Wakuu, naomba msaada kwa wenye uzoefu kuhusu mada tajwa hapo juu.
Nimeona baadhi ya nafasi za ajira zinazotangazwa kupitia Ajira Portal, hasa upande wa ICT/Software Development, mfano nafasi za Systems Analysis. Kwenye baadhi ya nafasi hizo, moja ya vigezo vinavyotajwa ni mwombaji kuwa na...