Geneva, Uswisi. Kiongozi wa asasi za kiraia nchini Tanzania, Martina Kabisama, ameangazia maendeleo yaliyofikiwa na Tanzania katika kuimarisha haki za binadamu, mshikamano wa kijamii na majadiliano ya kitaifa wakati wa kikao cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kinachoendelea mjini...
"Mimi nimetokea familia maskini", "Mimi nimelala kwenye ngozi ya ng'ombe badala ya godoro".... "Mimi sina biashara yoyote na kiasi nilicho nacho benki hakizidi hata Tsh 20m".... viongozi wenye kauli za aina hii HATUWATAKI. Hakuna ufahari wowote kwenye umaskini. UMASKINI NI LAANA.
Ninaandika huu...
Rais wa Marekani amesema kiongozi anayefuata wa juu wa Iran “hatadumu muda mrefu” ikiwa Tehran haitapata idhini yake kwanza ili kuchukua nafasi ya Ayatollah Ali Khamenei aliyeuawa katika shambulio la anga siku ya kwanza ya vita.
“Atalazimika kupata idhini kutoka kwetu,” Trump aliambia ABC News...
Leo nilikutana na clip moja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Chalamila.
Katika clip hiyo Chalamila anasema moja ya sababu inayosababisha foleni zisiishe ni uwepo wa magari yenye namba A, na mengine ambayo ni machafu na hayana AC (kiyoyozi).
Halafu bado mna matumaini ya kuletewa maendeleo na...
Sababu za kijana HECHE amekuwa mfano wa kiongozi bora vijana kumpita Mwigulu.
Kwasababu haonekani fake kama jamaa yetu Mwigulu ambaye ameweka dharau kwa watanzania wa kawaida, fake uzalendo kwa kuvaa bendera na kuwa kati ya mafisadi papa kwa kupata 10% ya miradi hasa ya treni kutoka kwa...
Rafiki yetu kindaki ndaki Iran amepoteza Kiongozi wao Ayatollah Khamenei. Hivyo wizara imuandalie safari Mstaafu
maarufu ya kwenda kutuwakilisha kwenye mazishi huko Tehran
Iraq imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, kwa mujibu wa Shirika la Habari la Iraq (INA).
“Kwa huzuni na masikitiko makubwa, tunatoa pole zetu kwa watu wa Iran na kwa umma mzima wa Kiislamu kufuatia kuuawa kwa mwanazuoni...
Mvutano kati ya Marekani na Iran una mizizi ya kina katika historia, itikadi na mapambano ya madaraka, na kupanda kwa nguvu kwa Maimamu Wakuu (Ayatollah) kulibadilisha kabisa uhusiano huo. Ili kuelewa kama Ayatollah alikuwa “tatizo” kwa Marekani na Iran, ni lazima tuanze kabla ya Mapinduzi ya...
Kiongozi Mkuu wa Iran ameuwawa katika mashambulizi ya Israel na Marekani, vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimesema.
Serikali ya Iran imetangaza siku 40 za msiba wa taifa baada ya kifo cha Kiongozi Mkuu Khamenei kilichotokea siku ya Jana katika mashambulizi ya Marekani na Israel.
Source...
22 February 2026
Jalisco, Mexico
Baada ya kutumia miaka mingi kukwepa mamlaka duniani kote, kiongozi mwenye nguvu wa genge la wahalifu wa Mexico aliuawa wakati wa operesheni ya kijeshi, maafisa wa Mexico walitangaza Jumapili, Februari 22. 2026
https://m.youtube.com/watch?v=FBCVF2cG9c0
Nemesio...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo na wanahabari Mkurugenzi wa Mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia amesema kuwa CHADEMA hawaitambui tume ya kuchunguza yaliyotokea Oktoba 29 kwani imejaa CCM na hata aliowachagua hao walioko kwenye tume ni Mwenyekiti wa CCM
Naona hata yeye ameshajua kuwa ana wakati mgumu.
Juzi amesikiika akiongea kwa unyonge kuwa mimi nitaondoka na watakuja wengine.
Hakuna haja ya kutumia nguvu na kumpeleka Icc kama Rodrigo Durtete mumchukue taratibu msije mkatuletea matatizo mengine
Kiongozi wa upinzani nchini Guinea-Bissau, Domingos Simoes Pereira, ameachiwa huru kutoka gerezani baada ya kukaa mahabusu kwa miezi kadhaa.
Alikuwa mmoja wa wanasiasa waandamizi waliokamatwa na jeshi baada ya kuchukua madaraka mwezi Novemba, kwa mapinduzi yaliyomwondoa madarakani Rais Umaro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.