Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Dar es Salaam, Ali Bananga amesema “Tupo na Rais Samia hadi Mwaka 2030, ukipenda ndio hivyo, kama hupendi ndio hivyo, maana yake tuna miaka 7 ya kuendelea kuufaidi ustaarabu wa mama yetu.
“Ni miaka 7 ya mafunzo kwa ajaye, tunaamini anayekuja ataendeleza...
Senegal imezuia upatikanaji wa Huduma za Intaneti kwa kile kilichodaiwa na Waziri wa Mawasiliano kuwa ni kutokana na kuenea kwa "ujumbe wa chuki" kwenye Mitandao ya Kijamii.
Hatua hii inakuja baada ya Kiongozi wa Upinzani, Ousmane Sonko kukamatwa Wiki iliyopita na kushtakiwa tena Jumamosi...
Ndugu mtanzania mwenzangu,
Wewe unayetamani siku moja kuwa kiongozi wa taifa hili kwa kuteuliwa au kuchaguliwa ni vyema ukafahamu siri hizi ili kama hauna sifa hizi uanze kujipanga mapema.
Zipo sifa ambazo ukiwa nazo ndipo utaweza kuwa kiongozi wa taifa hili. Na hizi zinatumika katika mataifa...
UWAJIBIKAJI WA KIONGOZI: NJIA YA KUJENGA IMANI NA KUIMARISHA UTAWALA BORA
Utangulizi
Uwajibikaji wa kiongozi na utawala bora ni mambo muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii na kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi. Kiongozi anayejali uwajibikaji na kutenda kwa haki na...
#Update KESI YA BANDARI.
Majaji wanaingia muda huu saa 09: 20
MAJAJI watatu;
1. Hon. Ndunguru
2. Hon. Ismail
3. Hon. Kagomba
Wote wameinama wanaandika
Anasimama wakili wa serikali kutambulisha mawakili wa pande zote.
MAWAKILI WA SERIKALI;
1. Adv. Mark Muluambo
2. Edson Mwaiyunge
3...
Friends and Enemies,
Hali inazidi kuwa mbaya, katika mkutano wa CHADEMA na maaskofu katika suala lao la kulumbana na serikali juu ya masuala ya bandari maaskofu wamezidi kutema kauli zao ambazo ni tatanishi.
Amesikika kwa uwazi kabisa Askofu Mwamalanga akisema kwamba wao kama maaskofu...
Nimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi.
Nabaki najiuliza ilikuwaje akarudi tena kugombea ubunge wakati hiyo level alishaipita?
Au yeye binafsi alivipima viatu vya Rais akaona havimtoshi?
Mungu wa...
UKIONA KIONGOZI ANATUMIA LUGHA ZA KUTISHA WATU, JUA HUYO NI DHULMATI"MDHALIMU", MASHETANI NDIO HUFANYA HAYO.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Saikolojia ya mtu mwovu anapokabiliana na Mijadala hukimbilia Vitisho. Yupo mwovu hutoa vitisho Kwa sababu ya kuficha Maovu yake...
Wakuu kwema?
Mada inajieleza kabisa hapo. Leo ni tuwape Mods wa JF pamoja na Muanzilishi wa JF, kioo cha wengi Bwana Maxence Melo maua yao. Sema jinsi Mods na Melo wanavyosaida siku yako iwe nzuri kila unapoingia JF. Ulifanyiwa kitu gani kikakupendeza mpaka ukatamani uwatoe hata ka ofa ka...
---
Hivi Ndivyo Kikwete Anavyomfahamu Rais Samia, 'Anaongoza Nchi Vizuri, Ana UtulivuWakati wa kuahirisha kikao cha demokrasia kilichofanyika jijini Arusha, Rais Kikwete ameweza kukumbushia historia ya safari uongozi wa Rais Samia baada ya swali aliloulizwa na mwandishi wa habari wa The Chanzo...
Nasema msijisumbue kwa lolote juu ya jambo afanyalo kiongozi.
Kweli yangu ni hii.
Mtaji mkubwa wa kiongozi/mtu ni akili.Akili huamua kutenda na kutenda huleta matokeo.
*Akili huzaa fikira/mawazo
*akili huamua kipi kinafaa na kisichofaa,na badae hutengeneza imani kwenye jambo flani.Mfano...
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Abdallah Shaibu, amemuomba Rais Samia kumchukulia hatua za kinidhamu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kwa kushindwa kutoa ushirikiano wakati wa ukaguzi wa nyaraka za miradi waliyoihitaji huku akidaiwa kutoa lugha zisizo rafiki kwa...
Katika makubaliano ya kusitisha uasi wa kundi la Wagner uliofanyika katikati ya mwezi uliopita ilitajwa kiongozi wa kundi hilo angekaa uhamishoni nchini Belarusi.
Kiongozi wa Belarusi,Lukashenko kulipotokea uvumi wa kutoonekana kwa Prigozhin nchini mwake aliitisha mkutano na waandishi wa habari...
Ni dhihirisho tosha kwamba Putin ni mateka kwa mafia wa pale Klemrin, ikikumbukwa alivyobwatuka kwa hasira wakati wa uasi ambao ulisababisha vifo kwa marubani na uharibifu wa ndege kadhaa, uasi ambao ulitetemesha taifa, uasi ambao ulisababisha hadi Putin akaikimbia ikulu na kujficha, ila baadaye...
Hii ni ngumu kumeza lakini ndivyo ilivyo;
Wanasema kiongozi mwenye akili hawezi kuiba wala kula rushwa wala kufanya ufisadi.
Utafiti unasema kwamba kinachomfanya mtu aibe ni tamaa ambazo huongozwa na hisia. Mtu asiye na akili huongozwa na hisia kwasababu ya kukosa maarifa. Hicho ndicho...
"....CCM inawategemea ninyi vijana kukisemea na kuwalinda viongozi wake pasipo kubagua . Mkisimama kwenye msingi huo daima mtaendelea kufaidi fursa zaidi na zaidi."
"....kaweni viongozi wa watu na siyo kuwa viongozi wa kiongozi. Wengi wenu mnatumika na hao wanaokuja CCM na ndoto zao za kuwa...
Tumeshaongea sn hapa juu ya baadhi ya viongozi wa serikali wanaolipwa mshahara wa Watanzania wanyonge kuona km ofisi wanazokalia ni mali Yao. Hili limekuwa likitokea ktk idara mbalimbali za serikali. Unakuta mtu kapewa dhamana kusimamia kundi flani la watu kwa kufuata sheria, utaratibu, na...
Warusi walijitokeza wengi kulaki Wagner na jitihada zao kwenye uasi, ni dhahiri wameuchoka utawala wa Putin ila wanashindwa pakuanzia.
Putin alishauriwa vizuri akaacha mikwara na kutafuta namna ya kuyajenga na Wagner......
Kwa mtu mtu mwenye msimamo Kama yeye na uelewa mpana asingeweza kukubali kirahisi hivyo kufikia makubaliano tata.
Ilichokifanya Urusi ni kuongea na watu wa karibu wamdhibiti kisha wampeleke Belarus na kuandaa propaganda zisizowezekana.
Hawezi kuamini kirahisi kinachosemwa na Urusi na kukubali...
Kukiwa kumebaki kilomita 200 tu msafara wa vifaru vya uasi wa Wagner mara ulisitishwa na kutolewa tangazo kuwa kiongozi wa uasi huo, Prigozhin amesitisha uasi huo na kuwataka askari wake warudi makambini mwao.
Pamoja na hivyo ikatangazwa kuwa kaika makubaliono ya Urusi na kiongozi huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.