kimataifa

  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uungwaji Mkono wa Kimataifa kwa Rais Samia

    Mataifa yamuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ◇Kuanzia kwenye uwekezaji hadi miradi aliyoahidi wananchi ◇Anakwenda kuwa Rais aliyejenga reli ya kisasa nchi nzima ◇Zipo nchi jirani, mataifa ulaya, taasisi za kiuchumi duniani
  2. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia aendelea kubanwa na wanasheria wa kimataifa (PALU)

    25 April 2026 CHAMA cha WANASHERIA wa AFRIKA (PALU) WAFUNGUA KESI MAHAKAMA ya AFRIKA -WATAKA WAUAJI WAKAMATWE NCHI YOYOTE https://m.youtube.com/watch?v=FUh-ut4VDyQ Chama cha Wanasheria wa Afrika (PALU) kinashiriki kikamilifu katika kesi muhimu kote Afrika, kikizingatia na kumulika ukiukwaji...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Salum Mwalimu: Jaji Chande ametuonyesha viwango vya Kimataifa, Wote kwa pamoja tuseme 'Ever again kwa yaliyotokea Oktoba

    Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akizungumza Aprili 23, 2026 baada ya tukio ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 kuwasilisha na kukabidhi Ripoti yake kwa Rais Samia
  4. Ileje

    JamiiForums Tanzania Tume ya Samia ya Jaji Chande imefeli sasa Serikali iruhusu Tume Huru za Kimataifa

    Kama alivyojidai mwenyewe kuwa Tume ya Jaji Chande ni yake yeye Rais Samia na kwamba watu hawana haki ya kuihoji,sasa ni wakati muafaka wa kuruhusu kualika Tume Huru za Kimataifa kuja kufanya uchunguzi wa nini kilisababisha mauaji ya kimbari yaliyofanywa na polisi wakishirikiana na vyombo...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yang’ara Kimataifa Baada ya Rangi Gallery Kung’ara Seoul

    Na Mwandishi Wetu Jumba la sanaa la Rangi Gallery la jijini Dar es Salaam limeandika historia baada ya kuwa taasisi ya kwanza kutoka Tanzania kushiriki katika maonesho ya kimataifa ya sanaa ya Art OnO 2026 yaliyofanyika jijini Seoul, Korea Kusini Maonesho hayo yaliyofanyika kuanzia Aprili 2...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akifungua Mkutano Wa Pili Wa Kimataifa Wa WFNS, Aprili 16, 2026, Dar es Salaam

    https://www.youtube.com/live/zvViP7gngNM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Shirikisho la Dunia la Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu, tarehe 16 Aprili, 2026, Dar es Salaam
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufungua mkutano wa pili wa kimataifa wa shirikisho la dunia la madaktari bingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: www.ikulu.go.tz #TanzaniaYetuSote #NchiYetuKwanza #MaendeleoEndelevu
  8. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Wayahudi wanakiburi sana,wao hawafuati sheria za Kimataifa

    Habari wandugu Tukiwa tumemka salama huku tukisubiri mlejesho wa kikao kutoka Pakistan,nimeona kila mtu akishuka kwenye ndege na makablasha kwapani kila upande umesheheni security expert maalumu wa ku negotiate. Je umewahi kujiuliza kwa nini hawa wayahudi huwa hawafuati utaratibu wa dunia...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kenya wameichafua Toyota Probox Kimataifa!

    Probox ni gari maarufu sana East Africa, nadhani ni kwasababu ya durability, space kubwa ya kubeba mizigo na abiria etc. Sasa ndugu zetu Wakenya sijui wanazitumia vibaya? Maana kwenye page ya Wikipedia imeonekana kama madereva wake ni reckless na hawafuati sheria, pia inatumiwa na corrupt...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Metric Tonne (MT) Ndio Kipimo Kikuu Kinachotumika Wakati Kuuza na Kununua Mafuta katika Soko la Kimataifa

    Katika mijadala mingi kuhusu biashara ya mafuta duniani, mara nyingi watu huamini kuwa mafuta huuzwa kwa kutumia barrel (pipa) kama kipimo kikuu. Ingawa kipimo hicho hutumika kama benchmark ya bei, ukweli wa kitaalamu na kibiashara ni kwamba: Katika bulk procurement na mikataba mikubwa ya...
  11. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China yaitangulia Marekani kwa kiwango cha kukubaliwa kwa uwezo wa uongozi wa kimataifa

    Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni na Gallup, ambalo ni shirika maarufu la kimataifa la uchunguzi wa maoni, unaonesha kwamba mwaka jana, kiwango cha kukubaliwa kwa uongozi wa kimataifa wa China ni asilimia 36, na kuizidi Marekani kwa asilimia 5. Uchunguzi wa Gallup umeshirikisha zaidi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wasomi wengi wa dini ya kikiristo ni weupe sana ktk uchambuzi wa kimataifa

    Wengi wao hawajui sana dunia inavyoenda na huwa wanabase sana ktk maswali ya dini. Tofauti na wavhambuzi wa dini ya kiislam. Wengi wanaolikwa media za kimataifa ni wa dini ya kiislam Mfano vita na migogoro ya urusi na ukrain na mashariki ya kati. Wasomi wa dini ya kiislam huwa hawabase, huwa...
  13. Ileje

    JamiiForums Tanzania Zanzibar inavyoichafua Tanzania (Tanganyika) kimataifa

    Zanzibar kwa kutumia mamlaka yao ya ndani imekuwa ikisajili meli za walanguzi wa madawa ya kulevya na kuwaruhusu kutumia bendera ya Tanzania. Hali hii imeiweka Tanzania katika hali mbaya sana kimataifa kuwa nchi inayosambaza dawa za kulevya duniani na hivyo kushusha hadhi kama moja ya nchi...
  14. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Kheri ya siku ya kimataifa ya uhakiki wa Taarifa (International Day of Fact-Checking)

    Kila ifikapo April 2 kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya kuthibitisha taarifa mtandaoni ikiwa ni lengo la kuhamasisha umuhimu wa kuchunguza ukweli wa habari kabla ya kuziamini au kuzisambaza. Siku hii ilianzishwa mwaka 2016 na taasisi mbalimbali za habari na uhakiki wa taarifa, hasa...
  15. McLaren

    JamiiForums Tanzania Lee Min Ho kashika namba 1 tena kama msanii wa Kikorea anayependwa zaidi Kimataifa

    Hivi huyu jamaa ana dawa gani? Sidhani kama kuna msanii wa Kikorea anapendwa kama huyu jamaa Muigizaji Lee Min-ho ameshika namba 1 tena Kwa mujibu wa matokeo ya ‘Utafiti wa Hallyu (Wimbi la Kikorea) wa Kimataifa wa Mwaka 2026’ yaliyotangazwa mnamo Machi 30 na Wizara ya Utamaduni, Michezo na...
  16. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China imekuwa moja ya nchi zinazowavutia zaidi watalii wa kimataifa

    Tovuti ya Travel And Tour World ya Marekani hivi karibuni ilitoa makala, ikisema China imekuwa moja ya nchi zinazowavutia zaidi watalii wa kimataifa duniani. Takwimu zinaonesha kuwa mwaka 2025, idadi ya watalii walioingia nchini China ilizidi milioni 150, ambalo ni ongezeko la zaidi ya asilimia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wale tunaopenda mambo ya geo politics, vita, siasa za kimataifa tuanze kuweka mizigo tunufaike na pesa, tusiishie kulumbana tu humu

    Wale tunaopenda mambo ya geopolitics, vita, na siasa za kimataifa, hebu tufikirie hatua inayofuata. Mara nyingi humu tunakesha kujadiliana, kubishana na kuchambua matukio ya dunia kuanzia migogoro ya kimataifa hadi mikakati ya mataifa makubwa. Ukweli ni kwamba kuna watu wengi humu wana uelewa...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Huyo mwenza wako wa maisha anasemaje kuhusu vita vya US-Israel-Iran na siasa za kimataifa kwa ujumla?

    Asali wako wa moyo ana maoni gani kwa kinachoendelea? Anaweza chambua kisomi haya mambo ya kimataifa na uchumi kwa ujumla au mapenzi hayaangalii usomi?
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Azam/UTV jaribuni kubadilisha wachambuzi wa habari za kimataifa angalau mara moja moja

    Inashangaza sana Azam/UTV ambacho inawezekana kikawa ni kituo kikubwa cha kitanzania kwa habari za kimataifa za Kiswahili nchini kumtumia mchambuzi mmoja tu wakati wote kijana aitwaye Rahby ambaye ni mnazi mkubwa wa Iran na Ayatollah na ni anti-west wa kutupwa. Tunaelewa kuchambua siasa za...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa

    Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa. Haya ndio malipo ya Serikali haramu mnategemea nini ? Watekaji hawa huko kenya wanakamtwa tu nje ya nchi na sio kwenye shamba la bibi huku hawakamatwi vipi...
Back
Top Bottom