papag
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 1,249
- 1,889
WAPINZANI TANZANIA BADO WAMEMKALIA KOONI WAZIRI KATAMBI
Nibaada ya waziri wa mambo ya ndani Tanzania Patros Katambi akijibu swali la mwandishi kuwa ametumia kifungu gani cha sheria kufungia mikutano ya vyama vya saasa,.anasema,!
"Kama mnahisi sina mamlaka hayo na mnakwenda mahakamani mkijua kabisa mimi ndiye waziri wa mambo yote ya ndani ya nchi,basi tukutane hukohuko ili niwabane vizuri kwenye utawala wa sheria kwa sasa siwezi kujibu maana ntawapa faida tu watu hao"-Katambi
Je unahisi waziri Katambi kuna watu wanamchukulia poa sana?