kimataifa

  1. JamiiForums Tanzania Wakosoaji wa Falsafa ya Magufulism katika uhusiano wa kimataifa

    WAKOSOAJI WA FALSAFA YA MAGUFULISM KATIKA UHUSIANO WA KIMATAIFA. Dr. John Pombe Magufuli aliamini katika uhusiano wa kimataifa usio na chembe za unyonyaji, dharau na wenye usawa na staha miongoni mwa washirika wa Jumuiya za Kimataifa, Taasisi za kimataifa, makampuni ya kimataifa na wawekezaji...
  2. JamiiForums Tanzania FIFA yaifungia Chad katika michuano ya kimataifa

    Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, limeifungia Chad kushiriki michuano ama michezo yoyote ya kandanda ulimwenguni la baada ya serikali ya nchi hiyo kuingilia kati namna ambavyo shirikisho la soka nchini humo linavyofanya kazi. Hatua hii imekuja baada ya waziri wa vijana na michezo kuvunja...
  3. JamiiForums Tanzania Ile taasisi ya kimataifa inayofanya utafiti kuhusu furaha za wananchi wa mataifa mbalimbali ije baada ya miezi sita

    Wapendwa Heri ya Mapumziko ya Pasaka. Poleni Watanzania wenzangu kwa kumpoteza kipenzi chetu, Wanawake hongereni kwa kutuongoza, napendekeza kuanzia Leo na nyinyi fanyeni mageuzi,anzeni kututongoza sisi wanaume,tupeni of mbalimbali na Mambo Kama hayo. Nauliza hivi ile taasisi ya Kimataifa...
  4. JamiiForums Tanzania Zijue kampuni za Kimataifa za kutengeneza simu za mkononi na NCHI zinazozimiliki

    Zijue kampuni za simu na NCHI zinazozimiliki. 1. Samsung-Korea Kusini 2. Tecno-China 3. Huawei-China 4. Lenovo-Hongkong 5. Nokia-Finland 6. Blackberry-Canada Tupieni nyingine
  5. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia Suluhu Hassan, Sasa rasmi, Tundu Antiphas Lissu amekusafishia njia Kimataifa

    Amani iwe nawe Mama yetu, Napenda tu kukwambia, kati ya mambo ambayo wadau wa kimaendeleo wanayaangalia juu ya kiongozi ni maoni ya wapinzani wake juu ya utawala wake. Maoni ya mpinzani wako kwanza yanawapa confidence development partners, pili yanawapa trust foreign investors na tatu...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais Samia amejipambanua kimataifa kwa kuipa lugha ya Kiingereza umuhimu wake

    Tunaipenda lugha yetu adhimu ya Kiswahili lakini hatuwezi kuipuuza lugha ya Kiingereza iliyotumika tangu ukoloni hadi 2015 ilipoanza kupoteza umaarufu. Lugha zote ni muhimu and 'they perfom the same function'
  7. JamiiForums Tanzania Munir El-hadad ajiunga na Morocco National Team

    Mechi kati ya Morocco na Mauritania, kwa wale waliobahatika kuitazama mechi leo...Kuangaza kwangu macho nikamuona fundi wa Sevilla Munir El hadad akichezea timu ya taifa ya Morocco, nikabaki na mshangao...Je, ni mchezaji wa mataifa yote mawili Morroco na Spain kwa pamoja??? God bless you guy's
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Kiswahili kimetekwa! Asalaam aleykum na Bwana yesu asifiwe

    Kama kuna wakati kiswahili kimejishushia hadhi kimataifa, ni kipindi hiki kwa kuwa na salaam ya utata. Nilimuonea huruma Palamagamba Kabudi akihutubia wageni waalikwa wa nchini na wa-kimataifa wakiuga mwili wa marehemu Mh JPM, huku akianza kwa kuwasalimia " Asalaam aleykum na baadae Bwana yesu...
  9. JamiiForums Tanzania Prof Lipumba: Taswira ya Tanzania kimataifa iliyoachwa na Mwalimu Nyerere, Rais Magufuli ameiharibu. Ni aibu kubwa kutoshirikiana na WHO

    Kwa malezo aliyotoa Prof Lipumba alipokuwa anaongea na waandishi wa habari huku akiongea kwa uchungu, amesema kuwa rais Magufuli ameharibu taswira ya Tanzania kwenye Jumuia ya Kimataifa. Nchi zingine zote zinashirikiana na WHO kwa kupima na kutoa taarifa. Pia zipo kwenye mgao wa WHO wa kupata...
  10. JamiiForums Tanzania Wenzetu waanza kupewa kadi za kuthibitisha wamepata chanjo ya Corona kama Jumuiya ya Kimataifa inavyoelekeza

    Kama wote mlivyokwisha sikia kwamba kuna maeneo bila kuwa na ushahidi kwamba umechanjwa ili kujikinga na Corona hutakanyaga wala kutia pua yako, basi nchi zilizostaarabika na kuamua kufuata mwongozo wa WHO zimeanza kuwapa kadi za uthibitisho wa chanjo raia wake waliochanjwa ili wawe huru...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Usikivu: Maoni na Ushauri kutoka kwa Daktari Bingwa kuhusu changamoto ya Usikivu

    Leo tarehe 3 mwezi Machi 2021 ni siku ya usikivu duniani. Hii ni siku ambayo inasherehekewa duniani na kampeni yake inaendeshwa na Ofisi inayojulikana kama “Prevention of Blindness and Deafness” ya Shirika la Afya Duniani (W.H.O) Jambo kubwa linalofanyika katika siku ya leo ni kukumbushana...
  12. JamiiForums Tanzania Picha:Marais kadhaa wa Tanzania wakiwa wametembelewa na marais wa kimataifa

    Kwa kuangalia hizi picha,umejifunza au umegundua kitu gani?
  13. JamiiForums Tanzania Wanasheria, wataalam wa fedha Kitaifa na kimataifa msaada please

    Naomba kuuliza ikiwa mtu aliuawa na hakutoa taarifa zozote kuhusu warithi wa fedha zake huko uingereza je, pesa hizo nani atapewa? Maana kuna mtu anansumbua yeye ni mkaguzi na msimamizi wa mambo yaa pesa huko, ananiambia eti nimtumie info zangu kama NIN, Address n.k azifoward pesa za mtu huyo...
  14. JamiiForums Tanzania Keki kwa wenye pesa zao

  15. JamiiForums Tanzania Simba tunaangalia zaidi michuano ya kimataifa , Mapinduzi cup haikuwa kipaumbele

    Huu ni ujumbe mahususi kwa Mashabiki wa soka nchini Tanzania , tunafahamu furaha ya Yanga (Kipofu kaona mwezi) , lakini sisi Simba tunalenga michuano ya CAF champions League tu. Sitaki maswali .
  16. J

    JamiiForums Tanzania Misingi ya kisera na Kisheria inayosimamia tasnia ya Habari Kimataifa

    Mikataba mbalimbali ya kimataifa, bara na kanda inalinda tasnia ya habari, waandishi wa habari, na watetezi wa haki za binadamu kutoingiliwa na Serikali. Mikataba hiyo inaweka wajibu kwa Serikali kufuata, kuendeleza, na kulinda uhuru wa kutoa maoni na kujieleza. MIKATABA YA KIMATAIFA TAMKO LA...
  17. S

    JamiiForums Tanzania TUSIJIDANGANYE NA KILIMO: Tunachumia tumbo tu ila kwa kimataifa tumeachwa mbali sana

    Iliobaki ni kudanganyana na kuibiana yaani hakuna faida hata ya kuwa na waziri wa kilimo,wa nini? hana jipya wala uwezo wa kutufanyia lolote, kama ni mbio tumeshapitwa na tumeshachoka utampitaje alie kupita? Mazao yetu hayana kiwango cha kuuzwa nchi zanje kwa sababu wizara ya Kilimo wao ni...
  18. JamiiForums Tanzania Nawashukuru ICC-Mahakama ya Kimataifa kwa kunijibu na kunipa mwongozo wa kumshitaki Rais kuvunja Katiba ya Nchi

    ICC WAPO KIKAZI KWELI. Asante Sana Mahakama ya Kimataifa-ICC kwa mwongozo mlionipa baada ya kuwatumia malalamiko yangu juu ya Rais kuvunja KATIBA na Mateso niliyoyapata gerezani. Nafanyia marekebisho nakuwarejeshea Tena.@Don Nalimison.
  19. JamiiForums Tanzania Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

    Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu. Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo...
  20. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya kimataifa ya siku ya haki za binaadamu: Waandishi wa habari 42 wameuawa wakati wakitekeleza majukumu yao

    Ripoti mpya ya kila ya mwaka ya Shirikisho la Kimataifa la Waandishi wa Habari IFJ, lenye makao yake nchini Uholanzi, inasema waandishi wa habari 42 na wafanyakazi wa vyombo vya habari wameuwawa wakati wakitekeleza majukumu yao kwa mwaka huu pekee. Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyotolewa jana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…