kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Hizi hapa familia TANO zenye maisha bora zilizopambana kwa ajili ya masikini na kuonewa kipindi cha mwaka 2015 hadi 2022

    1. Maria Sarungi (shangazi)- umezaliwa familia Bora, ulikuwa na kila sifa uteuzi lakini ulikataa na kuamua 2022 ulie na wanaolia. Uliwindwa ukakimbia nchi lakini bado haukusita kupambana Kwa ajili ya Haki ya wale wote wanaonekana. Kupitia Maria space ulivuka viunzi vya kuminywa Kwa Uhuru wa...
  2. Atoa matapishi mazito kipindi ananyonya sehemu za siri za mpenzi wake

    Mapenzi bado yanaendelea kuwatesa vijana. Tulikuwa tunaangalia gem ya simba leo jioni Bar fulani ipo Mikocheni ambayo ina Lodge pia. Ndipo tukashuhudia tukio la ajabu sana. Dada mmoja ambaye baadaye nilikuja kumfaham kwa jina moja tu la Mwantumu amezua tibwili zito lodge hapo baada ya...
  3. Kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kutengeneza future za watoto wao nyie wazazi wenu waliamini mjini msingi kiuno?

    Tuendelee na mada zetu za kukera you know how much you know hahahahaha nyie si wazazi wenu si waliamini mjini msingi kiuno? Miaka Ile DDC Mlimani Park walikuwa hawakosekani? Niwaambie kile kipindi wazazi wa wenzenu walikuwa wananunua Maplot huko kedekede hahahahaha. Kwangu mimi sina haja hata...
  4. Matatizo yanayotokana ukosefu wa lishe bora kwa mtoto kipindi akiwa Tumboni na baada ya kuzaliwa

    Jamii nyingi za Kiafrika zinasumbuliwa na tatizo ugonjwa wa akili kwasabab nyingi moja ikiwemo. 1. Ukosefu wa lishe bora: Ambapo watoto wanakosa lishe wakina ndani na nje baada ya kuzaliwa ambapo inapelekea kuwepo na changamoto nyingi zinazosababishwa na matatizo ya kukosekana kwa Afya ya Akili...
  5. T

    TANZIA Aliyewahi kuwa mwendesha mashtaka mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani Afariki Dunia

    Kwa wale wa penzi wa vichekesho na burudani. Bwana Gibson Gathu Mbugua ambae alikua akiigiza kama mwendesha mashtaka Mkuu wa kipindi cha Vioja Mahakamani huko Kenya amefariki Dunia. Kipindi cha Vioja Mahakamani kilikua kipindi cha vichekesho kilichokua kinarushwa na televisheni ya taifa la...
  6. TBC badala ya kuonesha mchezo wa Robo Fainali kati ya Ufaransa na England, wao wapo na kipindi cha pambe

    Hawa TBC sio watu wa michezo hawa ni wa kupamba na kusifia serikali na ndio sehemu pekee waliyofanikiwa hadi sasa. Tamaa na ukiritimba imepelekea kutuhadaa watanzania kuwa wataonyesha mechi za kombe la dunia cha ajabu game inaonyeshwa moja moja tena wakati ambao umeme haupo. TBC ni wahuni tu...
  7. Maproduza tuleteeni Come Dine With Me Tanzania

    Hiki ndo kipindi changu pendwa cha TV kwenye BBC Lifestyle channel 174. Mnakutanishwa watu wanne, tano au sita ambao hamjuani, mnatembeleana kila cku nyumba ya kwanza hadi wa mwisho halaf mshindi anapatika siku ya mwisho anashinda pesa, kaz yenu kupika chakula na kuwapa watu good time nyumbani...
  8. M

    Mshahara wa polisi miaka ya 70 na 80 ulikuwa kiasi gani?

    Hivi miaka ya 70 na 80 mshahara wa askari polisi C.P.L., ulikuwa pesa ngapi? Na kipindi hicho pensheni zao zilifika hadi pesa ngapi baada ya kustaafu?
  9. H

    Watalaam simu zinapata Moto sana kipindi hiki Cha joto je Kuna madhara?

    Habari wakuu..Kipindi hiki Cha joto simu zinapata Moto sana. Hasa hizi simu zetu za tecno yaani Hadi unaogopa kuendelea kuitumia mpaka ipoe hasa ukiwa kwenye mtandao vipi Kuna madhara yanaweza kutokea kwenye machine au injini kiswahili cha simu kinanipa tabu kidogo
  10. Rais Macron naye ailalamikia US: Mnatufanyia hujuma isiyo ya kawaida katika kipindi hiki kigumu

    Katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku tatu mjini Washington, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amewaambia wabunge wa Marekani kwamba nchi yao inaifanyia Ufaransa "hujuma isiyo ya kawaida hasa katika kipindi hiki cha mdororo wa nishati na uchumi kutokana na Covid-19 na mzozo ya...
  11. Siwezi sahau jinsi ambavyo nilidhalilika na Tozo kipindi kile zimeanza

    Siku hiyo nimeamka asubuhi wapinzani wanaongoza. Sina kitu mfukoni. Na simu yangu hata ku deeku haiwezi. Nipo majalala kinoma aisee. Nikawaza nikaona hapa nimuibuikie mwanangu wa damu Gilongwe kijiweni kwake Mwenge. Basi nikaanza kucheza Reggae mdogo mdogo toka Tegeta mpaka Mwenge. Kufika...
  12. Mtangazaji wa ITV na Radio One Maulid Kambaya unaharibu Kipindi cha Malumbano ya Hoja kwa Kuzuia Serikali isikosolewe

    Tokea uipate Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini (kama sijakosea) mwaka Jana umekuwa ni Mnoko Mnoko na mpenda Kujipendekeza (Kujikomba) kwa Mamlaka (Serikali) hasa pale Wachangiaji wa Kipindi cha Malumbano ya Hoja wakiwa Wanaikosoa. Kinachonishangaza hasa Mimi...
  13. Kipindi cha Mr. Right ni kizuri Ila namna kinavyofanyika kinaaibisha na kudhalilisha Wanawake

    KIPINDI CHA MR. RIGHT NI KIZURI ILA NAMNA KINAVYOFANYIKA KINAAIBISHA NA KUDHALILISHA WANAWAKE. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Ingawaje ni aibu kubwa Kwa mwanamke kutoka hadharani na kutangaza kukosa mume WA kumuoa lakini hiyo tunaweza kusema ni kasumba tuu Mbaya. Taikon ninaamini hata...
  14. TANESCO tunaomba umeme usikatike kipindi hiki cha Kombe la Dunia

    Najua mpo humu tena ngoja niwatag TANESCO Poleni na majukumu makubwa sana ya kutukatia umeme kila uchwao, sasa mimi nikiwa kama mdau wa soka, kombe la dunia linaanza leo hivyo tunawaomba sana msitukatie umeme mkatunyimba burudani ya soka ambayo huja kila baada ya miaka minne. Kwakuwa TBC1...
  15. L

    ITV mmenifanya kujiskia aibu na kipindi chenu cha kipima joto.

    Kipindi chenu cha kipima joto cha leo, hakikuwa na mvuto sababu ni staged! Hakina mvuto sababu kama Taifa bado tunasafari ndefu sana! Mambo muhimu kama ya umeme, maji , Afya, Elimu etc ,tuweke mambo ya siasa mbali, tuwe na focus kama nchi! hao ilipaswa waulizwe maswali ambayo hayakupangwa...
  16. Huko Nyakato Mwanza tuliambiwa kuna mitambo ya kuzalisha MW 80 kwa kutumia dizeli. Kwanini sasa isiwashwe kwenye kipindi hiki cha uhaba?

    Nadhani ni kwenye awamu ya nne ya JK, mitambo ya kuzalisha MW 80 ilisimikwa huko Nyakato Mwanza ya kutumia mafuta ya dizeli kwa gharama ya mabilioni mengi ya pesa. Mahitaji ya umeme ya jiji la Mwanza hayazidi MW 3, hivyo MW hizo 80 zinatosha kwa matumizi ya kanda yote ya Ziwa Victoria ie mikoa...
  17. Profesa Mark Mwandosya kuwa Rais kwa kipindi kimoja, Roho Mtakatifu amenituma niseme

    Nianze kwa kusema tu sina uhusiano wa aina yoyote na Profesa Mark Mwandosya, hanijui kwa jina wala sura pia kwa upande wangu namjui kwa jina na kumuona kwenye picha na video tu hatujawahi kukutana. Ila hii sauti imeanza kuniijia kwa zaidi ya miezi sita sasa niliipuuzia lakini nimeshindwa...
  18. Jinsi ya kulinda haki za waajiriwa walio kwenye kipindi cha majaribio: Kesi ya Agness B. Buhere versus UTT Microfinance Plc ya 2015

    Hukumu katika kesi ya Agness Buhere vs UTT Microfinance Plc ya mwaka 2015 ni mwongozo tosha wa kulinda haki za waajiriwa walio kwenye kipindi cha majaribio (probationary employees). Naambatanisha.
  19. L

    Kwa hapa alipotufikisha Rais Samia anastahili kupongezwa, kuungwa mkono na kutiwa moyo, alipokea nchi katika kipindi kigumu sana

    Ndugu zangu mnyonge mnyongeni lakini Haki Yake mpeni, Rais Samia Anastahili kupewa Haki yake, Haki ya kupongezwa, kuungwa Mkono, kupewa Faraja, kutiwa Moyo na kupewa ushirikiano. Rais Samia Alipokea Nchi katika Kipindi Kigumu Sana kiuchumi, Alipokea Nchi kipindi Cha mlipuko wa ugonjwa wa CoVID...
  20. Ni zawadi gani nzuri, inayoweza kumfurahisha na kumuachia kumbukumbu ya furaha mkeo/mumeo aliyepitia changamoto kali kipindi cha nyuma?

    Nawaza zawadi ya kumpatia mke wangu kama 'surprise' tu, kutokana na changamoto alizopitia mwaka jana, mwezi kama huu, mpaka ikafikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi. Alifiwa na mzazi wake aliyempenda sana; aliyekuwa akimuuguza muda mrefu. Kabla ya mzazi wake hajafariki, ndani ya wiki mbili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…