kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Israel yashukiwa kufanya mazungumzo na kiongozi wa Doghmush clan, Hamas yaua kiongozi wao

    Hamas yavamia kikundi chenye msimamo mkali Doghumosh Clan Gaza city (13/3.2024) na kuua idadi kadhaa ya wapiganaji wao akiwemo kiongozi wao. Hamas walichukua hatua hii baada ya kikundi hicho kushutumiwa kuwa na mazungumzo na Israel. Hamas imeshawahi kuonya kuwa kikundi au mtu yeyote ndani ya...
  2. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kiongozi ni sifa ila ukikosa sifa moja wapo kati ya hizi haufai kuwa kiongozi na ondoka madarakani

    Uongozi sio tunu wala sio nguo kwa hisani utapatiwa ila ni nidhamu pamoja ushawishi wa kimamlaka ambapo unatakiwa kuvionesha hata kabla haujafika katika ngazi ya uongozi,leo nitaorodhesha sifa tano ambazo kiongozi unatakiwa kuwa nazo hata kabla hujaomba ridhaa ya kuwa mgombea. 1. Nguvu ya...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Houth atoa takwimu ya meli walizozipiga na kusema wanakusudia kupanua wigo wa kuzuia meli za Israel zisipite bahari ya hindi yote

    Abdel-Malik al-Houthi ambaye ni kiongozi wa juu wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mpaka sasa wamefanikiwa kuzishambulia meli zenye mafungamano na Israel zipatazo 73 tanguj waanze operesheni yao ya kuwatetea watu wa Palestina. Kupitia televisheni inayomilikwa na wanamgambo hao Abdel Malik...
  4. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kibonzo: Kuna kiongozi mfu anaangushiwa takataka

    King Kinya, mwandishi wa habari wa aina yake, leo katoa mpya. Katika gazeti la Mwananchi pg 8, kibonzo, cartoon yenye utata imesheheni. Kuna kaburi la mtu, inaelekea ni huko mikoani, maana hakuna kaburi lingine karibu, linafukiwa hilo kaburi na takataka, za watu waliokula na kushiba. Aina ya...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiongozi shupavu na mwenye ujasiri

    Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kiongozi shupavu na mwenye ujasiri tangu alipoingia madarakani. Kama mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya urais nchini Tanzania, Rais Samia ameleta mabadiliko makubwa na kuleta matumaini mapya kwa wananchi wa Tanzania na kwingineko. Uongozi wake unaonyesha...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mwingine wa HAMAS auawa Lebanon ndani

    Poleni kwa msiba.... The IDF Spokesperson's Unit confirmed that a fighter jet killed Hamas terrorist Hadi Mustafa on Wednesday. Mustafa was a key Hamas operative and significant in directing terror squads and promoting attacks against Israel. Mustafa was killed while in a vehicle on Wednesday...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Guinea yamteua Kiongozi wa upinzani kuwa Waziri Mkuu mpya

    Jeshi linaloongoza Serikali ya Guinea limemteua Mamadou Oury Bah aliyekuwa kiongozi Mkuu wa Upinzani kuwa Waziri Mkuu siku chache baada ya Watu wawili kuuawa (Februari 26, 2024) baada ya Polisi kukabiliana na Waandamanaji wakati wa mgomo wa Wafanyakazi Nchini kote wakidai kupunguzwa kwa bei ya...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Hassan Salami kiongozi wa Hezbollah auawa na IDF

    Hivi, viongozi hawa hupata zaidi ya mabikira 72?? The IDF said Salami was the commander of a regional unit in Hezbollah and oversaw attacks on IDF troops and Israeli communities in northern Israel. Recent actions that Salami was involved in included anti-tank missile attacks on Kiryat Shmona...
  9. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Ni ahadi zipi zilitolewa na kiongozi wako ambazo hazijatekelezwa mpaka sasa?

    Si vyema kuweka ahadi ambazo unajua huwezi kuzitimiza au zisizotekelezeka. Baadhi ya watu hupatwa na msongo wa mawazo na kupoteza uaminifu kwa kushindwa kutimiza ahadi. Uwekapo ahadi hugeuka deni, na usiku wa deni haukawii kukucha. Je, ni ahadi zipi ziliwekwa na kiongozi wako ambazo...
  10. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa umma kumiliki vitu vya anasa huku kundi la unaowatawala wakipitia dhiki haijengi taswira nzuri

    Hakuna hali inayokera na kuleta uhuzuni kwa kundi kubwa la watawaliwa kama kuona kiongozi wao akiishi maisha ya anasa huku wao wakizidi kutumbukia katika lindi la umasikini. Tanzania kuna watu wengi sana wanaishi katika dhiki isiyo ya mfano, kama wewe ni mtafutaji wa mtaani au pembezoni mwa mji...
  11. USSR

    JamiiForums Tanzania Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

    Hii hapa saa ya mama yetu mama wa mfano , Pesa hizo ni madarasa 12 ya Shule hapa Tanzania nchi maskini ila yenye rasilimali za kutosha Mama anaupiga mwingi
  12. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Ungependa kiongozi gani aje Jukwaani kutoa majibu na ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayoendelea nchini?

    Habari wadau, Jamiiforums imekuwa sehemu ya wanachama kushiriki kutoa maoni yao, kuelezea kero zao na kupata ufafanuzi juu ya masuala mbalimbali nchini, nafasi inayowawezesha kufanya maamuzi mkiwa na taarifa sahihi na zenye ubora. Wapo viongozi wachache kama Dkt. Gwajima D ambao wamekuwa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kama tumekata tamaa kiasi hiki kwenye suala la kupiga kura, kuna matumaini ya kupata viongozi bora?

    Wakuu, Haya ni baadhi ya majibu kutoka kwenye uzi huu; Kwanini hupigi kura licha ya kuwa una sifa zinazokuruhusu kufanya hivyo? Majibu haya yanaakisi majibu ya wengi juu ya zoezi la kupiga kura na kuwachagua viongozi bora kwa maendeleo ya nchi. Kama haya ndio majibu ya wengi wetu, ina...
  14. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kiongozi wa Upinzani Urusi na mkosoaji mkubwa wa Rais Putin, Alexei Navalny afariki dunia akiwa gerezani

    Mamlaka zimesema kuwa kiongozi wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny, amefariki ndani ya gerezani la Arctic. Akionekana kama mkosoaji mkubwa wa Rais Vladimir Putin, Navalny alikuwa akitumikia kifungo cha miaka 19 kwa makosa yanayochukuliwa kwa kiasi kikubwa kuwa ya kisiasa. Alihamishiwa...
  15. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ukimchagua kiongozi asiyefaa, umechagua maisha mabaya kwa miaka 5

    Kufanya maamuzi mabaya wakati wa uchaguzi kunawagharimu watu wengi sana, wengi hukubali kurubuniwa kwa rushwa au ahadi za madaraka, upendeleo au kumchagua mtu kisa ni wa chama chake hata kama hafai. Huuza haki yao ya msingi ya kufanya maamuzi yao binafsi na sahihi kwenye boksi la kura. Wakati...
  16. 2019

    JamiiForums Tanzania Makonda ni kiongozi mzuri ila mfumo unamkataa. Ni hatari kwake

    Nisiwe mnafiki, huyu kijana nilimchukia sana enzi za Magufuli. Baada ya Magufuli kutangulia na uongozi dhaifu wa Samia asee Makonda ni bonge la kiongozi. Nimegundua hilo kupitia ziara zake mikoani. Hata kama ni kisiasa lakini asemayo mtu yanatoka moyoni mwake. Kwa spidi ya huyu kijana mapapa...
  17. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Nilitarajia CHADEMA wangetumia msiba wa Lowasa kuiomba msamaha familia yake

    Habari zenu wanaJF wenzangu Kwanza natoa pole kwa familia ya mzee wetu hayati Edward Lowasa kwa kuondokewa na kipenzi chao, natoa pole pia kwa watanzania wenzangu kwa kuondokewa na aliewahi kuwa waziri mkuu wetu hayati Edward Lowasa. Ki ukweli huu msiba umewashtua wengi wakiwemo ndugu zake...
  18. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Nani aliyesema mafisadi wanaweza kutaka kiongozi mwenye kuwadhibiti? Kati yao, nani atake tena kiongozi kama Magufuli?

    Siku zote fisadi ni kama mtu kipofu asiyeelewa wala kujua kama naye ni mtu wa kufa kama ilivyo kwa wengine Kazi kubwa kwao ni kuiba na kukusanya mali pasipo kujua uhalali wa makusanyo hayo, kwa bahati mbaya kabisa, hata wakiwa navyo vyote, bado watataka na kingine kutoka mahali popote na kwa...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Top Hezbollah commander hit in apparent Israeli strike as air force head threatens more

    A burning car is seen in the southern Lebanese town of Nabatieh after it was struck in a reported Israeli airstrike on February 8, 2024. (Screenshot from X used in accordance with clause 27a of the Copyright Law) An apparent Israeli drone strike Thursday in southern Lebanon targeted two...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kuna ugumu/uzito gani kuweka wazi Afya ya Kiongozi pale anapougua?

    Habari! Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma. Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo. Kuna ugumu gani...
Back
Top Bottom