king'asti asprin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Malori yakwama bandarini Dar, madereva walalamikia ukiritimba na rushwa kurudi kama zamani

    Mwananchi online linaripoti kukwama kwa malori bandarini. Je wapo wanaopima kina cha maji? ======== Mwananchi Digital imeripoti kuwa katika bandari ya Dar es Salaam kuna maroli (magari makubwa ya mizigo) yamekwama kwa siku kadhaa hivyo kusababisha madereva wa maroli kulala na kuamka hapo hadi...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mafuriko makubwa ya maji yaliyotokea nchini Pakistan mjini Karachi. Haijawahi kutokea miaka mingi hii ni gharika

  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ipe maneno katuni yangu ya leo

  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania TB Joshua: Afungiwa akaunti ya Youtube kwa 'kuwaponya watu wa mapenzi ya jinsia moja'

    Akaunti yake ya YouTube ilikuwa na wafuasi milioni 1.8. YouTube imesimamisha akaunti ya mhubiri maarufu wa Televisheni wa Nigeria TB Joshua juu ya madai ya matamshi ya chuki. Shirika moja la kutetea haki liliwasilisha lalamikoa baada ya kukagua video zisizopungua saba zikimuonesha mhubiri huyo...
  5. alumn

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa (UN): Kumbukumbu ya Hayati Dkt. John Magufuli

    Salama Wana Mapinduzi wa JF? Ndugu zangu huko Duniani kwa sasa ni Viongozi wa Dunia wanavyomuenzi Mpendwa Wetu Hayati John Pombe Joseph Magufuli kwa kuelezea Uimara na Misimamo Yake thabiti katika Kuunganisha Taifa Letu na Mapinduzi Makubwa ya kiuchumi. Link hii hapa chini karibu tufatilie...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Barrick Gold yakaribia kufikia malengo yake Tanzania

    Kampuni ya kimataifa ya uchimbaji madini ya Barrick Gold imetangaza kuwa imezalisha dhahabu karibu wakia 500,000 kutoka kwenye migodi mitatu iliyopo Kaskazini mwa Tanzania, mwaka jana. Hii ni mara ya kwanza kwa kampuni ya Barrick kushirikiana moja kwa moja na serikali ya Tanzania katika...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mtanzania agongwa na gari na kufariki papo hapo mjini Antalya nchini Uturuki

    Kofia ya Pikipiki ya Marehemu iliyomtoka kichwani wakati wa ajali. Breaking News:: Mtanzania Mwenye Asili ya kutoka Kisiwani Pemba nchini Tanzania akiendesha Pikipiki mjini Antalya nchini Uturuki amepatwa na ajali ya kugongwa na Gari na kufariki papo hapo juzi saa 10 na nusu jioni. Marehemu...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mimba Kutunga Nje ya Mfuko wa Uzazi (Ectopic Pregnancy)

    Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi wa mwanamke au ectopic pregnancy ni tatizo ambalo limetokea kuathiri wanawake mbalimbali. Kwa kawaida, isipokuwa mara chache sana, mimba zitungazo nje ya mfuko wa uzazi hazina uwezo wa kukua kuwa mtoto kamili. Aidha, mimba hizi ni hatari kwa afya ya mama...
Back
Top Bottom