king'asti asprin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kama unaumwa na halafu unaota ndoto hizi na unatibiwa hospitali na hauponi jaribu njia ingine ya asili kujitibia

    Kama unaumwa halafu unaota ndoto hizi na unakwenda hospitali na huponi maradhi yako .basi hospital usiache lakini kimbilia tiba za upande mwingine. Yaani za kidini ama kiasili. 1. Kuota umepotea njia. 2. Kuota marehemu unaowajua wanakuita sehemu nzuri lakini wewe hutaki ama mtu anakuzuia. 3...
  2. JanguKamaJangu

    Nigeria: Muumini alitaka kanisa lirejeshe pesa zake kwa kuwa hana mpango wa kwenda mbinguni

    Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Maazi Chukwudiaso Onyema ametoa maagizo hayo ya pesa alizotoa kwa miaka miaka mingi akidai hana nia ya kwenda mbinguni kama ilivyokuwa awali Onyema amerekodi video akilitaka Kanisa la Dunamis International kutimiza kile anachokitaka kwa kuwa alifanya...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ukiambiwa toa kimoja hapo utatoa kitu gani?

  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Picha yangu ya leo

  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    Video: Siri ya Jahazi lililogeuka kuwa jiwe Kilwa Kisiwani

    SIRI YA JAHAZI LILILOGEUKA KUWA JIWE-KILWA KISIWANI
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    Hii ndio hali ya Johannesburg, Afrika ya Kusini. Tusipochukua hatua za haraka na madhubuti, hali hii itafika kwetu

    Hii ndio hali ya Johannesburg, Afrika ya Kusini. Tusipochukua hatua za haraka na madhubuti, hali hii itafika kwetu, tunamuomba Mwenyezi Mungu SUbhana Wataala atunusuru.. TUMUOMBE MUNGU ATULINDIE VIJANA WETU AMIN
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ni marufuku kuweka watoto bwenini. Wakae na mama zao wafundwe maadili mema

    NI MARUFUKU KUWEKA WATOTO BWENINI. WAKAE NA MAMA ZAO WAFUNDWE MAADILI MEMA
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    Coletha Raymond: Wanaume wa kizazi hiki wanapenda kulelewa

    Muigizaji nyota wa Bongo Movie nchini, Coletha Raymond amesema kuwa wanaume wengi wa kizazi hiki wanapenda sana kulelewa na wanawake waliowazidi umri. Coletha akaongeza kwa kusema kuwa, pia kuna wanawake watu wazima ambao wanapenda mambo ya style mpya ambazo vijana wa kizazi hiki ndiyo...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    Steve Nyerere: Wachungaji wanamiminika kwa wingi hivi imekuwa ni biashara?

    "Siku hadi siku Wachungaji wanamiminika, najiuliza hivi imekuwa ni biashara? Na kama ni biashara wanadhani kufanya mzaha na hisia za watu wanaomtafuta Mungu kwa gharama yoyote wanawatendea haki?"- Msanii wa Bongo Movie, Steve Nyerere.
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mchungaji Zumaridi ameenda mbinguni kwa andiko gani?

    “Ameenda mbinguni kwa andiko lipi? Tunarudi kwenye Biblia, inasema juu ya habari ya kwenda mbinguni, aliyeenda mbinguni kwa mara ya mwisho ni Yesu nae alibadilishwa sio kwa mwili huu wa chipsi na soseji. Hiyo ni changamoto ya afya ya akili."- Mchungaji Richard Hananja
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    Maajabu ya bangili ya shaba na tiba ya ndani kwa mwili wa binadamu

    Muktasari: Kifupi, kama unadhani kuwa tiba na kinga za maradhi ni vidonge na sindano pekee, basi umepotea, ulizia tena upya maana binadamu ameumbwa kwa namna ya ajabu sana na anapopatwa na maradhi basi huhitaji tiba za aina nyingi sana kama vile tiba ya maji (Hydrotherapy) tiba ya kupakwa...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kuweni makini na mchanga wa kaburini

    KUWENI MAKINI NA MCHANGA WA KABURINI: Kuna watu wamepata nuksi, mikosi na mabalaa makubwa katika maisha yao kwa sababu ya matumizi ya mchanga wa makaburini bila kuzingatia au kufuata maelekezo. Unapokuwa unafanya kitu chochote kile kinacho husiana ama kuyahusisha makaburi kwa namna moja au...
  13. BigTall

    Aliyemuua rapa Nipsey Hussle ahukumiwa miaka 60 jela

    Eric R. Holder, Jr. amekutwa na hatia ya kufanya mauaji ya mwanamuziki ambaye jina lake halisi ni Ermias Asghedom tukio lililotokea Mwaka 2019, Los Angeles. Hussle alikuwa baba wa watoto wawili aliowapata na nyita wa filamu, Lauren London, aliuawa akiwa na umri wa miaka 33 katika tukio ambalo...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wasiojulikana Waiba Kapu la Sadaka Kanisani

    Paroko wa Parokia ya Narumu, kata ya Machame Mashariki mkoani Kilimanjaro, Padri Thomas Chuwa amelaani vikali kitendo kilichofanyika katika Ibada ya Jumapili iliyopita baada ya mtu/watu wasiojulikana kuiba kapu la sadaka Kanisani na kuwataka Waamuni kusali sala maalum kwa siku 3.
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    Rais Mstaafu Kikwete kuhudhuria Sherehe za Kuadhimisha Miaka 20 ya Mpango wa Dharura wa Rais wa Kupambana na UKIMWI

    Rais wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa 66 wa Mambo ya Nje wa Marekani Dk. Condoleezza Rice na mfanyabiashara Bill Gates leo Februari 24, 2023 wataungana na Rais Mstaafu wa Marekani George W. Bush katika sherehe za kuadhimisha miaka 20 ya...
  16. BARD AI

    R. Kelly ahukumiwa kifungo cha miaka 20 kwa uhalifu wa Kingono

    R. Kelly amehukumiwa kifungo kingine cha miaka 20 huko Chicago kwa kesi yake ya uhalifu wa ngono ya mtungo. Mwimbaji huyo alikuwa katika mahakama ya shirikisho huko Illinois ambapo miaka 19 kati ya miaka hiyo atatumikia kifungo sawa na kifungo anachotekeleza sasa. Waendesha mashtaka...
  17. Analogia Malenga

    Kigoma: Shule ya Mvinza Kagerankanda haina Madarasa na Madawati. Waandikia Majivu

    Shule ya Msingi Muvinza iliyopo Kata ya Kagerankanda, Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma ina changamoto ya upungufu mkubwa wa madarasa na madawati hali nayowafanya wanafunzi wengi kusoma nje na wengine kusoma wakiwa wamekaa chini katika madarasa machache yaliyopo. Wanafunzi ambao wameanza elimu ya...
  18. J

    TEMESA yafafanua gharama za ukarabati MV Magogoni

    Pamezuka mjadala kuhusu ukubwa wa gharama za kukarabati MV Magogoni na hasa ukilinganisha na gharama za Kivuko kipya. Wengi wanadai ni heri kinunuliwe kivuko kipya. TEMESA yafafanua: MV Magogoni kilinunuliwa kwa Euro 5,287,800 Sawa na Tsh 9.3 billion Mwaka 2008, exchange rate ikiwa Euro 1 =...
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    Serikali yaondoa tarehe ya ukomo wa Vitambulisho vya Taifa

    Serikali yaondoa tarehe ya ukomo wa Vitambulisho vya Taifa.
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ninauza sumu ya panya hiyooo

    NINAUZA SUMU YA PANYA HIYOOO
Back
Top Bottom