Ni nani yuko nyuma ya Chama hiki kipya Cha Siasa cha 21 Tanzania.
Bahati mbaya sana wanaoanzisha vyama hivi wanashindwa kabla ya kuanza.
Ukweli ni kwamba CCM hakuna wakuitoa kwa sasa kwa mamna ilivyo na sera na dira zinazoeleweka.
CCM ni chama zao la kutafuta maendeleo na haki ya kila...
Hadi pale kirusi cha Corona kitakapo tokomezwa inafahamika kuwa zitakuja variants hatari zaidi za kirusi hiki.
"Dhana kamili ya kuwa hakuna aliye salama hadi sote tuwe salama."
"Omicron" ndiyo iliyo variant mpya zaidi ikitokea Afrika Kusini.
Nchi kadhaa duniani zinachukua tahadhari kukizuia...
Katika viongozi wachache tuliyobaki nao katika kujenga hoja na kuwa mkweli ni Jenerali Ulimwengu.
Hotuba nyingi za mwanasiasa huyo inanikumbusha jinsi Mwalimu Nyerere alivyokuwa akitoa hoja.
Hongera sana Mheshimiwa Jenerali Ulimwengu na watanzania tutaendelea kusikia na kupokea ushauri wako...
Kwa hakika tangu kesi nzito hii kwa jina imeanza, ushahidi wa kuendana nayo umeshindikana kutolewa.
Bila shaka kwa upande wa mashtaka, ushahidi wa Luteni Urio ulikuwa ndiyo wa muhimu zaidi.
Lakini kama ni hawa kina Mahita, Kaaya, Wauza mbege, Kingai au yule jamaa wa Tigo, labda ilikuwa muda...
MWANAMKE MWANAMAPINDUZI
Hiki ni kitabu kinachohusu maisha ya Biubwa Amour Zahor kilichoandikwa na Zuhura Yunus.
Kitabu hiki kinahusu maisha yake Bi. Ubwa akiwa msichana mdogKio wa Kiarabu katika mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka wa 1964.
Nilipoanza kukisoma kitabu ghafla ikanijia filamu fupi...
Disclaimer (Andiko hili ni kutoka clickhabari.com)
Imebaki miaka minne kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania. Chama kipya cha siasa kilijulikano kama Umoja Party (UP) kimeibuka kuomba usajili wa muda. Chama hicho tayari kimewasilisha maombi ya usajili wa muda ili kuanza kutafuta...
Imebidi kujiridhisha mambo kadhaa kwanza:
Amesikika shahidi #5 kwenye kesi hii akijitambulisha kama Fred Kapala (lawyer), japo TLS anasomeka kama Fred Kapara:
Ikumbukwe Fred Kapara aliwahi ibuka pia kwenye case almaarufu ya kujiteka kwake bwana Abdul Nondo. Huko pia bwana huyu alikuwa...
Mondi kama Mondi, Hakuna kipya humu just same Mondi akiendeleza kazi yake ya Muziki.
Kusema ukweli mwamba amefikia hatua hata siku akiachia clip anapiga muayo usishangae ikaenda on Trending na ikawa hitsong sijui hitclip 🤠
Hii banger nadhani tageti yake kubwa ni Intaneshino na Clubs, Na ita...
USHINDI WA KONDE;MBADALA WA CCM NI CHAMA KIPYA KUTOKA NDANI YA CCM.
Na Chakat,Hapa Kazi Tu.
Tanzania inapaswa kuwa na vyama vya siasa vinavyojitambua na vinavyojua wajibu wao katika kuleta maendeleo ya Taifa kwani siasa sio chuki wala uhasama,siasa sio udini,siasa sio Ugaidi,siasa ni...
Nawakumbusha wanaume wenzangu wote wenye mke zaidi ya mmoja. Mke mdogo asikufanye ukamsahau au ukampuuza mke mkubwa.
Mke mdogo amenifanya nizidi kumpenda sana mke mkubwa.
Naongea kikubwa kwa elimu na maarifa na kwa insafu tuwapende wake zetu, watoto zetu na wale walio karibu yetu.
Ukweli...
Kiwanda kipya cha kusaga na kukoboa nafaka kilichopo Mbezi Luis DSM kinakodishwa. Kiwanda hiki kina machine za kusaga, kukoboa, na kupeta mahindi. Pia kina machine ya kushona mifuko/viroba.
Kina uwezo wa kusaga Tani moja kwa kila lisaa. Pia kuna godown/stoo ya kuhifadhi nafaka tani zaidi ya...
Rafiki yangu mpendwa,
Huwezi kutoka nyumbani kwako na kwenda popote kama huna mwongozo unaoufuata.
Hata kama haujauandika mahali, unajua kabisa utapita wapi na wapi ndiyo ufike kule unakotaka.
Na hata unapokuwa njiani na kukutana na njia nyingine, hutahangaika nazo kwa sababu unajua njia...
Uhitaji wa kizazi kipya kabisa cha upinzani chenye agenda mpya, dira mpya na mwelekeo mpya wa kisiasa haukwepeki tena kutokana na kwamba CCM chini ya Mwenyekiti wake rais JPM kilichukuwa mwelekeo mpya kabisa wa kujihuisha kama chama kongwe duniani kilichobeba dhima ya uhuru wa nchi yetu na wa...
Katika jamii kumekuwa na matukio ambayo yamekuwa yakijirudia mara kadhaa, matukio ya wazee kufia guest wakiwa na mabinti, niliona ni muhimu nifanye utafiti ili hatimaye nijue nini sababu ya vifo hivyo,
Hivi sasa kumekuwa na ari kwa wanajamii kufanya sex za kiwango cha kimataifa huku wakitumia...
Hivi vyama vikubwa viwili vyote vipo hoi. Hoi sana. Kimoja kinashikiliwa na Dola na kikingine kinashikiliwa na Ukosefu wa Chama mbadala.
Utaniuliza ACT nitakujibu hamna kitu pale. Hamna chama cha ukombozi wa Mtanzania.
CHADEMA ya sasa Imekuwa Nyepesi sana. Uzito wa Unyoya. Haina nguvu ya...
Taarifa mpya ni kwamba, kirusi cha Covid 19 ambacho kinajibadili ama mutate kila siku kimekuja na aina mpya ya kirusi kinaitwa Lambda. Lambda imegundulika huko nchini Peru.
Kirusi cha Lambda kimeonyesha kua hizi chanjo zilizopo haziwezi kukizuia, kiko resistance dhidi ya chanjo zilizopo...
Kwenye dunia ambayo demokrasia imeshuka sana katika asilimia 70 ya nchi 167 zilizofanyiwa utafiti duniani, kwa mujibu wa The Economist Intelligence’s Unit Democracy Index 2020 tangu kushuka huko kuanze kuonekana mwaka 2006, tunategemea sana mitandao ya kijamii kuhuisha demokrasia kwa sababu ni...
Bunge "dhaifu la Ndugai" limekubali kwa kauli moja maombi ya serikali ya kuongeza kodi ya TSZ 100/= kwenye kila lita moja ya mafuta kama chanzo kipya cha mapato.
#SWALI: Je, kulikua na ulazima wowote wa kuongeza TZS 100/= kwenye bei ya mafuta katika bajeti ya mwaka huu?
#Jibu ni HAPANA kwa...
Nafahamu sera ya CCM inahimiza kuwalea wasanii katika tasnia zote ili waweze kufikia viwango na mafanikio ya kimataifa.
Ndio maana unawaona akina Samatta, Msuva, Diamond nk nk wakitoboa.
Sera za Chadema sijajua zinasemaje.
Mwenye nazo atujuze Tafadhali.
Nawatakia Sabato yenye baraka!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.