kinywaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa kinywaji cha Serengeti Lite

    Mimi ni mmoja wa watumiaji wa kinywaji hiki pendwa cha Serengeti Lite Mwanzoni kilipoanza kusambazwa kwa watumiaji chupa zake zilikuwa na maandishi madogo kwenye chupa yanayooeleza tarehe ya kutengezwa na tarehe ya mwisho wa matumizi ya kinywaji hicho na zilikuwa na ladha nzuri sana. Baadaye...
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kupostiwa na MC bila ridhaa yako ukiwa unaburudika kwenye sherehe?

    Nilienda kwenye mualiko wa sherehe ya rafiki yangu kuna dada yake alikuwa anaolewa, nikiwa najimwagia moyo na bia kadhaa ukafika muda wa kwenda kusakata rumba, mzuka niliokuwa nao ulikuwa fire 🔥💥 bum shakarakah! 💥🔥Nikajivuta hadi sehemu ya tukio na nikaanza manjonjo yangu kujiachia kwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mo Energy: Kinywaji pendwa cha vijana

    Mada nyingi zimeshatolewa hapa jukwaani zikielezea hatari za utumiaji wa kupindukia wa vinywaji vya kusisimua, kwa lugha ya kigeni “Energy Drinks” hususan kwa vijana. Leo ningependa tujadili athari kubwa inayosababishwa na chupa zilizotumika za kinywaji hiki kutokana na kuzagaa ovyo kwenye...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Vimto kutoka Saudia ni kinywaji bora kama utaweza jaribu kunywa hutajuta

    Asili ya kinywaji hiki kilitengenezs mwa kwanza Manchester Uingereza miaka ya 1800+. Ni mchanganyiko wa berries na zabibu zilizosagwa pamoja na viasilia vingine. Kinywaji hiki kilitumiwa sana na wanajeshi wakati wa WWI, walifungiwa mabox ya Vimto na kuoekekewa huko mstari wa mbele. Miaka ya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwani kuolewa ni utumwa, mpaka wanaume wakinipa ofa za lift na kinywaji nizikatae?

    Kwani nani kasema kuolewa ni utumwa? Yaani hata nikikutana na mwanaume niliyecheza ama kusoma naye nimkimbie? Hata ofa ya kinywaji niikatae??
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli simba imetengeneza kinywaji simba cola au magumashi?

    Heeeeee ya kweli haya wandugu? naona logo ya Metl kama kweli basi kila la heri, i like it, nitazinywa sana
  7. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

    Hiki kinywaji ukiwa na 2,000 TZS unazima mazima. Vijana mtaani wanazoa kinywaji hiki kwa kushindana. NB: Vijana wanapoteza utu bila kupenda
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ulanzi ndio Kinywaji bora kabisa (Mtogwa, Mkangafu, Mdindifu)!

    Kiukweli nimekumbuka sana Kalenga kwa Chifu Mkwawa. Hivi huko kwingineko duniani kuna kinywaji bora kama Tanzania One Ulanzi Kinywaji cha asili bamboo juice tofauti kabisa na mbege
  9. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Ni chakula, tunda au kinywaji gani unaona kipo overrated/underrated?

    Kwa upande wangu, Underrated Makande: Nimekuwa nikiona watu wakiyadharau sana makande eti kwamba ni chakula cha ajabu ila kwa mimi naona makande hayapewi heshima inayostahili. Jamii zote za makande kama; makande njugu, makande maharage zina mabalaa yake. Halafu itokee siku hiyo likachanganuwa...
Back
Top Bottom