Asanteni Ahmed Ally, Suleiman Matola na Barbara Gonzalez kwa kutuandaa mapema Kisaikolojia wana Simba SC juu ya Kipigo cha Keshokutwa Berkane

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Ikitokea Simba SC yangu ikashinda au hata tu kutoka Sare / Suluhu na RS Berkane Keshokutwa ( Jumamosi ) nitakuwa ni mwenye Furaha Kubwa kwani Lengo letu Kuu litakuwa limetimia hasa kwa Mechi za Ugenini ( Away )

Hata hivyo nisiwe Mnafiki au Muongo kwa wale Wabobezi wa Communication Psychology na hata kusoma vyema tu Body Language ya Watu ukimsikiliza na kumtizama Msemaji Ally, Kocha Msaidizi Matola na CEO Gonzalez wakiwa wanafanya Interviews zao juu ya Maandalizi ya Mechi yetu ngumu ya Jumamosi ( Keshokutwa ) na RS Berkane tayari ukijipngeza utajua kuwa kwa 95% Kipigo / Kichapo kinatuhusu.

Kocha Msaidizi Matola akiongea anatetemeka na baridi huku Barafu zikiganda na zingine Kupasukia katika ( Para lake ) Kipara chake kama Ugali, ukimsikiliza CEO Gonzalez akiongea Mdomo unatetema Kimayelemayele kwa baridi na kama umemsikiliza Msemaji Ally jioni ya leo ndiyo balaa kabisa kwani alikuwa anaongea huku Mafua yamembana, Kamasi zinamdondoka, anakphoa huku akitaka Kulia na Kutia mno Huruma.

Na Watatu Wote hawa Wakihojiwa wanalalamika kuhusu baridi Kali lililoko huko nchini Morocco hasa katika Mji wa Berkane utakaochezewa Mechi husika Kitu ambacho kimenipa sana Mashaka juu ya Afya za Wachezaji wa Simba SC na kama kweli wataweza Kuihimili na Kukabiliana vyema na Mechi hiyo.

Tayari nimeshaanza Kukihisi Kipigo tu!!
 
Mechi za usiku halafu kwenye baridi jamaa zangu huwa wanatetemeka sana uwanjani, nikikumbuka Al Ahly alivyotugonga zile tano Manula alikuwa anashangaa tu golini, this time wawe makini wasituletee mambo ya ajabu.
 
Na wenyewe watakuja kwenye Joto la Dar kama umeona Jana mechi Kati Ya Amazulu vs Setief utajua namna Gani na wao joto litawaathiri
 
Mechi za usiku halafu kwenye baridi jamaa zangu huwa wanatetemeka sana uwanjani, nikikumbuka Al Ahly alivyotugonga zile tano Manula alikuwa anashangaa tu golini, this time wawe makini wasituletee mambo ya ajabu.
Hapana mkuu wala haikuwa sababu ni hiyo iliyopelekea kufungwa tano, unataka kusema kuwa As Vita nao walishinda goli tano kwa Advantage hiyo? Vipi mechi ya msimu ulioisha vs Al Ahly mbona ilichezwa usiku na goli ilikuwa ni moja tu? Ukiangalia vizuri kwenye hili kundi utagundua kuwa timu zote tatu yaani Berkane, Assec na USGN wote wana tatizo la upande wa ukabaji. Simba inatatizo hilo lakini Manula amekuwa msahishaji mkubwa wa makosa ya beki zake. Hivyo Simba akiinggia na aproach nzuri na uchaguzi mzuri wa wachezaji basi anaweza akapata alama ugenini kutokana na tatizo la Berkane kwenye ulinzi wabovu mno
 
Simba baada ya mechi ya kesho Jumapili kuna uwezekano mkubwa ikashika nafasi ya tatu

Mchezo wake na Berkane utakua mgumu sana kwao ukizingatia wapinzani wao watataka kutumia vyema uwanja wa nyumbani baada ya matokeo mabaya ya kule Ivory Coast

Mechi ya Asec na US Gendemarie itatoa mshindi ambaye naye atakua amefikisha points sita. Kama Simba akipoteza inamaana Berkane nae akiishinda Simba atakua na points sita
 
Kuna jambo moja linajirudiarudia sana kwa beki ya Simba. Mchezo unapoanza hua wanapoteza umakini na kufanya makosa yasiyo ya lazima ikiwa ni pamoja na kutegea kufagia hatari

Yaani mpaka wanapofungwa goli la mapema(mara nyingi ndani ya dakika 15) ndio kina Onyango, Wawa, Mohamed Husein na wengine akili zinawakaa sawa na kuongeza umakini kwenye kukaba
 
Simba baada ya mechi ya kesho Jumapili kuna uwezekano mkubwa ikashika nafasi ya tatu

Mchezo wake na Berkane utakua mgumu sana kwao ukizingatia wapinzani wao watataka kutumia vyema uwanja wa nyumbani baada ya matokeo mabaya ya kule Ivory Coast

Mechi ya Asec na US Gendemarie itatoa mshindi ambaye naye atakua amefikisha points sita. Kama Simba akipoteza inamaana Berkane nae akiishinda Simba atakua na points sita

Kama atashinda Assec ndio itapatikana mwenye point sita ila akishinda USGN atakuwa na point nne. Itakuwa matokeo mabaya sana kwa Simba endapo ikitokea USGN wamefungwa na Assec na simba ikapoteza kwa Berkane.
 
Simba baada ya mechi ya kesho Jumapili kuna uwezekano mkubwa ikashika nafasi ya tatu

Mchezo wake na Berkane utakua mgumu sana kwao ukizingatia wapinzani wao watataka kutumia vyema uwanja wa nyumbani baada ya matokeo mabaya ya kule Ivory Coast

Mechi ya Asec na US Gendemarie itatoa mshindi ambaye naye atakua amefikisha points sita. Kama Simba akipoteza inamaana Berkane nae akiishinda Simba atakua na points sita

Usivute tena bangi za Arusha
 
Sioni tatizo maana hao washindani wake watakuwa wanauana ugenini wakati Simba akiwa na mechi mbili mfululizo nyumbani. Ambazo akishinda zote safari imeendelea

Sasa ukisema ni mpaka aIshinde nami nitakuuliza kwanini wewe utabiri simba atafungwa kesho?

Mpira sio ramli....
 
Ikitokea Simba SC yangu ikashinda au hata tu kutoka Sare / Suluhu na RS Berkane Keshokutwa ( Jumamosi ) nitakuwa ni mwenye Furaha Kubwa kwani Lengo letu Kuu litakuwa limetimia hasa kwa Mechi za Ugenini ( Away )

Hata hivyo nisiwe Mnafiki au Muongo kwa wale Wabobezi wa Communication Psychology na hata kusoma vyema tu Body Language ya Watu ukimsikiliza na kumtizama Msemaji Ally, Kocha Msaidizi Matola na CEO Gonzalez wakiwa wanafanya Interviews zao juu ya Maandalizi ya Mechi yetu ngumu ya Jumamosi ( Keshokutwa ) na RS Berkane tayari ukijipngeza utajua kuwa kwa 95% Kipigo / Kichapo kinatuhusu.

Kocha Msaidizi Matola akiongea anatetemeka na baridi huku Barafu zikiganda na zingine Kupasukia katika ( Para lake ) Kipara chake kama Ugali, ukimsikiliza CEO Gonzalez akiongea Mdomo unatetema Kimayelemayele kwa baridi na kama umemsikiliza Msemaji Ally jioni ya leo ndiyo balaa kabisa kwani alikuwa anaongea huku Mafua yamembana, Kamasi zinamdondoka, anakphoa huku akitaka Kulia na Kutia mno Huruma.

Na Watatu Wote hawa Wakihojiwa wanalalamika kuhusu baridi Kali lililoko huko nchini Morocco hasa katika Mji wa Berkane utakaochezewa Mechi husika Kitu ambacho kimenipa sana Mashaka juu ya Afya za Wachezaji wa Simba SC na kama kweli wataweza Kuihimili na Kukabiliana vyema na Mechi hiyo.

Tayari nimeshaanza Kukihisi Kipigo tu!!
Ipo wazi,kipigo kinatuhusu na nimeshajiandaa kisaikolojia,
 
Hapana mkuu wala haikuwa sababu ni hiyo iliyopelekea kufungwa tano, unataka kusema kuwa As Vita nao walishinda goli tano kwa Advantage hiyo? Vipi mechi ya msimu ulioisha vs Al Ahly mbona ilichezwa usiku na goli ilikuwa ni moja tu? Ukiangalia vizuri kwenye hili kundi utagundua kuwa timu zote tatu yaani Berkane, Assec na USGN wote wana tatizo la upande wa ukabaji. Simba inatatizo hilo lakini Manula amekuwa msahishaji mkubwa wa makosa ya beki zake. Hivyo Simba akiinggia na aproach nzuri na uchaguzi mzuri wa wachezaji basi anaweza akapata alama ugenini kutokana na tatizo la Berkane kwenye ulinzi wabovu mno
Atleast napata nguvu hao Berkane hawana ujuzi kama wa Al Ahly, na kama wameruhusu magoli sita kwenye mechi zao mbili za mwanzo naamini tukitumia nafasi zetu vizuri naabeki wakafanya kazi yao ipasavyo tunaweza pata ushindi kabisa ugenini kwa muarabu
 
Back
Top Bottom