kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Ukiona kiongozi yoyote mng'ang'ania madaraka Duniani, ujue ana asili ya Afrika

  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Makonda ampa Kiongozi wa Ardhi dakika 5 kutoa hati ya Mwananchi

    Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amemtaka kiongozi wa ardhi kumpatia haki babu wa miaka 81 ndani ya dakika tano kwani hati hiyo ameifuatilia kwa muda mrefu sana.
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ebrahim Raisi atakumbukwa kama kiongozi jasiri zaidi wa Iran aliyeikuza nchi yake kiteknolojia

    Pamoja na kukalia kiti cha uraisi kwa kipindi kifupi, marehemu Ebrahim Raisi wa Iran aliyekufa kwa ajali ya helkopta atakumbukwa kama mmoja wa viongozi mashujaa wa nchi hiyo. Katika kipindi chake vitu vingi visivyotarajiwa kufanywa na nchi ambayo haijatajwa kama nchi iliyoendelea kama zile za...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tuunde ofisi ya kiongozi mkuu wa taifa (ayatollah wa taifa) ambaye atakuwa ndiye "brake" ya rais

    Sifa zake:- 1. Awe ni rais mstaafu wa JMT mkongwe kuliko wote. 2. Awe amehudumu kiti cha urais kwa mihula 2 (miaka 10). Majukumu yake. 1. Kuridhia maamuzi ya serikali juu ya uuzwaji ama ubinafsishai wa rasilimali za nchi. 2. Kumpa ushauri rais juu ya masuala yote yahusuyo nchi. 3. Kumuwajibisha...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Breaking Kiongozi Mkuu wa kigaidi auawa huko Rafah na Jeshi la Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Israel imemuua Kiongozi Mkuu wa kundi la kigaidi la Islamic Jihad Katika operesheni ya kijeshi huko Rafah Kiongozi huyo mkubwa wa magaidi anaenda kwa jina la Islam Khamayseh alikuwa anasakwa na IDF Kwa muda mrefu kwa mauaji aliyofanya Mungu ibariki Israel IDF kills...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu kiongozi wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar azindua mtandao wa Tshrmnet

    KATIBU MKUU KIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR AZINDUA MTANDAO WA TPSHRMNET. Na Prisca Libaga, Arusha. Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Zena Said amezindua rasmi mtandao wa mameneja rasilimali watu katika utumishi wa umma barani Afrika ,Tawi la Tanzania...
  7. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Serikali ya Tanganyika Soma Hii; kwa Nini Viwanda Vidogo Nchini Pakistan ni Vingi?

    Viwanda vile huitwa Cottage au SSI's kiufupi ni households industries, Karibia asilimia 45 ya vijiji vya Pakistan vinajitosheleza kwa mahitaji ya Viatu, Pamba kutoa nguo, spare za pikipiki, Cherehani, na vifaa vya kilimo, Kila familia ina Kiwanda kidogo na havifanani bidhaa. IPI NI FAIDA YA...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Jafari Chege amesema kiongozi mzuri ni yule anayeweka alama kwa wananchi

    Mbunge wa Jimbo la Rorya, Mhe. Jafari Wambura Chege amesema ndani ya siku 30 Serikali itaanza matengenezo ya Barabara ya Nyarombo - Siko - Busanga ya Kilometa 8 baada ya Serilkali kutenga Milioni 90 kwaajili ya Matengenezo hayo. Mhe. Jafari Chege amesisitiza wananchi wa Kijiji cha Busanga Kata...
  9. Comrade Ally Maftah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sabaya ni kiongozi imara mwenye uwezo wa kipekee

    SABAYA NI MOJA YA VIONGOZI WENYE UWEZO MKUBWA SANA KUSIMAMIA SERA NA ILANI YA CHAMA Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Mimi ni kati ya watu wanaoamini kwamba "MAPUNGUFU YA BINADAMU NDIO UKAMILIFU WAKE" Ninavutiwa sana na aina za siasa anazofanya kaka yangu Sabaya, na nilipata tabu kiasi...
  10. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kila badiliko lazima liwe na kiongozi wa kulihamasisha

    Watu ni mtaji mkubwa sana katika kuleta mabadiliko yo yote yale ya kijamii. Haijalishi watu wako na utayari kiasi gani, pasipo kiongozi wa "kulianzisha", matamanio yao yatasalia ndotoni. Wakati mwingine, si lazima watu wajue kuwa wanao uhitaji, lakini itamlamzimu kiongozi kujua uhitaji wa watu...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kwa upande wako kiongozi mwenye sifa zipi ndiye mtawala bora?

    Moja ya sifa ya kuna demekrasia ni uwepo wa utawala bora, dhana hii ya utawala bora imekuwa na mtazamo tofauti tofauti kutoka kwa mtu mmoja kwend akwa mwingine, kila mtu amekuwa akiweka kipimo cha kumjua mtawala bora kulingana na na jinsi alivyokuwa akitegemea kuongozwa na mtawala au kiongozi...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Mtu anayetafuta madaraka kwa kufarakanisha wenzake hafai kuwa kiongozi kwenye chama chetu

    Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake mkoani Songwe na kuongeza kwamba “mtu anayetafuta madaraka kwa misingi ya...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ukijihisi una wito wa kuwa kiongozi wa kisiasa usisite, thubutu

    Dhamira yako ya ndani kabisa, ikupe ujasiri wa kuanzia hapo ulipo, tena kwa mambo madogo kabisa yaliyo ndani ya uwezo wako. Mawazo yako, maono yako, ubunifu wako, ushauri wako, ujengaji hoja wako uthubutu wako kwa maneno na matendo ndio viwe vyanzo vya ushawishi wako kwa jamii. Hicho ndicho kiwe...
  14. OlaryMoleli

    JamiiForums Tanzania Natamani kuwa kiongozi wa Kitaifa

    Poleni na majukumu ndugu zangu elimu yangu ni advanced Diploma in Accounting. Natamani Sana kuwa kiongozi wa Taifa hili lakini kila nikiangalia uwezekano wa kupata nafasi nakwama kwa sababu kila Chama hakioneshi mwanga wa kuingia bila INTEREST.
  15. 100 others

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Israel anamlalamikia Biden kuwa anaiumiza nchi yao

    Amichai Chikli: Biden admin. doesn't project power, I would choose Republicans Jamaa analalama Biden anaiumiza Israel kwa sera na kauli zake. Ameenda mbali zaidi na kusema laiti kama angekuwa mwananchi wa US basi angempigia Trump kura yake. Anachozungumza huyu waziri wa mambo ya diaspora...
  16. Utajua wewe

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kukusaidia kuushinda mwili usiwake tamaa

    MBINU ZA KUKUSAIDIA KUUSHINDA MWILI USIWAKE TAMAA. Nukuu; kwanza zinaa huwezi kushindana nayo ,bali nikuikimbia. "KILA MMOJA Wenu Ajue KUUWEZA MWILI WAKE katika UTAKATIFU na HESHIMA; Si katika HALI ya TAMAA MBAYA, KAMA MATAIFA Wasiomjua MUNGU." (1 Thes 4:4-5) ✍🏽MOJA, Dhamiria Kutoka Moyoni...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Ukipewa nafasi ya kuwa Kiongozi kwa siku moja ni kitu gani utabadilisha cha kwanza?

    Ikitokea umepewa fursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, unapata nafasi ya kufanya mabadiliko katika sehemu uliyopo na kubalisha kitu kimoja kwenye sehemu uliyopewa uongoze. Ikitokea ninafursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, ningependa kuwa kiongozi wa taasisi ya elimu, kama chuo kikuu. Elimu ni...
  18. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Ester Matiko Bungeni na Reaction ya Serikali na kiongozi wa Bunge inaumiza na kusononesha

    Preamble : jamaa mmoja ughaibuni alikamatwa na polisi akisingiziwa na mkewe kuwa kampiga. Pamoja na kusingiziwa polisi na mwendesha mashtaka walihakikisha anapelekwa mahakamani japo hakuna ushahidi. Wakati aki deal na polisi kuhusu kesi walimwambia kuwa hata kama hakuna ushahidi ni lazima...
  19. mama D

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelewe nafasi ya Rais kama Kiongozi wa nchi na tumheshimu Rais Samia Suluhu Hasani

    Watanzania tumheshimu na kumuombea sana Rais wetu Samia Suluhu Hasan tusisahau kwamba Rais wa nchi amebeba hatma ya nchi na wananchi wake Nimesikia na kufuatilia kwa uchache sana mambo yanayoendelea mitandaoni na vile yanavyopokelewa na jamii ya watanzania nimejifunza mambo muhimu moja kubwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Dini anayetakiwa kuwa Mfano kujihusisha na Biashara ya Watumwa hii imekaaje?

    Wote tunajua madhara tuliyopata kutokana na Biashara ya Utumwa; Tena ambayo ilituwrka sisi waafrika kama bidhaa ya chini kabisa ya Watumwa. Naomba mtu anionyeshe andiko linaloonyesha Yesu kujihusisha na Biashara ya Watumwa. Vinginevyo Mwamba hapa anayeusumbua Ulimwengu kwa vita zote zinazotokea...
Back
Top Bottom