M MlimaSayuni JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 7,259 Reaction score 13,634 Apr 23, 2026 #1 Samia amekua delussional hadi hajui anazidi kujikaanga hata CCM watamkataa
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 45,630 Reaction score 135,667 Apr 23, 2026 #2 Anajiona mwenyewe mjanja kujoanzishia tume yake mchongo ya kumsafisha. Anafikiri atafanikiwa. Kumbe damu za marehemu zitamuandama mpaka kifo chake.
Anajiona mwenyewe mjanja kujoanzishia tume yake mchongo ya kumsafisha. Anafikiri atafanikiwa. Kumbe damu za marehemu zitamuandama mpaka kifo chake.