kinywaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watu wa kanda ya ziwa, hiki kinywaji kwanini mnakipenda sana?

    Kina siri gani sana, Kahama ukikutana na vijana wa kiume watano basi wanne wana hiki kinywaji Nini siri yake?
  2. Je, Anjari ni salama kwa afya za watumiaji hasa huko Tanzania?

    Kinaitwa Anjari aka Heltho. Kuna wakati nimewahi kunywa kama mara 3 hivi. Juzi juzi nilikuja Bongo nikapewa nyumbani kwa jamaa yangu mmoja. Sikuweza kataa nikanywa. Swali je kinatengenezwaje? Yaani wanachanganya nini na nini? Je hakina madhara kiafya? TBS huwa wanalala na wale wa chakula na...
  3. Hapa Burundi Kuna kinywaji kinaitwa Balthazar wanaume wengi Sana wanapenda kunywa

    Hapa Burundi Kuna kinywaji kinaitwa Balthazar wanaume wengi Sana wanapenda kunywa . Hata kina mama wanawashauri waume zao kwenda kunywa. Siku moja katika pita pita zangu nilikutana na mama mmoja akaniambia inabidi uwe unakunywa Balthazar nikamwambia ipo vipi ? , off course alinipeleka katika...
  4. Hiki ni kinywaji gani na kina faida gani mwilini?

    Wakuu Nimetoka kwetu simiyu ndani ndani huko kabisa nimeingia mjini leo na Lori lililobeba ng'ombe. Nimekutana na hiki kinywaji hapa mjini,nikawa nakishangaa.nikataka kukifahamu ni kinywaji gani na kina faida gani mwilini?
  5. T

    IGP piga chini Muliro, kauli ya kumaliza kikao na kupata kinywaji kuanzia saa 1 hadi saa 4:30 alimaanisha ulevi

    RPC Muliro kachonganisha kanisa katoriki na serkali ya CCM kuliko hata aliyemshambulia Fr. Kitima. Kwanza, kama kamanda wa Dar tukio hili kutokea katika mkoa wake ameshindwa kusimamia ulinzi wa raia katika mkoa wa Dar Es Salaam kwa hiyo mkoa hauko salama. Pili, kitendo cha mharifu kuingia...
  6. Polisi kulikua na umuhimu gani kutuambia Fr alikuwa anapata Kinywaji aliposhambuliwa?

    Salamu Jambo dogo namna hii linashindwa kuripotiwa kwa weledi bila kujali athari zake zinaweza kuleta sintofahamu Polisi mnashindwa kuelewa kuwa mnaweza kutengeneza chuki na taasisi kutoka ugomvi binafsi Tunaachaje kusema polisi hawahusiki kwenye hili...tuseme sasa alikuwa amelewa sana...bado...
  7. Tafiti mpya yabainisha ubora wa kinywaji kijulikanacho kama mbege!

    -UTAFITI UNAPINGWA NA UTAFITI-- Utafiti mpya uliofanyika nchini Tanzania na kuchapishwa na jarida kubwa la Nature Medicine la nchini Uingereza, umebaini kuwa lishe ya asili ya Kiafrika ina faida kubwa kwa afya ya binadamu ikilinganishwa na lishe ya Kimagharibi. Utafiti huo uliofanywa na...
  8. Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  9. Kama unajitambua usiende kupata kinywaji baa za mitaani!

    Leo nilikuwa na issue zangu zilizonipelekea kuamka asubuhi sana kwenda kati ya viunga vya Dar kukutana na jamaa yangu. Sasa niliwahi maeneo ya kukutana nikaona wakati namsubiri ebu nikapate vyombo kidogo bar ya karibu. Nikafika bar fulani mandhari inavutia ila nikakuta wamekusanya viti upande...
  10. Kinywaji cha ulanzi: Tufumbue Fumbo la maajabu

    Habari za leo wakuu. Wanyalukolo nimewafikia na wote mkaao nyanda za juu kusini. Wengi mnafahamu kuhusu kinywaji cha ulanzi. Kinywaji hiki huzalishwa kutoka katika aina ya mmea wa ulanzi ambao pia upo maeneo mengi ya nchi hii na barani Afrika. Nina maswali yafutayo ambayo sina majibu. 1. Ni...
  11. Daktari Bingwa: Kuna kilevi kwenye kinywaji cha “energy”

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Juzi niliongea na daktari bingwa anayemiliki hospitali kubwa jijini kuhusu chanzo cha uraibu unaosababishwa na kinywaji cha energy. Daktari huyu alinihakikishia kwamba kinywaji chochote kinachosababisha uraibu lazima kinakuwa na kilevi au dawa za kulevya. Jibu...
  12. Jinsi ya kutengeneza kinywaji cha lemonade mocktail (mojito) nyumbani

    I hope mko vyema Ni kinywaji kinachopendwa na watu wengi na ni kitamu sana Naomba kushare nanyi sikumoja moja muwe mnaenjoy hata mkiwa nyumbani LEMONADE MOCKTAIL mahitaji: Glass 1 Msukumio au kifaa Cha kupondea mchanganyiko wako Ndimu/limao 1 Majani ya mnanaa(mint) Sukari kijiko kimoja sio...
  13. Kinywaji gani ukipendacho zaidi

    Hebu share hapa kinywaji chako ukipendeleacho zaidi na kwa nini unakipenda. Anza Mshana Jr
  14. B

    Kinywaji gani chenye kilevi lakini madhara yake si makubwa hapa Tanzania?

    Asilimia kubwa ya vitu vingi tunavyovitumia inasemekana vina madhara.Nasikia hadi soda eti zina madhara pengine kuliko hata baadhi ya pombe. Kwa lengo la kuwasaidia watanzania wenzetu,pombe ipi angalao madhara yake ni kidogo kuliko zingine? Je ni spirit,lager,light,red wine au ni ipi?Siyo...
  15. B

    Kinywaji gani chenye kilevi lakini madhara yake si makubwa hapa Tanzania?

    Asilimia kubwa ya vitu vingi tunavyovitumia inasemekana vina madhara.Nasikia hadi soda eti zina madhara pengine kuliko hata baadhi ya pombe.Kwa lengo la kuwasaidia watanzania wenzetu,pombe ipi angalao madhara yake ni kidogo kuliko zingine?Je ni spirit,lager,light,red wine au ni ipi?Siyo lazima...
  16. FAHAMU Faida za unywaji BIA kwenye mwili wa Binadam

    Siku zote ukiwauliza watu kuhusu unywaji wa pombe aina ya Bia, watakuambia sio nzuri kiafya, na watakuelezea na matatizo mengineyo yanayoambatana na unywaji wa Vilevi. Je umewahi kufikiria kuhusu faida za unywaji wa BIA kiafya. Sasa mimi sio mchoyo, nimekutana na Kipande cha video hii...
  17. Upekee wa kinywaji chetu cha kipekee

  18. Wale wapenzi wa liquor (whiskey and spirits) tukutane hapa. Tupia picha ukiwa unaenjoy kinywaji chako

    Chat na picha ya kinywaji🥂
  19. Pale kinyesi cha mnyama kinapotengenezwa kupata kinywaji ghali Duniani

    Habari zenu wakuuu. Huko Indonesia kwa muda sasa wamegundua njia bora ya kuzalisha kahawa bora inayoitwa "Luwak coffee" kupitia kinyesi cha mnyama wanayemuita Luwak au "Civet cat". Mnyama huyo pamoja na vyakula vingine anapenda kula mbegu mbivu za kahawa (buni), kwakuwa tumbo lake haliwezi...
  20. C

    Kwa watumiaji wa kinywaji cha Serengeti Lite

    Mimi ni mmoja wa watumiaji wa kinywaji hiki pendwa cha Serengeti Lite Mwanzoni kilipoanza kusambazwa kwa watumiaji chupa zake zilikuwa na maandishi madogo kwenye chupa yanayooeleza tarehe ya kutengezwa na tarehe ya mwisho wa matumizi ya kinywaji hicho na zilikuwa na ladha nzuri sana. Baadaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…