mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,760
- 35,205
Mwenyewe Ommy anmeweka wazi kwamba anamheshimu baba yake lakini hana ukaribu nae
Ila wanaume buana, yaani alijua kabisa amezaa, kwa hiari yake akamtelekeza mtoto, ila sasa kafanikiwa anamuombea asaidie wengine👀👀👀👀
Sijui kama Ommy angekua maskini, teja, mgonjwa asiyejiweza, au mlemavu huyu baba angesogea hata kukusaidia
Ila ndio hivyo anabaki kuwa baba mzazi na abaheshimiwa kwa hilo... ila kudai anunuliwe kirikuu ni matumizi mabaya ya alichokipanda🏃♀️🏃♀️
Mwenyezi Mungu aendelee kukuongoza uzidi kumheshimu huyu mzee Ommy Dimpoz, japo imani inasema wewe haramu ila hukuzaliwa bila Mungu kupanga