king'asti asprin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Matatizo na Kero ya Muungano wetu........ BONGO YETU.......

    Matatizo na Kero ya Muungano wetu........ BONGO YETU.......
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    Watoto 12 wapoteza maisha kutokana na ugonjwa wa surua Tanzania

    Watoto 12 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na surua katika wilaya ya Mlele mkoani Katavi kusini magharibi mwa Tanzania . Kati ya kipindi cha mwezi wa 12 mwaka jana hadi kufikia mwezi wa pili mwaka huu watoto 847 wameambukizwa surua kwenye wilaya hiyo. Mkuu wa wilaya ya Mlele Majid Mwanga...
  3. aleesha

    Masharti ya kuwekeza Zanzibar kwa Mtanzania bara na mgeni

    "Mgeni sio kwamba ananunua ardhi, na sio kwamba anapewa umiliki wa 100% hapana anapewa kibali cha kuwekeza kwa miaka kadhaa. Kwa mtu anayetoka Tanzania Bara ambaye anataka kufanya Uwekezaji Zanzibar anatumia utaratibu huo huo" Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ally Mwinyi. ==== Rais Mwinyi...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Erdogan asema Uturuki inaweza kuzuia ombi la Uswidi la uanachama wa NATO

    Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema kuwa Ankara inaweza kukubali Finland kujiunga na Nato, lakini si Sweden. Alikosoa hatua ya Uswidi kukataa kuwarejesha makumi ya watu wanaodaiwa kufungwa kwa makundi ya wapiganaji wa Kikurdi na wakosoaji wengine wa serikali yake. "Ikiwa unataka...
  5. Determinantor

    Inagusa sana: "Mwambie anipigie ni Mimi Mama yake"

    Copy na ku-paste, Mimi sio mwandishi Mwambie anipigie ni mimi mama yake! Mwambie sina simu ila nimeona picha zake kwenye simu ya kupalaza ya khamisi/mwambie amenenepa sana. Mwambie nimeona gari lake ni zuri sana !!ila mwambie mama yake bado naishi kwenye lile banda pamoja na kuku/mwambie...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mtanzania auawa kwa kupigwa risasi na Polisi wa Afrika ya Kusini

    M-Tanzania Mkaazi wa Mjini Tanga auliwa kwa Kupigwa Risasi na Polisi wa Afrika ya kusini.
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    Nyoka wa upako amuuwa mchungaji

    Nyoka wa upako amuuwa mchungaji Loohh Hatari kweli imani zingine zinatisha kweli.
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    How to Get Wi-Fi Without an Internet Provider

    How to Get Wi-Fi Without an Internet Provider The internet is an invaluable resource that most of us need on a daily basis. If you don’t have an internet connection at home or you’re traveling to a place with no Wi-Fi or a poor connection, you might be wondering: “How can I get Wi-Fi right...
  9. YEHODAYA

    Freeman Mbowe alalamikia Uhamiaji uwanja wa ndege Nyerere kwa kumsumbua Mtoto wake ambaye ni raia wa Marekani kuingia nchini

    Akiwa Marekani akiongea na Watanzania waishio Marekani akisema mtoto wake wa kumzaa aliyezaliwa Marekani na mwenye uraia wa Marekani alisumbuliwa Airport Dar kwa saa sita na kuzuiwa kupewa visa ya kuingia nchini hadi ikabidi aondoke aende Kenya ambako aliingia nchini kupitia Mombasa.
  10. BARD AI

    Zanzibar: Meli ya Serikali iliyokarabatiwa kwa Tsh. Bil 3.6 yauzwa kwa Tsh. Mil 536.8

    Meli ya MV Maendeleo yenye uwezo wa kubeba abiria 600 na tani 697 za mzigo kwa wakati mmoja ilikuwa ikifanyiwa matengenezo Bandari Kavu ya Mombasa, Kenya. Wizara ya Uchukuzi Zanzibar imechukua uamuzi wa kutoendelea na ukarabati na kuiuza Meli hiyo kwa mnunuzi ambaye hajatajwa ili kupunguza...
  11. Nanyaro Ephata

    Mchina jela miezi mitano kwa kuua tembo 511, Mtanzania jela miaka 60 kwa kukutwa na meno ya tembo na kiboko

    Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu. Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni...
  12. BARD AI

    Video ya Rais wa Sudan Kusini akitokwa na haja ndogo yazua maswali kuhusu afya za viongozi

    Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    Watanzania mtaisoma namba kiukweli kabisa

    Wa-Tanzania Mutaisoma namba ya Ukweli.
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    Majenereta ya umeme ni ya nani haya jamani?

    Kumbe hawa Viongozi wetu wanazima umeme kwa makusudi ili wapate kufanya biashara zao za kuuza Majenereta? Ama kweli Tutamkumbuka Sana RIP Doctor Magufuli, aliwahi kusema akiondoka kila kitu kitarudi kama zamani na kweli tunaona sasa.
  15. The Sunk Cost Fallacy 2

    Mbeya: Auawa kwa kupigwa Risasi kisa kudai ushuru wa maegesho wa shilingi 7,500

    Mtu mmja aliyejulikana kwa jina la William Mgaya ambaye ni wakala wa kukusanya ushuru wa magari ameuawa kwa kupigwa risasi na mfanyabiashara wa madini kutoka Chunya. Polisi wa Mbeya wanamshikilia mtuhumiwa kwa hatua zaidi za kisheria. My Take Serikali kuweni makini na kuwapa watu silaha, siyo...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    Upatikanaji maji DSM Asilimia 100

    Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dares Salaam (DAWASA), Cyprian Luhemeja ametangaza upatikanaji wa maji katika Jiji la Dar es Salaam kurejea kwa asilimia 100. “Kwa sasa hali ya maji ni nzuri na huduma ya maji imerudi kawaida na safari hi tumerudi kwa kishindo...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wakimbizi 16 wapewa uraia Tanzania

    Tanzania ni Nchi pekee Afrika ambayo imetoa uraia kwa Wakimbizi 162,000 wa Burundi, 30,000 wa Rwanda na 10,000 wa Somali Bantus. Mwakilishi wa Shirika la Wakimbizi Duniani upande wa Tanzania, Mahoua Parums ameishukuru Serikali ya Tanzania kwa Ushirikiano kwenye masuala ya Wakimbizi katika kikao...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Makali mgao wa umeme kuendelea kupungua

    SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limesema makali ya mgawo wa umeme yanaendelea kupungua, baada ya megawati 350 Zilizopunqua siku za hivi karibuni kuanza kureiea na wiki ijayo zitaendelea kushuka hadi megawati 100. Aidha, limesema hadi Februari mwaka huu hakutakuwa na mgawo wowote kutokana...
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    DOKEZO Bomba la DAWASA lapasuka Mbezi Beach, siku ya 4 halijafanyiwa matengenezo

    Uzembe unaofanywa na meneja wa DAWASA Kawe jijini Dar es-Salaam.
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    SWALI LANGU LA LEO HUYU NI NANI JAMANI?

    Swali langu la leo je huyu ninani kw ajina?Wengi wetu mutafeli kulijibu swali langu.
Back
Top Bottom