kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. Sitaki kusikia watu wakimlaumu tena mangungu kua hafai kua kiongozi bali nataka kusikia ikilaumiwa safu nzima ya uongozi wa simba na tuliompigia kura

    Sasa hivi sitaki kusikia watu wakimlaumu tena mangungu kua hafai kua kiongozi bali nataka kusikia ikilaumiwa safu nzima ya uongozi wa simba na waliomuweka madarakani mangungu kwani kama mangungu angekua hatoshi na hakidhi vigezo asingerudishwa tena madarakani lakini walomchagua nadhani...
  2. Rais Samia atakuja kushinda tuzo ya Kiongozi Bora ya Mo Ibrahim

    Mo Ibrahim Leadership Prize ni tunzo anayopewa kiongozi msataafu aliyetumikia nafasi ya juu kabisa ya uongozi miongoni mwa nchi za Kiafrika, na katika uongozi wake aliheshimu na kuruhusu demokrasia, akasimamia utawala bora na kuondoka madarakani kwa kuheshimu mihula ya kiuongozi na kukabidhi...
  3. Tetesi: Nyumba ya mjane wa Balozi John Rupia Katibu Mkuu Kiongozi (mstaafu) yadaiwa kupigwa mnada

    Fuatilia kinachoendela. Hali hapa Dar sio nzuri, nyumba za wajane zinauzwa usiku na mchana.
  4. Kiongozi yoyote wa chama cha siasa akikaa madarakani zaidi ya miaka 20 bila kuleta mafanikio hafai, anajaza tumbo lake

    ~ Miaka 20 na usheee bila ofisi ya makao makuu yenye hadhi. ~ Miaka 20 na ushee bila kukamata dola. ~ Wabunge wanapatikana kwa mbinde. Hufai kuwa kiongozi.
  5. Tanzania haijawahi kupata Kiongozi kwa tafsiri halisia ya Kiongozi

    Uongozi ni dini na dini ni ibada na dini ni kuungama, kutubu, kuwa msafi, kukataa uwongo na unafiki. Kwa awamu zote za utawala toka uhuru nchi hii haijapata kiongozi , ni ukweli usiopingika haijatokea. Hoja yangu, hawa viongozi wamekuwa na watu wao wanaowaamini, they have had people whom they...
  6. Kagame ni kiongozi mwenye nguvu sana! Na nguvu zake kuu ni uwezo wake wa kijasusi!

    Paul Kagame, rais wa Rwanda anayetunishiana misuli na Felix Tshisekedi wa Congo, wakitupiana maneno, ambayo yanaendelea kudhoofisha mahusiano ya majirani hao! Kwa haya yanayoendelea kubainika kuhusu utawala wa Rwanda ambayo sio mazuri kidiplomasia, lakini mimi yananidhihirishia kwamba nguvu na...
  7. Ni jambo gani unatamani ungepata majibu toka kwa kiongozi wako wa aina yoyote ndani ya 2023 ambalo linaongoza kukukera toka 2022?

    Binafsi the most irritating question ambalo nimevuka nalo ni; 1. KADCO ni ya serikali ama si ya serikali? Hili swali linanisumbua sana japo likajitokeza la nyongeza huku tukiwa tunakatiza mwaka nalo ni, KADCO ikitoa ufafanuzi inaongea kwa niaba ya serikali ama kwa niaba yake? Mwenye most...
  8. Atakayenionesha andiko linalosema mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini nampa laki 1 akale sikukuu

    Wakuu kwema, Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani? Sihitaji Hadithi au andiko...
  9. M

    Picha: Kiongozi wa ACT Wazalendo akijifanya mwema kwa raia kumbe ni mchumia tumbo tu

    Anatafuta kick
  10. Ewe Kiongozi Mwandamizi wana Yanga SC 'wameshakushtukia' kuwa ndiyo umemuuza Feitoto Azam FC hivyo waombe radhi yaishe

    GENTAMYCINE nasisitiza Kwako kuwa acha Kuwazuga kwa kujifanya kuwa Unaumia na Umekereka sana na Dogo Fei kufanya aliyoyafanya. Kwa Taarifa yako tu ni kwamba kuna Masheikh kutoka Zanzibar wameitwa kwa Kazi Maalum juu yako kwa Usaliti uliowafanyia halafu sasa Unawasanifu tu wakati...
  11. Vipi ikatokea unakutana na barua ya Zuhura Yunus kuhusu uteuzi wa Kiongozi Mkubwa wa Upinzani?

    Siasa za Tanzania zina mambo, hivi siku hizi mnajua barua za uteuzi wanakadiria tumelala ndiyo inarushwa hewani. Vipi Ukakutana na barua siku moja kwamba uteuzi wa Mheshimiwa Mbowe ameteuliwa kuwa na nafasi fulani serikalini au nje ya nchi? Si lazima Mbowe, hata Lissu Au Lema? Kwa Zitto huko...
  12. T

    Kama hakuna Mzee au kiongozi yeyote wa kitaifa atamwambia ukweli Mzee Makamba, yajayo yanafurahisha

    Wapo watu wanadhani Magufuli hakuwa na watu na wapo wanadhani Magufuli alifanya Yale hakuambiwa au kutakiwa kuyafanya chini ya Baraza la usalama wa Taifa. Ikumbukwe Magufuli amekufa kwa sababu ya CCM kuendelea kukaa madarakani hii sio siri wala Habari yakuficha Hayati Magufuli amekufa...
  13. Hivi ukiwa kiongozi kama Rais Samia unaweza kuwatambua machawa na wanafiki wako?

    Najiuliza tu maana kama sisi watu wa nje tunaona RAIS WETU anachezewa. Wanamrai rai ilo wanufaike kupitia yeye, sio kwamba ni kweli wanampenda na kwamba yale wanayomsifia ni kweli yupo nayo. Ina maana hajui hawa si kweli wanayosema juu yangu. Ni wananipaka mafuta kwa mgongo wa chupa kwa sababu...
  14. CCM wanaleta siasa za kijima. Wanapanga wenyewe sherehe baadaye anatokea kiongozi wao anaghairisha ili wapate sifa

    Huu mchezo nilikuwa naukemea tangu enzi za Magufuli. Hii leo ni zaidi ya mara 4 sherehe za kitaifa kughairishwa na viongozi kisha fedha kuamuru zipelekwe kwingineko. Rais hupatiwa kitabu chote cha bajeti kabla haijasomwa naye hutoa mapendekezo au amri zake. Kisha hurudi kwa wahusika. Sasa huu...
  15. M

    Ni nani aliyekuwa ameandaliwa na Hayati Magufuli kuja kuwa Katibu Mkuu CCM baada ya Bashiru kula kiapo cha kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?

    Hili liko wazi kuwa Bashiru kuendelea kuwa katibu Mkuu CCM baada ya kuwa katibu Mkuu Kiongozi ilikuwa ngumu. Magufuli alikuwa tayari ana plan B ya kumpata Katibu Mkuu CCM pamoja na Katibu Mwenezi CCM, maana Polepole tayari alikuwa ameshasukumizwa bungeni tayari. Sasa mimi nauliza ni kina nani...
  16. Tundu Lissu: Mali ikikamatwa, isipokombolewa ni ruksa kupigwa mnada

    Tundu Lissu amesema mali isipokombolewa baada ya kuzuiliwa, itapigwa mnada ili kufidia deni linalodaiwa. Kwa muda gani, inatagemea mkataba Serikali uliongia. Tundu Lissu alikuwa anajibu swali la mdau aliuliza nini kitatokea kama Serikali itashindwa kulipa deni lililopelekea ndege kukamatwa...
  17. Dk bashiru ndiye katibu mkuu kiongozi aliyedumu kwa muda mfupi zaidi,siku 37 tu!

    aliteuliwa tar 26 februali na kutumbuliwa tar 31 march! kwani mama alimuondoa haraka sana je alikuwa kirusi? kwa nini hakumpa muda hata wa mwaka mmoja kuna mahali huenda hawakuwa sawa hata kabla ya magufuli kurest in peace? je mama hakupendezewa na uteuzi wake? na hayo yanayotokea sasa msigano...
  18. Huyu Ndiye kiongozi niliyemkubali kuliko wote ktk utawala wa hayati Magufuli

    Simjui Jina ila nakumbuka alikuwa Engineer na mkuu wa mkoa Geita, mfuasi wa jamaa mmoja tajiri na mchungaji Nigeria, Mzee Oyadepo wa winners chapel nadhani. Jamaa alikuwa anaongea mambo ya kitaalam Kwa nguvu nyepesi Sana. Nikiwa kwenye Bajaji na jamaa wawili waliokuwepo Geita enzi za huyo...
  19. Tatizo la mgawo/kukatika toka hivyo kwa umeme ni aibu sana kwa Serikali ya Tanzania chini ya Chama Cha Mapinduzi!

    Kama kuna eneo ambalo serikali ya JMT inayoongozwa na TANU/ASP kisha CCM tangu uhuru 1961 imefeli spectacularly kisera na kimipango ni la upatikanaji wa huduma bora na ya kuaminika ya nishati ya umeme. Ni aibu sana kuwa na umeme usioeleweka na unaokatikakatika hata mara 50 kwa siku. Sababu...
  20. Natamani kiongozi wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani ajengewe sanamu

    Naandika haya nikijinasibu kutokuegemea kwenye dini yeyote au zozote zilizo katika dunia yetu hii pendwa ndogo sana inayoitwa Earth.Nimesema dunia yetu ni ndogo sana maana ni kama punje tu dhidi ya sayari zingine zilizo angani kama Jupiter.Dunia ni kama punje ya mtama dhidi ya mpira wa basket...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…