Serikali yaondoa tarehe ya ukomo wa Vitambulisho vya Taifa

Safi, wasihishie hapo...

Wafyatue vitambulisho na watu wapewe...

Watu wana namba bila kitambulisho mwaka sijui wasaba...
 
Vipya wameshindwa kutoa watatoka vya marudio? NIDA ivunjwe iundwe upya na viongozi wapya na Watumishi wapya. Pia ifuatiwe na NHIF. Tatizo kuvunjwa ni ngumu maana watoto wa vigogo watagushwa
 
NIDA ingevunjwa na kisha vitambulisho vya taifa vingetolewa idara ya uhamiaji kwa kuongeza dawati la Vitambulisho vya taifa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom