum! Humu JF ni familia. Tunawekana sawa kila mtu na karama yake, elimu, maarifa na ujuzi! Hoja yangu ni huyu binti...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Asanteni Ahmed Ally, Suleiman Matola na Barbara Gonzalez kwa kutuandaa mapema Kisaikolojia wana Simba SC juu ya Kipigo cha Keshokutwa Berkane

    Ikitokea Simba SC yangu ikashinda au hata tu kutoka Sare / Suluhu na RS Berkane Keshokutwa ( Jumamosi ) nitakuwa ni mwenye Furaha Kubwa kwani Lengo letu Kuu litakuwa limetimia hasa kwa Mechi za Ugenini ( Away ) Hata hivyo nisiwe Mnafiki au Muongo kwa wale Wabobezi wa Communication Psychology na...
  13. Wu-Ma

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Job Ndugai kuisawazisha hii sintofahamu?

    Job Ndugai alitoa sintofahamu yake kuhusu mkopo na tozo Kwa pamoja Kwa ajili ya utatuzi wa Jambo Hilo Hilo moja kinyume na mpango kazi wa awali, ambao ulibainisha tozo ndio zibebe huo mzigo badala ya kukopa kopa. Alikuwa sahihi kabisa kikatiba, hata hvyo hoja yake imeleta matokeo ya kushangaza...
  14. Little brain

    JamiiForums Tanzania Kwa kikosi hiki cha Simba SC, nawashauri mashabiki wajiandae kisaikolojia maana hawatafika popote

    Takwimu za Asec mimosa ligi kuu mechi 7 win 7 point 21 na wanaongoza ligi Huku upande wa simba mambo yako hivi. Morrison Lwanga- injury Chama Mugalu kibu denis- injury Hawa ni wachezaji watakao kosekana mechi ya shirikisho zidi ya Asec mimosa. Mimi ni yanga damu ila Kusema kweli simba hawatoboi
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Unapomtaarifu mwanamke kuwa mume wake ana mahusiano pembeni unamuharibu kisaikolojia

    Kuna dada mzuri nikisema mzuri ni mzuri kweli. Aliolewa na mume mwenye kipato cha kawaida na waliishi maisha ya kawaida. Nikimaanisha hakutumia usafiri wa wote mume wake alimnunulia gari, shopping ya nguo za kazini akifanyiwa. Kwakua alikua mzuri alipendeza sana. Sasa kuna mazee mafisi...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Humphrey Polepole ni kuamini alikuwa " the chosen one" na sasa ameathirika kisaikolojia

    'Mwanangu usiwe na matarijio makubwa utakayoshindwa kuyatimiza na kuumuza moyo wako', ni nukuu ya maneno kutoka kwa wazazi wangu wakinisihi juu ya jambo. Ingali kauli hiyo ilitolea zamani sana lakini bado naikumbuka mpaka kesho I we usingizin au penginepo. Kutokana na usia huo naweza kusema Mimi...
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kisaikolojia niache tabia ya ulevi

    Inasikitisha sana sijui ni kwanini hata nimejikuta nimekwisha tumbukia kwenye ulevi wa kutisha kwa hali niliyofikia ni hatari kwani nakunywa pombe karibu kila siku bila ya kupumzika. Nimeshakunywa za kienyeji karibu zote, pombe kali zote na kwa sasa nimezamia kwenye bia yaani speed yangu kwa...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kweka wa Magic FM: Wanaosali muda mrefu wana 'Uwendawazimu' wanahitaji Tiba ya haraka ya Kisaikolojia

    "Haiwezekani Mtu unasali Kuanzia Saa 12 asubuhi hadi Saa 12 Jioni au hata kwa Masaa 8 mfululizo ukawa Salama Kichwani mwako. Napenda mno Ratiba za Ibada za Waislamu na hata Madhehebu mengine ya Kikristo ambapo zimepangiliwa kabisa muda na hauzidi dakika 45 mpaoa dakika 90 au 120 tu na hazizidi...
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa hayupo sawa kisaikolojia

    Jana wakati fulani nilimwona PM Majaliwa akishuka kwenye gari huku uso wake kwa hakika ukionyesha ni mtu mwenye mawazo. Huenda PM ana stress zake binafsi. Lakini mimi kama mtu mzima nahisi ndugu yangu yule hayupo sawa tena sana! Tumwombee.
  20. D

    JamiiForums Tanzania Madhara ya joto kisaikolojia! Ni moja ya cha chanzo cha migogoro na ukatili usiotarajiwa

    Joto ni moja ya kichocheo kikubwa sana kinachoweza kuharibu mfumo wa kufikiri. Wataalam wa saikolojia wanathibitisha kupokea migogoro mingi sana ya ndoa kipindi cha joto Kali la hali ya hewa! Ukiachilia mbali wanasaikolojia! Taarifa za kipolisi zinaeleza matukio mengi ya kikatili huongezeka...
Back
Top Bottom