kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya akiri serikali yake kuua waandamanaji GenZ 2024. Rais Samia na serikali yake wanaweza kuwa na ujasiri huu kwa mauaji ya 29/10/2025?

    Rais wa Kenya, William Ruto, amekiri kuwa kulikuwa na makosa katika namna Serikali ilivyoshughulikia maandamano ya vijana wa Gen Z mwaka 2024, akitambua maumivu yaliyosababishwa na vifo, madai ya kukamatwa kiholela, kutoweka kwa watu na matumizi ya nguvu kupita kiasi... Ruto ametoa kauli hiyo...
  2. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Alipowaambia wananchi a.k.a CHADEMA pambaneni mpate katiba mpya nilijua tu kazi imemshinda na siku zake zinahesabika

    Uongozi ni kipaji kinachokuongoza uongee nini , Kwa akina nani na Kwa wakati gani Lakini kama wewe ni kiongozi alafu lile linalokujia kichwani ndio unalolisema wewe huna sifa ya kuwa kiongozi tena kiongozi no 2 wa nchi Kama alitaka kuzungumzia katiba mpya ilitakiwa awambie wananchi wao kama...
  3. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo nisikie kiongozi wa dini anasema utawala hutoka mbinguni.

    Walah najiapiza siku hio nitajulikana.. Kama kweli uongozi unatoka kwa Mungu inawezekanaje yule mtu ambae..Mungu aliwaidhinisha wote akawapa kibali cha kuongoza leo analazimishwa kujiondoa!! How comes!! How is that possible?? AU kibali cha uongozi Mungu ambacho hua anatoa ni kwa Rais tu...
  4. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Hatuumii kiongozi kustaff bali ni zile stahiki atakazoendelea kupokea ili hali hajalitumikia Taifa kwa muda mrefu katiba ibadilishwe kwakweli

    Viongozi wetu kuweni wavumilivu muombeni sana Mungu, mjue kuwa mnavyojihudhuru mnalitia hasara Taifa na sisi Watanzania. Kuweni wavumilivu mwishoni mtavikwa taji la USHINDI Taifa linaanza kuwapa stahiki ili hali hawajalitumikia Taifa ipasavyo. Tunaomba katiba ibadilishwe katika kipengere hicho...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Katika nchi zinazojitambua, kumlazimisha kiongozi anaetetea haki za wananchi kama Dr. Nchimbi kujiuzulu kutasbabisha ghasia za kupindua nchi

    NI Tanzania tu ambapo wananchi wanakaa kimya pale ambapo watetezi wa haki zao kama kina Ben Saanane, Ali Kibao, Luhaga Mpina, Tundu Lissu, Job Ndugai, Hamphrey Pole Pole au hata Dr. Nchimbi, wanaondolewa katika uongozi, kutekwa na kuuwawa au kufunguliwa kesi za mchongo na watu wanakaa kimya tu...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anashindwa uchaguzi Zambia anaisingizia Tanzania, hii ni maajabu aise

    Yuko wapi mh. Brian Muntayala Mundubile kiongozi wa upinzani Zambia alieisingizia Tanzania kufuata kukataliwa kwake na wananchi wapiga kura wa Zambia? Halafu, hivi kwanini viongozi wa wa upinzani Africa wakisense kukataliwa na wananchi kupitia sanduku la kura lazima watoe visingizio visivyo na...
  7. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Kwa kumkataa kiongozi wa kanisa, binti yangu kafukuzwa kanisani na kusingiziwa wizi

    Very sad, mtu kaenda kanisani kumfuata Yesu, wewe kiongozi wa kanisa kutwa nzima ni kumsakama tu binti yangu ili ulale naye. Msichana kakukataa umeanza kumsambaza eti ni mwizi, hii sio sawa, nataka sheria ichukie mkondo.
  8. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Zambia aliyeonesha dharau kwa Tanzania afuatiliwe anachafua nchi yetu anatumiwa na wasiopenda Amani ya nchi yetu.

    "UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa wameamua kutumia mbinu za Tanzania. Zambia si Tanzania na Tanzania si Zambia. Hii ni Zambia, hatuwezi kutumia mbinu za nchi zilizofeli katika demokrasia. Wale wanaofikiri wanaweza kutumia mbinu zilizotumiwa na Tanzania, hawawezi...
  9. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mzee Joseph Butiku, Respect is not granted like a cake on the plate. Respect for public leaders is earned!!

    Wazee kama hawa wanatukosea sana vijana. Tukiwakosoa, wanatuona hatuna adabu wala heshima kitu ambacho sio kweli kwa sbb wao ndio wakekosa kujiheheshimu ili na jamii iwape heshima yao.. Laiti angejua kuwa heshima hapewi mtu kwa sababu tu ya umri wake au cheo chake, basi asingeweza kutoa...
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Murtaza Mangungu ni Kiongozi bora kuzidi Engineer Hersi Said

    Mara baada ya kupata wasaha wakumsikiliza mara kadhaa, nimejiridhisha kuwa ndugu zetu wa Simba wana kila sababu ya kuhakikisha anabaki madarakani ili kuimarisha timu yao. Sioni kiongozi wakumzidi pale Simba, huyu anaweza kuongoza hata taasisi kubwa na ya heshima kama Yanga au Ikulu. Hongereni...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba Yaalikwa AZAM TV

    1. Umuhimu wa Vitabu na Elimu Mohamed Said anasisitiza kuwa maarifa ya kweli yamehifadhiwa katika maandishi: "Elimu yote ipo kwenye vitabu Siwezi kuipata kwingine kokote". "Hakuna kitu kinaweza kuchukua nafasi ya kitabu". 2. Tofauti ya Kitabu na Teknolojia (Tablet) Anabainisha kuwa ingawa...
  12. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kuna kiongozi alipambana kumkomboa mtu mweusi zaidi ya Nyerere?

    Ukisikia viongozi weusi utaona wanatajwa sana Mandela, Nkrumah, Lumumba et al. Nyerere unakuta si maarufu sana kwenye majukwaa ya kimataifa, lakini kuna kiongozi kaipambania Africa kumzidi Nyerere? Hospitali ya Nyerere Angola.
  13. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 KATAVI: Kiongozi wa CHAUMA avaa nguo za CHADEMA na kuanza kumshambulia Heche mbele ya waandishi wa habari

    Huyu ni kiongozi wa CHAUMA kavaa nguo za Chadema na kujifanya yeye ni Katibu wa Bavicha Mkoa wa Katavi, kaitisha press na kuanza kuishambulia Chadema na Makamu Mkiti John Heche. Nafikiri wanasheria wa Chadema waanze kuwachukulia hatua za kisheria watu kama hawa wanaojipachika vyeo bandia...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kiongozi gani wa CHADEMA anaweza kuwania urais 2030 na kuleta ushindani kwa CCM kati ya hawa?

    Hapa ni kuona ni kiongozi gani wa CHADEMA anaushawishi humu JF. Unaweza kutoa na maoni yako kwa nini unafikiri kiongozi uliyemchagua anaweza kushika nafasi hiyo. Upande wa CCM 1. Emanuel Nchimbi 2. Kassim Majaliwa Ndio wananguvu humu JF. Ingawaje nusu ya wapiga kura hawaitaki CCM. Karibuni
  15. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Kimila wa ki-Maasai atoa wito wa kuwepo uwiano endelevu kati ya binadamu, mifugo na wanyamapori Ngorongoro

    Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO kilihitimishwa katika Kituo cha Maonesho cha BEXCO jijini Busan, Jamhuri ya Korea, Julai 29, 2026. Mkutano huo wa kihistoria wa siku 10 uliidhinisha jumla ya maamuzi 28 kuhusu maeneo mbalimbali ya urithi wa dunia, huku maeneo mapya 25...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche: Kiongozi wetu alikamatwa akiwa mzima, hakuna taarifa hata moja tutaipuuza

    Kiongozi wetu na Mwenyekiti wetu alikamatwa akiwa mzima, Taarifa Kama hizi za kuhusu kujaribu kucheza na maisha yake hazitakubalika. Serikali hii dhalimu inapaswa kumuachia Lissu haraka. Sisi Tunafuatilia kila kitu na hakuna taarifa hata moja tunaipuuza.
  17. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tanzania si Kila kabila lifaa litoe viongozi wa juu, usaliti ni mwingi sana ongezeni upembuzi wa nani awe kiongozi wa juu

    Kuna wale ambao akishatenguliwa tu tayar anakuwa mpinzani...kabila lake halifai kuwa kiongozi. Kuna wale hawawezi kukaa na kitu moyoni yani hawana Siri...wakibainika kabila lake halifai kushika nyazifa za juu waishie kwenye uheadmaster. Kuna wale hawawezi kuwaheshimu viongozi waliojuu...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Kijana wa Mtaani Inavyonunua V8 la Kiongozi Kwenda Kuhonga Binti wa Chuo: Kifo cha Heshima ya Mwanaume Tanzania

    Leo naomba tusiangalie matatizo ya nchi yetu kama matukio yaliyotengana. Naomba tuunganishe doti (connect the dots) kuona jinsi mzunguko wa fedha za umma (fiscal flow), ununuzi wa magari ya kifahari ya serikali, na uozo wa maadili mitaani na vyoni unavyohusiana moja kwa moja. Ukweli mchungu ni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ameigiza ila ndio uhalisia wa wa Kiongozi mmoja wa Serikali ambaye anapenda kuwadanganya watanzania

  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi mnafahamu wenzetu wanamaisha ya raha sana unaweza kuishi na jirani wala usimfahamu kuwa ni kiongozi

    Wenzetu wanamaisha tofauti na huku afrika.Unaweza kupishana na kiongozi mkubwa mtaani wala usimjue kabisa. Wenzetu wamejijengea kutofautisha kazi na nzengo. Sio wote ambao wanafanya hivyo ila wengi wao wanataka kuishi hivyo. Kuna vyeo vinaweza kukufanya kuwa tofauti ila vyeo vingi kwa wenzetu...
Back
Top Bottom