Alikiba kwa Hali hii hauwezi kuwa wa kimataifa unatuletea kwaya

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
3,367
2,000
Tuwe wakweli nilidhania kuwa Alikiba amejifunza kitu kutoka kwa Mwalimu wake Diamond Platinumz kuhusu on how to sing international collabo ila cha ajabu ametutia aibu tu.

Jelaous ya Alikiba imedhihirisha kuwa hakuna kitu anaweza fanya naona hata Ile salute kaotea sana.

Rayvanny na Mayorkoun waliua sana kuliko hii ya Alikiba na Mayorkoun honestly speaking
 

TADPOLE

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
1,432
2,000
Hata chai hujanywa unakuja kumfungulia thread Alikiba..Mwache King ajitutumue tunahitaji wasanio wengi wa kimataifa.

Kwangu mimi naona msanio ambaye hawezi kabisa kupiga international collabo ni Rayvany yaani habadiliki matokeo yake analazimisha aliyemshirikisha apite kwenye njia anazopita yeye huwa hakubali melody ibadilike kulingana na aliyemshirikisha.

Refer collabo yake na Nasty C,Nasty C hakutakiwa kupita njia zile kabisa huo ni mfano tu zipo collabo nyingi sana za Mbele za Rayvanny hazina impacts kwake,Labda ile mona tu na Jason Derulo kaitendea haki.
 

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
3,367
2,000
Inno hata chai hujanywa unakuja kumfungulia thread Alikiba..Mwache King ajitutumue tunahitaji wasanio wengi wa kimataifa.Kwangu mimi naona msanio ambaye hawezi kabisa kupiga international collabo ni Rayvany yaani habadiliki matokeo yake analazimisha aliyemshirikisha apite kwenye njia anazopita yeye huwa hakubali melody ibadilike kulingana na aliyemshirikisha..Refer collabo yake na Nasty C,Nasty C hakutakiwa kupita njia zile kabisa huo ni mfano tu zipo collabo nyingi sana za Mbele za Rayvanny hazina impacts kwake,Labda ile mona tu na Jason Derulo kaitendea haki
Hazina impact kwake are you serious..? Kwani Alikiba amebadilisha au Alisha wahi kubadilisha melody..?

Bongo hakuna msanii Anayeweza kumfikia Rayvanny kwenye upande wa international collabo kama hauamini kaangalie Rayvanny ft Mayorkoun ucompare na hii utanambia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom